Fahamu utabiri wa Marais wote wa Tanzania kutoka kwa wazee wa kale

Realboynicky

Senior Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
156
Reaction score
296
MJEE/MZEE WA MUSOMA.
Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii ya wajita.

Nilipofika katika hili eneo ambalo kwa sasa limetengwa kuwa halmashauri ambayo makao makuu yako Mrangi,kabla ya kuhama kurudi Arusha niliifatilia historia ya hili eneo na kati ya mambo mengi ya kihistoria nilvutiwa na historia ya mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mjee.

Mjee alikuwa hajaoa na alikuwa hana makazi maalumu,alikuwa mtu wakutembea tembea leo yuko kijiji hiki na wiki kesho yuko vijiji vingine.Alikuwa hana urafiki wa karibu na watu wazima,maana huwezi mkuta akijadiliana jambo na watu wazima ama wazee bali ni watoto wadogo ndo walikuwa ni marafiki zake.

Akiingia kijijini unakuta anatembea na rundo la watoto wadogo maana watu wazima walimuona kama hazimtoshi yaani punguani,ila walikuja kujua kama hakuwa punguani pale mambo aliyokuwa anawaambia yalipoanza kutokea ikiwa ni baada ya miaka mingi kupita.

Ni mtu wa pekee ukiifatilia historia yake maana alitabiri mambo mengi na hata yeye kujitabiria angali akiwa hai kuwa baada ya kifo chake kila mwanamke katika Majita nzima atakaye jifungua mtoto wa kiume ni lazima atamuita jina lake yaani Mjee iwe kwa kupenda ama kutopenda.Hili limethibitika ndani ya majita nzima,maana kwa kila mwanamke anaye jifungua mtoto wa kiume ni lazima amuite jina la Mjee ingawa atakuwa na jina lake lingine.Hivyo hata wazee wa miaka 90 kule majita waliitwa jina la Mjee na mama zao na hili halina ubishi,hii inaendelea hadi leo.

Nilipoongea na wazee wakaniambia alitabiri mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuja kwa wakoloni,watu kuishi pamoja yaani vijiji vya ujamaa,watu kuishi kwenye vichuguu,kiongozi wa kwanza wa hili taifa kutawala akiwa tumboni,atake fuata na utawala wake,wa pili na hata wa mwisho na pia jiwe litakalo tokea.Alipo kuwa anayaongea hayo alikuwa anatoa sauti kama ya mtu anaye lia kwa kupiga mayowe.

KUJA KWA WAKOLONI.
Ikiwa ni kabula ya kuja kwa wakoloni,mjee alipita kwenye vijiji na kupaza sauti ya mayowe huku akifuatwa na msururu wa watoto na kuwaambia watu kuwa anaona mitumbwi mikubwa inakuja akimaanisha(meli na majaazi) imebeba watu ambao ni kama watoto(yaani ni weupe).Wanakuja ili kututesa na kila tulicho nacho watatunyang’anya. Alipo kuwa anayaongea haya watu wazima walisikika wakisema haaaa ni Mjee omusasi (yaani ni Mjee punguani/kichaa) alikuwa akidharaulika sana maana alionekana hazimtoshi.

Baada ya kifo chake na miaka mingi kupita ndipo wakoloni waliivamia Tanzania na hata wengine kufika majita na watu wengi kuuwawa wale walokuonesha upinzani wa kutawaliwa na wale watu.Maeneo yaliyo tumika kwa wenyeji kujificha wakati wa mapambano ni maeneo ya Makojo hadi Chimati,ambapo maeneo ya Chimati kuna mto ambapo mafuvu na mifupa ya watu ilionekan hadi miaka ya 1985.Ndipo hapo walianza kumkumbuka Mjee kuwa yule mtu hakuwa punguwani bali mtabiri.

VIJIJI VYA UJAMAA
Mjee alitabiri pia kuanzishwa kwa vijiji vya ujamaa ambapo alisikika akisema,ameiona mitumbwi inakuja huku imejaza mashoka(yaani jimbasa),akaona watu wanachukua mashoka na kufyeka pori(yaani kandokando) na akaona watu wanaishi ndani ya hayo maeneo. Akasema anaona watu wamejaa na wengi wanauana maana wamekosa mahala pa kuishi alipo kuwa anayasema hayo watu wazima wa maeneo aliyokuwa anapita walikuwa wanamcheka,ila kwa sasa maono yake yamesha timia.

WATU KUISHI KWENYE VICHUGUU
Miaka hiyo kila nyumba iliyokuwa inajengwa lazima ujenzi wake ulikuwa ama ukitumia nyasi,juu hadi chini ama ukitumia miti. Mjee aliona watu wakiishi kwenye vichuguu nadhani alishindwa kujua ujenzi unao tumika kwa sasa kutokana na uhalisia wa mazingira ya wakati huo na tekinolojia ya wakati huu.Vichuguu ni nyumba ya mchwa ambayo hujengwa na mchwa wenyewe kwa tope,ila alivyokua anaangalia huko mbele aliona pia watu wakiishi kwenye vichuguu yaani nyumba iliyo jengwa kwa tope kama za wakati huu.Hili halina ubishi maana maono yake yalitimia na yametimia kwa watu kutumia tope( yaani tofali) kujenga nyum

MTAWALA WA KWANZA KUTAWALA AKIWA TUMBONI
Miaka ya Mjee kuzunguka hili eneo la Majita,pia aliweza kutabiri kuhusu kiongozi wa kwanza wa nchi hii,akiwa katika kutembea na marafiki zake ambao walikuwa ni vijana wadogo,alisikika akisema(kwa sauti ya juu) kuwa ameoneshwa kuwa kiongozi wa kwanza atazaliwa huku majita,pia anaona huyo mtoto akitawala nchi akiwa tumboni maana wabaya wake watamuua,akasema ameona mtoto mwingine amezaliwa mashariki huyo ndo atakuja kuitawala nchi hadi ataacha mwenyewe,na atakuwa na amri juu ya hao watu weupe maana atawaambia ondokeni nyumbani kwangu nao watamtii maana wa mwanzo hatakuwepo tena.Aliyetabiriwa hapa ni mwl J.K.Nyerere maana Zanaki (Butiama) ipo mashariki mwa Majita

Baada ya miaka mingi kupita kati ya kijiji cha Bugunda au Bulinga alitokea mama mmoja mjamzito,ilikuwa ni kama muujiza pale mtoto aliyekuwa tumboni mwa mama yake alipo mwambia mama yake kuwa amzae ili akatawale nchi.Habari hii ilienea majita nzima kwa wakati huo hadi kwa machifu wa wakati huo hii haikuwa habari njema kwa watawala wa wakati huo kwani walidhani huyo mtoto atakuja kuwanyang’anya uchifu wao.Mtoto alipoanza kukua watawala wa wakati huo wakafanya mbinu ya kumuangamiza na hilo lilifanikiwa na kutimiza usemi wa Mjee wa kusema kuwa atatawala akiwa tumboni.Lakini baada ya mwl Nyerere kuja na kuikomboa nchi ndipo walipo kumbuka maneno ya mjee. Hili lilitokea kama maono ya mjee alivyokuwa ameoneshwa.

KIONGOZI ALIYEFUATIA.
Katika kutembea kwake huku akipiga mayowe,Mjee aliendelea na utabiri ambapo aliongea bayana kuwa baada ya utawala wa huyo atakaye tokea mashariki atakuja kiongozi mwingine atakeye tokea (Kwisinga) akimaanisha kisiwani,mda ukayoyoma na Nyerere alipo staafu kiongozi aliyefuata alikuwa ni Mzee Ruksa(Mwinyi).Waalokuwa na kumbukumbu ya kile Mjee alichoongea walikumbuka maana Mzee Mwinyi alitokea Zanzibar.

ATAKEYE MFUATA HUYO
Mjee alioneshwa kuwa baada ya huyo wa kisiwani atafuatia mtawala mwingine atakaye tokea mwisho wa nchi,Mtu akiwa Musoma(Mara) mwisho wa nchi itakuwa ni mikoa ya Ruvuma,Mtwara na Lindi.Lakini huu utabiri wake ulikuja kuthibitika pale Rais aliyefuata baada ya Mwinyi alitokea mkoa ambao uko mwisho wanchi kwa mtu atakayetokea mkoa wa Mara ama Musoma mwisho wa nchi ni mikoa niloitaja hapo juu ambapo BWMkapa alitokea mkoa wa Mtwara.

KIONGOZI ALIYEFUATA
Mjee alioneshwa katika maono kuwa atafuata kiongozi ambaye ni wa kunjekekera akimaanisha atatokea kandokando ya bahari ama ziwa.Katika awamu zilizopita tayari tumeshashuhudia kiongozi akitoka pwani ya bahari ya hindi.

Baada ya huo utawala atatokea kiongozi mwingine ambaye atatoka jirani na maeneo ya Musoma.Lakini baada ya huo utawala utafuata utawala wa LEMBESYA yaani atakayesawazisha kila kitu na kuweka kila kitu sawa ila katika maono alioneshwa kuwa Utawala huu wa LEMBESYA ataupata baada ya mapigano kidogo kutokea kutoka kwa mtangulizi wake mda huo maana atajaribu kung’ang’ania madarakani japo atakuwa ameshindwa kupitia sanduku la kura na pia utakuwa utawala wa mda mfupi maana utakuja utawala wa LISO TUNGU.

Lakini huu utawala wa LISO TUNGU utadumu japo si kwamda mrefu na utaondoshwa na utawala wa JIWE maana aliona katika maono jiwe kubwa likipiga utawala wa LISO TUNGU na baada ya hapo aliona giza tupu.

WAJITA MULIOKO HUMU MWAWEZA KUTUPA TAFASIRI YA HAYO MANENO YALOKOLEZWA NA KUTHIBITISHA UWEPO WA HUYU MTU HUKO MAJITA YA ZAMANI.
 
Hii nimeikuta mahali nimekuja kushare mada hii upya,sasa maswali yangu ni jiwe ni nani maana kuna tabiri nyingi kuhusu uongozi wa jiwe kuja mwishoni na kutawala dunia sasa nauliza je huyu jiwe ni nani?
 
Kama ni kweli basi ni kiboko, ila as always jambo la kweli ambalo ni geni huonekana kama bizarre likitokea ndo watu husema daaaah Fulani alisema sijui Fulani aliongea na blah blah kibao, hata Galileo Galilei na wanasayansi wengine wakubwa hoja zao (mpya) zilionekana ni impossible na kuonekana ni bizarre ila mwisho wa siku ukweli unajulikana, masihara masihara mara nyingi huwa kweli.
 
Mbona sasa Suluhu hajapigania kuwa madarakani...

Wala hakujakuwa na mapigano yoyote...
Mapigano anayoyazungumzia yalikua ya Shujaa LEMBESYA.
Maana yake kapambana na mtangulizi wake 'kunjerekela' AKA Toyota Crown
yaani NANASI.
Bw.Shujaa alishindwa kwenye box la kura hivyo akang'ang'ania kupita kwa kishindo.
LISO TUNGU maana yake ni jicho kubwa 'eliso' /jicho/ Tungurumuke *kubwa"
Maana yake daktari, chief aliyepo wakati huu.
SASA HUYU LISO TUNGU ATAPIGWA NA JIWE (sio shujaa)Ambaye ndio anafuatia baada ya hapa tulipo.

Sasa huyu mujee baada ya utawala wa Liso kupinduka kwa kupigwa na jiwe kubwa akapotelea hapo
 
Thread yenye content km hii iliwahi kuletwa humu kabla hata Jiwe hajafa!..Ni ngano tu km ngano nyingine kama sio ngano tuambie alitabiri nini kuhusu mtawala wa 7 na wa nane hili baada ya muda huo tuje humu kuleta feedback tuseme ni kweli Mjee alikuwa sahihi
 
MJEE/MZEE WA MUSOMA.
Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii ya wajita.

Nilipofika katika hili eneo ambalo kwa sasa limetengwa kuwa halmashauri ambayo makao makuu yako Mrangi,kabla ya kuhama kurudi Arusha niliifatilia historia ya hili eneo na kati ya mambo mengi ya kihistoria nilvutiwa na historia ya mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mjee.

Mjee alikuwa hajaoa na alikuwa hana makazi maalumu,alikuwa mtu wakutembea tembea leo yuko kijiji hiki na wiki kesho yuko vijiji vingine.Alikuwa hana urafiki wa karibu na watu wazima,maana huwezi mkuta akijadiliana jambo na watu wazima ama wazee bali ni watoto wadogo ndo walikuwa ni marafiki zake.

Akiingia kijijini unakuta anatembea na rundo la watoto wadogo maana watu wazima walimuona kama hazimtoshi yaani punguani,ila walikuja kujua kama hakuwa punguani pale mambo aliyokuwa anawaambia yalipoanza kutokea ikiwa ni baada ya miaka mingi kupita.

Ni mtu wa pekee ukiifatilia historia yake maana alitabiri mambo mengi na hata yeye kujitabiria angali akiwa hai kuwa baada ya kifo chake kila mwanamke katika Majita nzima atakaye jifungua mtoto wa kiume ni lazima atamuita jina lake yaani Mjee iwe kwa kupenda ama kutopenda.Hili limethibitika ndani ya majita nzima,maana kwa kila mwanamke anaye jifungua mtoto wa kiume ni lazima amuite jina la Mjee ingawa atakuwa na jina lake lingine.Hivyo hata wazee wa miaka 90 kule majita waliitwa jina la Mjee na mama zao na hili halina ubishi,hii inaendelea hadi leo.

Nilipoongea na wazee wakaniambia alitabiri mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuja kwa wakoloni,watu kuishi pamoja yaani vijiji vya ujamaa,watu kuishi kwenye vichuguu,kiongozi wa kwanza wa hili taifa kutawala akiwa tumboni,atake fuata na utawala wake,wa pili na hata wa mwisho na pia jiwe litakalo tokea.Alipo kuwa anayaongea hayo alikuwa anatoa sauti kama ya mtu anaye lia kwa kupiga mayowe.

KUJA KWA WAKOLONI.
Ikiwa ni kabula ya kuja kwa wakoloni,mjee alipita kwenye vijiji na kupaza sauti ya mayowe huku akifuatwa na msururu wa watoto na kuwaambia watu kuwa anaona mitumbwi mikubwa inakuja akimaanisha(meli na majaazi) imebeba watu ambao ni kama watoto(yaani ni weupe).Wanakuja ili kututesa na kila tulicho nacho watatunyang’anya. Alipo kuwa anayaongea haya watu wazima walisikika wakisema haaaa ni Mjee omusasi (yaani ni Mjee punguani/kichaa) alikuwa akidharaulika sana maana alionekana hazimtoshi.

Baada ya kifo chake na miaka mingi kupita ndipo wakoloni waliivamia Tanzania na hata wengine kufika majita na watu wengi kuuwawa wale walokuonesha upinzani wa kutawaliwa na wale watu.Maeneo yaliyo tumika kwa wenyeji kujificha wakati wa mapambano ni maeneo ya Makojo hadi Chimati,ambapo maeneo ya Chimati kuna mto ambapo mafuvu na mifupa ya watu ilionekan hadi miaka ya 1985.Ndipo hapo walianza kumkumbuka Mjee kuwa yule mtu hakuwa punguwani bali mtabiri.

VIJIJI VYA UJAMAA
Mjee alitabiri pia kuanzishwa kwa vijiji vya ujamaa ambapo alisikika akisema,ameiona mitumbwi inakuja huku imejaza mashoka(yaani jimbasa),akaona watu wanachukua mashoka na kufyeka pori(yaani kandokando) na akaona watu wanaishi ndani ya hayo maeneo. Akasema anaona watu wamejaa na wengi wanauana maana wamekosa mahala pa kuishi alipo kuwa anayasema hayo watu wazima wa maeneo aliyokuwa anapita walikuwa wanamcheka,ila kwa sasa maono yake yamesha timia.

WATU KUISHI KWENYE VICHUGUU
Miaka hiyo kila nyumba iliyokuwa inajengwa lazima ujenzi wake ulikuwa ama ukitumia nyasi,juu hadi chini ama ukitumia miti. Mjee aliona watu wakiishi kwenye vichuguu nadhani alishindwa kujua ujenzi unao tumika kwa sasa kutokana na uhalisia wa mazingira ya wakati huo na tekinolojia ya wakati huu.Vichuguu ni nyumba ya mchwa ambayo hujengwa na mchwa wenyewe kwa tope,ila alivyokua anaangalia huko mbele aliona pia watu wakiishi kwenye vichuguu yaani nyumba iliyo jengwa kwa tope kama za wakati huu.Hili halina ubishi maana maono yake yalitimia na yametimia kwa watu kutumia tope( yaani tofali) kujenga nyum

MTAWALA WA KWANZA KUTAWALA AKIWA TUMBONI
Miaka ya Mjee kuzunguka hili eneo la Majita,pia aliweza kutabiri kuhusu kiongozi wa kwanza wa nchi hii,akiwa katika kutembea na marafiki zake ambao walikuwa ni vijana wadogo,alisikika akisema(kwa sauti ya juu) kuwa ameoneshwa kuwa kiongozi wa kwanza atazaliwa huku majita,pia anaona huyo mtoto akitawala nchi akiwa tumboni maana wabaya wake watamuua,akasema ameona mtoto mwingine amezaliwa mashariki huyo ndo atakuja kuitawala nchi hadi ataacha mwenyewe,na atakuwa na amri juu ya hao watu weupe maana atawaambia ondokeni nyumbani kwangu nao watamtii maana wa mwanzo hatakuwepo tena.Aliyetabiriwa hapa ni mwl J.K.Nyerere maana Zanaki (Butiama) ipo mashariki mwa Majita

Baada ya miaka mingi kupita kati ya kijiji cha Bugunda au Bulinga alitokea mama mmoja mjamzito,ilikuwa ni kama muujiza pale mtoto aliyekuwa tumboni mwa mama yake alipo mwambia mama yake kuwa amzae ili akatawale nchi.Habari hii ilienea majita nzima kwa wakati huo hadi kwa machifu wa wakati huo hii haikuwa habari njema kwa watawala wa wakati huo kwani walidhani huyo mtoto atakuja kuwanyang’anya uchifu wao.Mtoto alipoanza kukua watawala wa wakati huo wakafanya mbinu ya kumuangamiza na hilo lilifanikiwa na kutimiza usemi wa Mjee wa kusema kuwa atatawala akiwa tumboni.Lakini baada ya mwl Nyerere kuja na kuikomboa nchi ndipo walipo kumbuka maneno ya mjee. Hili lilitokea kama maono ya mjee alivyokuwa ameoneshwa.

KIONGOZI ALIYEFUATIA.
Katika kutembea kwake huku akipiga mayowe,Mjee aliendelea na utabiri ambapo aliongea bayana kuwa baada ya utawala wa huyo atakaye tokea mashariki atakuja kiongozi mwingine atakeye tokea (Kwisinga) akimaanisha kisiwani,mda ukayoyoma na Nyerere alipo staafu kiongozi aliyefuata alikuwa ni Mzee Ruksa(Mwinyi).Waalokuwa na kumbukumbu ya kile Mjee alichoongea walikumbuka maana Mzee Mwinyi alitokea Zanzibar.

ATAKEYE MFUATA HUYO
Mjee alioneshwa kuwa baada ya huyo wa kisiwani atafuatia mtawala mwingine atakaye tokea mwisho wa nchi,Mtu akiwa Musoma(Mara) mwisho wa nchi itakuwa ni mikoa ya Ruvuma,Mtwara na Lindi.Lakini huu utabiri wake ulikuja kuthibitika pale Rais aliyefuata baada ya Mwinyi alitokea mkoa ambao uko mwisho wanchi kwa mtu atakayetokea mkoa wa Mara ama Musoma mwisho wa nchi ni mikoa niloitaja hapo juu ambapo BWMkapa alitokea mkoa wa Mtwara.

KIONGOZI ALIYEFUATA
Mjee alioneshwa katika maono kuwa atafuata kiongozi ambaye ni wa kunjekekera akimaanisha atatokea kandokando ya bahari ama ziwa.Katika awamu zilizopita tayari tumeshashuhudia kiongozi akitoka pwani ya bahari ya hindi.

Baada ya huo utawala atatokea kiongozi mwingine ambaye atatoka jirani na maeneo ya Musoma.Lakini baada ya huo utawala utafuata utawala wa LEMBESYA yaani atakayesawazisha kila kitu na kuweka kila kitu sawa ila katika maono alioneshwa kuwa Utawala huu wa LEMBESYA ataupata baada ya mapigano kidogo kutokea kutoka kwa mtangulizi wake mda huo maana atajaribu kung’ang’ania madarakani japo atakuwa ameshindwa kupitia sanduku la kura na pia utakuwa utawala wa mda mfupi maana utakuja utawala wa LISO TUNGU.

Lakini huu utawala wa LISO TUNGU utadumu japo si kwamda mrefu na utaondoshwa na utawala wa JIWE maana aliona katika maono jiwe kubwa likipiga utawala wa LISO TUNGU na baada ya hapo aliona giza tupu.

WAJITA MULIOKO HUMU MWAWEZA KUTUPA TAFASIRI YA HAYO MANENO YALOKOLEZWA NA KUTHIBITISHA UWEPO WA HUYU MTU HUKO MAJITA YA ZAMANI.
Mimi si Mjita ila mimi ni Mkabwa niliyezaliwa Kawe Dar es salaam. Nimependa sana habari za huyu Mjee na ningependa kufahamu zaidi ya haya kwa sababu ni muda mrefu najaribu kutengeneza documentary kwa ajili ya cultural tourism ya mkoa wa Mara. Mkoa huu umejaliwa kuwa na makabila mengi sana katika eneo dogo na kila kabila lina lugha yake na culture yake tofauti na nyingine, hii inafanya mkoa kuwa unique na kama tukifanikiwa kutengeneza hii documentary inaweza kusaidia kukuza utalii wa mkoa wa Mara na tukavutia watalii wengi kama unavyojua pia tuna Butiama tunaweza kuijumuisha.....Mimi naishi Arusha Sakina napatikana 0653 067 100 jina langu Dkt Mugassa Paul Mabere
 
Mwandishi wa stori ama ni muongo au aliye msimulia alikuwa muongo.

Kabla ya kuja kwa Wakoloni,ukutane na kudi la watoto wakati umbali uliopo kutoka mji wa familia na familia ni nusu km?

Mimi ni mwenyeji wa Majita,sasa kijiji cha CHIMATI na mto wapi na wapi?

Ktk KIJITA hakuna herufi R.
Neno JIWE kwa KIJITA ina maana ya YAISHE na si jiwe tunalolifahamu (Mawe).

LEMBESYA (paka mafuta kwa mgongo wa chupa).

Sasa naomba ni kwambie juu ya jina MJEE.
WAJITA tangu zamani na zamani tunaita watoto majina kutokana na tukio gani lililandana na kuzaliwa kwa mtoto (nyakati) na baadae jina hilo hilo atakuja kurithishwa mjukuu.

Mfano, jina MASATU,huyu alizaliwa kipindi ambacho samaki aina ya SATO walikuwa wakipatikana kwa wingi (akiwa wa kike ni NYASATU).
MAGESA,huyu alizaliww wakati wa mavuno (akiwa wa kike ataitwa NYAMAGESA.

WANG'UBHA (MAJULA) alizaliwa kipindi cha masika ama wakati mvua ina nyesha (wa kike ni NYANG'UBHA au NYANJULA)

Sasa mtoto wa MAJULA akioa,akazaa mtoto wa kiume ataitwa jina la babu yake (MAJULA,sasa kipindi hicho haya majina mbadala (ya ubatizo) hayakuwepo lkn mama yake MAJULA mtoto ni vigumu kumuita mwanae kwa hilo jina kwakuwa ni jina la baba mkwe wake kwa kigezo kwamba unaweza kukuta Majula wote (babu na mjukuu)wako jirani ama babu ndo yuko jirani na akaitika ilihali huyu mama alikuwa akimuita mtoto,atamwambia nini?( Zingatia nidhamu na maadili ya wakati huo).
Hivyo ili kuwe na utofauti kati ya hawa MAJULA wawili kwa huyu mama,basi atakuwa akimuita mwanae MJEE (Yaani MZEE mwenye mamulaka).
Ila MZEE kwa maana ya MWANAUME MWENYE UMRI MKUBWA kwa KIJITA ni MUKALUKA.

Nakaribisha masahihisho.
 
Mapigano anayoyazungumzia yalikua ya Shujaa LEMBESYA.
Maana yake kapambana na mtangulizi wake 'kunjerekela' AKA Toyota Crown
yaani NANASI.
Bw.Shujaa alishindwa kwenye box la kura hivyo akang'ang'ania kupita kwa kishindo.
LISO TUNGU maana yake ni jicho kubwa 'eliso' /jicho/ Tungurumuke *kubwa"
Maana yake daktari, chief aliyepo wakati huu.
SASA HUYU LISO TUNGU ATAPIGWA NA JIWE (sio shujaa)Ambaye ndio anafuatia baada ya hapa tulipo.

Sasa huyu mujee baada ya utawala wa Liso kupinduka kwa kupigwa na jiwe kubwa akapotelea hapo
Kunjelekela na siyo kunjerekela.
 
Mimi si Mjita ila mimi ni Mkabwa niliyezaliwa Kawe Dar es salaam. Nimependa sana habari za huyu Mjee na ningependa kufahamu zaidi ya haya kwa sababu ni muda mrefu najaribu kutengeneza documentary kwa ajili ya cultural tourism ya mkoa wa Mara. Mkoa huu umejaliwa kuwa na makabila mengi sana katika eneo dogo na kila kabila lina lugha yake na culture yake tofauti na nyingine, hii inafanya mkoa kuwa unique na kama tukifanikiwa kutengeneza hii documentary inaweza kusaidia kukuza utalii wa mkoa wa Mara na tukavutia watalii wengi kama unavyojua pia tuna Butiama tunaweza kuijumuisha.....Mimi naishi Arusha Sakina napatikana 0653 067 100 jina langu Dkt Mugassa Paul Mabere
Onana na JOSEPH ALEX MAGESA KUSAGA,ndiyo, Joseph huyo huyo mtoto wa MZEE ALEX MAGESA KUSAGA mmiliki wa Mawingu.
Huyu ndugu atakuwa anafahamu mengi.

Kwa msiofahamu,huyu Joseph ni mtoto wa Mzee Alex Magesa Kusaga,kwa mlio wahi kufika MUSOMA MJINI kuna barabara inayotokea ofisi za idara ya mifugo pale karibu na kwa Mkuu wa Mkoa (Makutano ya MAJITA ROAD ndo hii inayokwenda mpaka kivukoni (Mwigobelo).
Barabara hii inaitwa barabara ya KUSAGA,huyu Kusaga alikuwa ndiye Chief (OMWINANGWA) wa WAJITA kipindi cha mwisho wa Wakoloni hapa TANGANYIKA akitokea kijiji kinaitwa BWASI.

Wakoloni kipindi chao cha mwisho walimpa UKUU wa WILAYA ya Musoma. Kwa hiyo ALEX alikuwa ni mjukuu wa KUSAGA.

Huyu KUSAGA alikuwa na ndugu zake,ninao wakumbuka ni LUHUMBIKA na KULEBHA ambao wote walitawala akianza LUHUMBIKA (njaa ilipelekea aondolewa),akafuata KULEBHA naye alishindwa nadhani pia kutokana na njaa kutoisha ndani ya jamii. Huyu dogo sasa KUSAGA,ndiye alifanikisha na inasemekana ndiye aliye husika ktk uwekaji wa mipaka baina ya ZANAKI na MAJITA (Kuna kisa hapa cha kijasusi KUSAGA alifanya na kumpiku BURITO na kuchukua eneo kubwa mpaka MUGANGO wakati BURITO yy alilenga mpaka uwe Mto SUGUTI).

Sasa mimi nikuelekeze sehemu ya kupata taarifa sahihi. Nenda MAJITA kijiji kinaitwa BWASI,ukoo wa KUSAGA UKO pale,utaoneshwa na kupewa kumbukumbu zooote na utaoneshwa na ikulu ya MWINANGWA.
 
Ni uongo usio na maana yoyote ni hadithi ya kutunga tu, Mzee Mwinyi sio wa kutoka Visiwani ni M'bara toka mkuranga alikwenda Zanzibar akiwa kijana mdogo akajikuta ameweka makazi ya kudumu.
Hakuna cha utabiri wala mavi.
 
Back
Top Bottom