Fahamu umuhimu wa kutokunyoa nywele za kwapani na zinazozunguka eneo la haja kubwa

Fahamu umuhimu wa kutokunyoa nywele za kwapani na zinazozunguka eneo la haja kubwa

kama mwanaume tangu nizaliwe, sijawahi kunyoa nywele sehemu za haja hata fikra kama zipo huwa sifikirii ndo unanikumbusha hapa manake itakuwa kama najidhalilisha fulani ivi. wanawake najua huwa hawaoti nywele sehemu hizo, kamalingekuwa tatizo wao wangeathirika sana mbona. ila nakumbuka kipindi tupo sekondari bodingi, nilizunguka kwenye kichaka nikakuta classmate mmoja kaputuka anayolewa nyewe za huko na classmate mwingine, kwa sababu nilitoka kijijini nilishangaa sana, niliona kinyaa. ukubwani yule classmate nikikutana naye huwa namdharau mno na ashakuwa baba na familia.
Nilikua nawaza labda ni abnormality yangu. Kumbe ladies hua hazioti😁😁
 
Sijapenda
20250418_065538.jpg
 
Binadamu mwenye akili ya wastani hutafuta vitu vya kumpa furaha.
Tatizo la kutumia kiswahili kama lugha ya taifa. Lugha haina maarifa wala teknolojia, imejaa umbea, majungu na fitina. Ndiyo maana watu wake pia hawajielekezi kwenye mambo ya msingi.
 
Ukikutana mabinti warembo kama Bibie Eli Cohen kigori mwenye umbo kama la mdoli akiwa amenyoa hutarudia tena kuleta huu uzi
 
Back
Top Bottom