Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

Namba mbovu isio gawanyika katika ulimwengu was Anga za uajemi. Huko hakuna kitu kinacho itwa nusu. Huko ni 2,4,6,8. Hizi uku ifanya iwe makumi it's gawanyika namba chafu isio takiwa 3,7,9. Kwenye makumi nilazima nusu ihusike.
 
Namba mbovu isio gawanyika katika ulimwengu wa Anga za uajemi. Huko hakuna kitu kinacho itwa nusu. Huko ni 2,4,6,8. Hizi uku ifanya iwe makumi ina gawanyika namba chafu isio takiwa 3,7,9. Kwenye makumi nilazima nusu ihusike.
 
Ukiwa na Yesu haya mambo hayawezi kuaply
Sema
Ukiwa na Mola muumba mbingu na ardhi

Yesu hana nafasi katika ufalme wa Mola Muumba
Bali ni kiumbe kama viumbe wengine wa Mungu Muumba

acheni utani katika mambo mazito nyie Kondoo wa Yesu Kristo

Yesu ni Mtume wa Mungu kama Mitume wengine

Si Mungu
wala Mtoto wa Mungu

wala hana sifa ya kuwa Mungu Muumba hata sekunde
 
Sema baadhi kuna wafanyakazi wenzangu wawili wamezaliwa hizo tarehe tena ni watu wazima 45+ lakini hakuna cha zaidi ninachokiona kwako kuliko sisi

Sema baadhi

Halafu hizo ni iman za wazungu sio zetu
 
Sema baadhi kuna wafanyakazi wenzangu wawili wamezaliwa hizo tarehe tena ni watu wazima 45+ lakini hakuna cha zaidi ninachokiona kwako kuliko sisi

Sema baadhi

Halafu hizo ni iman za wazungu sio zetu
🎅
 
(1) 13÷13=1
(2) 13+13=26
(3) 13×13=169
(4) 13-13=0

Mbona it behaves the same as other numbers, why then hate it???
 
utafiti unaonyesha kuna ukweli a hili jambo
 

Nimezaliwa tarehe 13
Ni namba ya bahati kwangu, nikifanya jambo tarehe hii sikosi!!

Ajira ya kwanza nilisaini tarehe exactly niliyozaliwa (birthday)

Ajira ya pili nilipigiwa simu ya kuitwa kazini tarehe 13

Nimeoa tarehe 13/12 ilipangwa tarehe ingine ila likatokea tukio ikaahirishwa na kupangwa tarehe hiyo!!

Ni tarehe au namba niipendayo, haina shida nami!
 
Labda ndio maana ana rap tu muda mrefu lakini hana hela.
Mafanikio ya Fid kiuchumi bado hayafikii uwezo wake kimuziki, i mean bado jamaa muziki haujamlipa,ana nyota ya AGOSTI 13!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…