Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba mbovu isio gawanyika katika ulimwengu wa Anga za uajemi. Huko hakuna kitu kinacho itwa nusu. Huko ni 2,4,6,8. Hizi uku ifanya iwe makumi ina gawanyika namba chafu isio takiwa 3,7,9. Kwenye makumi nilazima nusu ihusike.
Ukiwa na Yesu haya mambo hayawezi kuaply
SemaUkiwa na Yesu haya mambo hayawezi kuaply
Badilisha faya ulizaliwa trh 12 au 14Dah! na sie tuliozaliwa tarehe 13 tufanyeje sasa? maana dah!
Sema baadhi kuna wafanyakazi wenzangu wawili wamezaliwa hizo tarehe tena ni watu wazima 45+ lakini hakuna cha zaidi ninachokiona kwako kuliko sisiKwa mujibu wa wanajimu,wasema kuna idadi ndogo sana duniani ya watu waliozaliwa tarehe 13,wengi wao hufariki dunia wakiwa watoto wadogo sana na endapo wakifanikiwa kukua na kuishi wanakuwa si wa kawaida.....jaribu kufatilia utabaini kwani hata Nyerere alizaliwa tarehe hiyo,fatilia kwa makini hata wewe watu wanakuchukuliaje mtaani kwenu...
Kwa kweliUkiwa na Yesu haya mambo hayawezi kuaply
🎅Sema baadhi kuna wafanyakazi wenzangu wawili wamezaliwa hizo tarehe tena ni watu wazima 45+ lakini hakuna cha zaidi ninachokiona kwako kuliko sisi
Sema baadhi
Halafu hizo ni iman za wazungu sio zetu
Yesu na wanafunzi wake jumla walikuwa 13.Ukiwa na Yesu haya mambo hayawezi kuaply
Muller anavaa jezi no13 au sio mjerumani??Wajerumani hawatumii no 13.
Katika harakati zangu za hapa na pale nimekuja kugundua jambo kuhusu hii namba 13,huku wengi wakiihusisha namba hiyo na nguvu za kishetani...mfano mdogo karibia hoteli zote duniani hakuna chumba namba 13,badala yake wanaweka chumba namba 12A na 12B.
Kibiashara pia tarehe 13 inahusishwa kuwa ni siku ya kutoa sadaka kwa mizimu,mara nyingi siku hii inakuwa haina faida kwao,mauzo yanashuka kiasi.
Kwenye usafiri,mara nyingi watu wenye nguvu za giza hawezi kukaa siti namba 13,wengi wanaikwepa.....fanya utafiti utagundua.
Kwa wafanyakazi maofisini kuanzia siku ya 13 kunakuwaga na nuksi na mifarakano ya hapa na pale.
Ukienda Mahospitalini Kitanda namba 13 kinachukua sana uhai wa watu,kwa waliokomaa kwenye nguvu za kishetani huwezi kumlaza kitanda hicho yuko radhi akaugulie nyumbani au ahame kitanda kuliko kulala hicho kitanda.
Bado nafatilia kwenye mambo ya ndoa na kifamilia ili niweze kubaini 13 ina nafasi gani kwenye sehemu hizo.
Kama ulikuwa hujui jaribu kufatilia kuanzia leo utapata ukweli,....
Labda ndio maana ana rap tu muda mrefu lakini hana hela.Sasa Ngosha Fid Q
Aliyezaliwa Agosti 13 inakuwaje?
Mafanikio ya Fid kiuchumi bado hayafikii uwezo wake kimuziki, i mean bado jamaa muziki haujamlipa,ana nyota ya AGOSTI 13!!Labda ndio maana ana rap tu muda mrefu lakini hana hela.