rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mbona hujataja matumizi ya kudhamini mkutano wa caf na michuano ya vilabu wanawake cecafa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu tunaofurahia ni upuuzi mtupu. Elimu ya juu wanafunzi karibu wote wamepewa mikopo asilimia 25 tu na wengi wamekosa mikopo, kwani kabla ya tozo hakukuwepo mikopo ya elimu ya juu? Pili Hiyo SGR na Nyerere Dam wala haisapotiwi na hiyo mikopo, tatu hata kuajiri sekta ya afya bado kulikuwa na kodi zingine. Msitudanganye ninyi. Mtuambie ni kiasi gani na ifanye shughuli moja inayoeleweka....Kama ni Kujenga hospitali na vituo vya afya na kuweka vifaa, tujue hilo tumelimaliza kwa tozo, kama ni barabara za mijini au vijijini tujue tumemaliza na hizo tozo. Lakini kurukia rukia vitu vingi kwa wakati mmoja hiyo siyo deal.1. Ukusanyaji wa tozo Tsh. bilioni 221 kwa mwaka 2021/2022 zilikwenda kusaidia kwenye mikopo ya elimu ya juu.
2. Kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama vile JNHPP na SGR kwa mara moja.
3. Kupitia tozo za miamala ya simu serikali imeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa bilioni 117 na kila kituo kimegharimu milioni 500.
4. Kupitia tozo za miamala ya simu mwaka 2021/2022 Serikali imeweza kununua vifaa tiba kwa vituo vya afya 234 vilivyojegwa kupitia tozo za miamala.
5. Kupitia tozo ya miamala ya simu serikali imeweza kuajiri wauguzi (madaktari, manesi na wataalam wa afya) 7612.
6. Pia, miamala ya simu imesaidia kujenga majengo ya nje OPD na upasuaji, Maabara na wodi za wazazi nchini.
01 September 2022
JE TOZO NI NJIA YA KUFUNGA MKANDA, LAKINI MKAKATI UMEWAKOSA VIGOGO WA SERIKALI?
Tanzania yawafunga mikanda wananchi wake kwa tozo lukuki lakini matumizi ya anasa na ya kifahari ya viongozi waajiriwa wa serikali hawajifungi mkanda kwa kubana matumizi
TUNDU LISSU AELEZEA SABABU ZA SERIKALI KUKURUPUKA KUANZISHA TOZO BILA KUELEZEA SABABU, NA NANI ALAUMIWE
Tundu Lissu aelezea masharti ya Domestic Revenue Mobilization Policy yalivyoleta mbinyo kwa serikali kulazimika kuanzisha tozo
Masharti hayo ni sera za IMF, EU , UNDP n.k ambao wanachagiza kuwa serikali zipanue wigo wa walipa kodi ili kukusanya fedha za kuendesha serikali kwa ajili ya matumizi ya kawaida.
Tozo kama vitambulisho vya machinga, tozo za miamala kutoa fedha ATM, counter Benki, miamala ya simu, anuani za makazi, vibao vya mitaa, maswali ktk dodoso za sensa n.k ni sehemu ya masharti ya mabeberu kupanua wigo wa makusanyo ya kodi kwa wote kupitia tozo hizo.
Wadau / mabeberu wao wataendelea kuchagia miradi ya maendeleo na pia kutoa mikopo kutoka taasisi kama WB, AfDB n.k
Mbaya zaidi ni kuwa tozo hizo zimeanzishwa kinyemela bila kuwaelezea wananchi ambao kimsingi hawapingani kuchangia tozo hizo ila wanataka uwazi pia taratibu hizo ziwe shirikishi zinazofuata sheria.
Na raia wanataka kuona matumizi ya kifahari ya mishahara, marupurupu, magari ya kifahari ya VX yaondolewe kwa mawaziri, makatibu wakuu wa wizara, MA-RC, MA-RAS, Ma-DC, DED, DAS, wakurugenzi wa Taasisi za serikali ili fedha hizo ziokolewa na kujumlushwa na tozo ili wananchi waone kwa macho nia ya dhati ya serikali kukusanya fedha na kubana matumizi ya anasa kuwalea vigogo hatimaye fedha hizo kuelekezwa ktk matumizi ya sekta ya elimu, afya, miradi mikubwa na midogo ili nchi ijikwamue kutoka kuwa tegemezi wa mikopo na misaada ya mabeberu.
Domestic Revenue Mobilization programme
The aim of UNU-WIDER’s Domestic Revenue Mobilization (DRM) programme is to help improve developing countries’ tax systems and to strengthen their domestic capacities for revenue collection. Efficient domestic resource mobilization will lead to increased financing of crucial public goods needed for the achievement of the 2030 Agenda for Sustainable Development. The DRM programme is financed by the Norwegian Agency for Development Cooperation (Norad).
The programme addresses the challenges of domestic revenue mobilization through seven thematic and inter-connected projects around three themes: development of tax systems, non-tax domestic revenue mobilization, and political institutions.
Developing tax systems, addressing questions of illicit financial flows, making sustainable use of extractives
As governments seek to mobilize more resources to finance public expenditures for economic and social development, the ability to design effective tax and benefit systems has become indispensable for the achievement of the Sustainable Development Goals (SDGs).
Two of the projects in the DRM programme — Building up efficient and fair tax systems and SOUTHMOD — provide support to governments in developing countries specifically in the use of administrative tax data and tax-benefit microsimulation models. These tools support efficient and equitable decision-making related to tax systems and public expenditure.
A challenge for Southern governments in raising domestic revenue are the illicit financial flows out of the country. These financial flows could provide much needed resources to fund critical investments in social development. The project on illicit financial flows builds on current advances in research, and expands the research frontier in measuring and monitoring international financial flows and their impact.
Over the last twenty years, extractive industries — mining, as well as oil and gas — have become more important sources of government revenues in many low- and middle-income countries. The project on extractives addresses the challenges faced by countries in mobilizing revenues from natural resources while protecting the environment and minimizing social harm.
Examining political dimensions of tax systems and different sources of domestic financing
Building efficient and equitable tax systems is not just a technical issue, but also reflects the underlying incentives of policy-makers to improve the tax system and make sure taxes are paid. The fiscal states project examines the political determinants of the investments that governments make in building tax systems capable of raising revenues from a multitude of sources.
In addition to increasing public revenue collection, enhancing the domestic resource mobilization means looking into other sources of domestic development financing. The project on domestic financing aims to understand the motives of citizens and firms to save, as well as the role of the public sector in addressing the savings shortfall in developing countries.
Government Revenue Dataset (GRD) is a database that presents a complete picture of government revenue and tax trends over time and allows for analysis at the country, regional or cross-country level. This unique dataset will be an important asset for the research undertaken in the DRM programme.
Connections between projects
Domestic revenue mobilization is important for economic and social development by allowing governments to finance critical public goods necessary for positive health and education outcomes. Project 6 (P6) addresses the non-tax dimension of domestic resource mobilization. The effectiveness of tax systems matters in mobilizing domestic resources, and P1, P2, P3, P5 and P7 are central in addressing the research and policy gaps in improving the functioning of tax (and benefit) systems. Political institutions as studied in P4 contribute to the understanding of the motivations of governments to invest in their tax systems.
Together, the seven projects provide a holistic and comprehensive approach to analysing the economic and political challenges around domestic revenue mobilization.
![]()
Source : UNU-WIDER : Domestic Revenue Mobilization programme
Unafikiri hata ukumpigia mpinzani utaambula failure kwa ccmccm mtajenga kujitetea mpaka basi !. 2025 mjiandae kisaikolojia na wananchi wenye hasira kali
ccm mtajenga kujitetea mpaka basi !. 2025 mjiandae kisaikolojia na wananchi wenye hasira kali
Kununua bunduki,tear gas,na mengineyo.Kuna ambayo hata mbunge anayekuwakilisha hajuiNa kodi nyingine mnazo watoza wananchi kila siku, mnazitumia kwenye nini? Kama hiyo miradi yote uliyoitaja imejengwa kwa kutumia hela za tozo?
Vipi kuhusu zile hela za COVID 19 kutoka IMF, zilitumika kwenye miradi gani?
Ebu funga kunywa Chako na fikra maana sio mda Mungu atakupa kipondo Cha karineNa kodi nyingine mnazo watoza wananchi kila siku, mnazitumia kwenye nini? Kama hiyo miradi yote uliyoitaja imejengwa kwa kutumia hela za tozo?
Vipi kuhusu zile hela za COVID 19 kutoka IMF, zilitumika kwenye miradi gani?
Acha ufala hakunaga msaada kwa vitu vya wizi. Tozo ni wizi wa kutumia nguvu kama ilivyo kwa vibaka na matapeli tu. Ushanitoza kodi ushamtoza kodi mtoa huduma na umeniwekea na Tozo... Wallahi ipo siku1. Ukusanyaji wa tozo Tsh. bilioni 221 kwa mwaka 2021/2022 zilikwenda kusaidia kwenye mikopo ya elimu ya juu.
2. Kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama vile JNHPP na SGR kwa mara moja.
3. Kupitia tozo za miamala ya simu serikali imeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa bilioni 117 na kila kituo kimegharimu milioni 500.
4. Kupitia tozo za miamala ya simu mwaka 2021/2022 Serikali imeweza kununua vifaa tiba kwa vituo vya afya 234 vilivyojegwa kupitia tozo za miamala.
5. Kupitia tozo ya miamala ya simu serikali imeweza kuajiri wauguzi (madaktari, manesi na wataalam wa afya) 7612.
6. Pia, miamala ya simu imesaidia kujenga majengo ya nje OPD na upasuaji, Maabara na wodi za wazazi nchini.
Kwa aina hii ya uandishi, kazi ipo.Ebu funga kunywa Chako na fikra maana sio mda Mungu atakupa kipondo Cha karine
Aibu yako chawa mshenzi!1. Ukusanyaji wa tozo Tsh. bilioni 221 kwa mwaka 2021/2022 zilikwenda kusaidia kwenye mikopo ya elimu ya juu.
2. Kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama vile JNHPP na SGR kwa mara moja.
3. Kupitia tozo za miamala ya simu serikali imeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa bilioni 117 na kila kituo kimegharimu milioni 500.
4. Kupitia tozo za miamala ya simu mwaka 2021/2022 Serikali imeweza kununua vifaa tiba kwa vituo vya afya 234 vilivyojegwa kupitia tozo za miamala.
5. Kupitia tozo ya miamala ya simu serikali imeweza kuajiri wauguzi (madaktari, manesi na wataalam wa afya) 7612.
6. Pia, miamala ya simu imesaidia kujenga majengo ya nje OPD na upasuaji, Maabara na wodi za wazazi nchini.