Fahamu umuhimu wa kutokunyoa nywele za kwapani na zinazozunguka eneo la haja kubwa

Fahamu umuhimu wa kutokunyoa nywele za kwapani na zinazozunguka eneo la haja kubwa

fuzzygalnextdoor_1705337635_3280932342038241019_56897897615.jpg
 
Kwa mwanaume kunyoa nywele za kati ya Yako kunasababisha uhanithi.
 
TAHADHARI jameni kama watumia mashine kunyoa huko mapangoni ambapo jua halichomozi kueni na umakini, maana endapo ukakosea step ukaelekezea wembe wa mashine kwenye jicho haloo! kwa jinsi utakavyo ruka na kupaa ni zaidi ya makombora ya Irani.
 
Mungu siyo taahira kuumba nywele katika maeneo zinapopatikana. Ameziweka kwa kazi maalumu ktk kila eneo.

Nywele za kwapani na katikati ya makalio kazi yake ni kupunguza joto na jasho ili kuepusha fangasi kujenga kambi maeneo hayo.

Unapozinyoa unasababisha makalio na vikwapa kujifunika kabisa na kupelekea unyevu na jasho kushamiri, hivyo kukaribisha fangasi kustawi maeneo hayo.

Asante.
HAja kubwa kumbe zinanyolewa?
Wacheni mamvo ya Piddiy
 
Wakiongozwa na wee, ndo maana uko hapa kabla yao.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kudadeq hv kumbe kujibiwa shit inauma hivi..... 😎😎

Dah ngoja nikapitie kwa umakini ule Uzi wa taratibu za kumiliki bunduki, naona Kuna umuhimu wa kuwa na hiyo kitu✍️
 
Back
Top Bottom