Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaeleweka. JICHO KUBWA atakuja baada ya Samia. Kama Majaliwa (ai VP Mpango)ni JICHO KUBWA. Baada ya hapo atakuja JIWE na giza.Hapa umeeleza nini, mbona bado haiekeweki?!
Makabila mengi ya mara yanajitegemea. Si kweli kwamba yametokana na Kurya, Jita na Luo.Dkt wa heshima? PhD? Dkt wa binadamu Au wanyama Au Dkt wa matunguli kama Dkt Manyaunyau
Una fahamu kuwa kuna Makabila mengi huko kwenu Mara
Je una fahamu chanzo cha makabila hayo kutokea?
Umesema kuwa yana ongea lugha tofauti, je ni kweli?
Wewe una fahamu lugha gani huko mkoa wa mara?
Wajita na wajita wakabwa
Naona bado upo katika utafiti na ukiufanyia utafiti huo Dar na Arusha badala ya kwenda Mara kwenyewe
Makabila haya Mengi yame tokana na Makabila machache ya
Kurya
Jita
Ruo
Haya Makabila ndio yame zaa Makabila mengine mengi unayo yaona huko
Nakushauri ufanye tafiti zaidi, nenda ukajifunze toka kwa wazee, wazee ni hazina
Israel sio Taifa teule wala halina Ahadi yoyote ya Muumba wa dunia labda lina ahadi ya shetan kuliweka hapo middle east kuudanganya ulimwengu kuhusu asili ya uteule ni upi na kucontrol Uchumi wa wanyonge wa middle east, hili liko wazi...na kristo hawezi kurudi kiwepesi hivi kama watu dunian bado hawamjui hata muonekano wake ulikuwa vipi ama mnadhan ndiye yule afananae na wale wazungu wenu wa filam na picha za Hollywood?.2023-na kuendelea, Dunia itapitia kipindi kigumu na DHIKI ambayo haikuwahi Kutokea duniani.
Mungu atabomoa nyumba ya zamani Ili kujenga mpya.
Israel ni Taifa la AHADI, bt TANZANIA ni Taifa la AGANO.
Uchumi wa Dunia utaanguka, VITI vikubwa havitakalika, watu watavisusia.
Hayo ni maandalizi ya Kristo kuja kutawala Duniani miaka ELFU. KITI Cha enzi kitakuwa TANZANIA sababu ndiyo Nchi ya AHADI sawasawa na Ezekiel 30.
Tutegemee viboko vya kutosha Kutoka juu, maana mtoto anayependwa, huadhibiwa sana.
Amen.
Ndugu yangu Chillah; hata sijui nikujibu lipi maana naona umeamua kunidhalilisha kwa maswali yako kama mimi ni Dkt wa mifugo au matunguli au wa heshima au PhD. Hata hivyo nitakujibu kama ifuatayo mimi ni mtaalamu wa fani ya Economic sciences /Tourism na Hospitality management ngazi ya PhD naomba niishie hapa niache niendelee na ujinga wangu wa kuandaa documentary ya cultural tourism ya Mkoa wa Mara labda kuna siku ujinga wangu utasaidia mkoa wetu kuongeza idadi ya watalii na kuboresha uchumi wetu.Dkt wa heshima? PhD? Dkt wa binadamu Au wanyama Au Dkt wa matunguli kama Dkt Manyaunyau
Una fahamu kuwa kuna Makabila mengi huko kwenu Mara
Je una fahamu chanzo cha makabila hayo kutokea?
Umesema kuwa yana ongea lugha tofauti, je ni kweli?
Wewe una fahamu lugha gani huko mkoa wa mara?
Wajita na wajita wakabwa
Naona bado upo katika utafiti na ukiufanyia utafiti huo Dar na Arusha badala ya kwenda Mara kwenyewe
Makabila haya Mengi yame tokana na Makabila machache ya
Kurya
Jita
Ruo
Haya Makabila ndio yame zaa Makabila mengine mengi unayo yaona huko
Nakushauri ufanye tafiti zaidi, nenda ukajifunze toka kwa wazee, wazee ni hazina
Kama kuna neno ujinga basi unaweza highlight na kuonesha Nime kuzarauNdugu yangu Chillah; hata sijui nikujibu lipi maana naona umeamua kunidhalilisha kwa maswali yako kama mimi ni Dkt wa mifugo au matunguli au wa heshima au PhD. Hata hivyo nitakujibu kama ifuatayo mimi ni mtaalamu wa fani ya Economic sciences /Tourism na Hospitality management ngazi ya PhD naomba niishie hapa niache niendelee na ujinga wangu wa kuandaa documentary ya cultural tourism ya Mkoa wa Mara labda kuna siku ujinga wangu utasaidia mkoa wetu kuongeza idadi ya watalii na kuboresha uchumi wetu.
Makabila mengi ya mara yanajitegemea. Si kweli kwamba yametokana na Kurya, Jita na Luo.
Ila kwa kuwa wameishi maeneo mamoja kuna uwezekanao wa kusikilizana.
Mfano. Historia kwa kifupi sana. Wazanake walitokea huko Rwanda, Wajita orijino wametokea maeneo ya Misri na Ethiopia wakashuka Uganda na kuingia Musoma, japo kuna wajita walotokea mashariki mwa Tanzania.
Wakwaya ni wenyeji wa Musoma mjini. Wajita walichangamana na wakwaya kidogo hivyo kuna baadhi ya maneno wanafanana, japo ni makabila mawili tofauti na mila tofauti. Wajita orijino wengi wao walikuwa warefu wanapua ndefu. Wamegawanyika katika koo kubwa tatu.
Wajaluo wametokea huko Sudan nakufuata mto Nile. Kuna Waruri, wapo maeneo ya Mgango, hawa pia watu uwajumuisha kama wajita lakini wanautofauti mkubwa. Mfano nyekundu Mruri uita kaang'aru wakati mjita uita tuk' rasi. Na mengineyo mengi.
Niishie hapa ni makabila kibao yapatayo 24. Wana mila na desturi tofauti. Hila mkoa wa Mara wanapendana kwani uitana wa Port kuonesha wanatokea sehemu moja. Mkurya atafahamu baadhi ya kijita na mjita atafahamu kikurya au kijaluo. Haya ndo maisha ya wana Mara.
Jaribu kuwasiliana na Madaraka Nyerere, anaweza kuchangia mawazo kufanikisha hiyo documentary.niache niendelee na ujinga wangu wa kuandaa documentary ya cultural tourism ya Mkoa wa Mara
Asante sana ndugu Gagnija kwa maelekezo yako natumaini Madaraka nae atakuwa amesoma humu ndani, nitamtafuta kwa vyovyote vile kwani Butiama inahusika vile vile. Butiama ina mchango sehemu kuu nne 1. Political 2. Educational 3. Religious 4. Cultural / historical kote Mwalimu anahusika. Bila ya shaka wengi wanafahamu mchango wa Mwalimu kwenye ukombozi wa Afrika na pia siasa zake za ujamaa na kujitegemea kuna mengi ya kuvutia. Kwenye elimu Mwalimu anatambulika vyuo vingi duniani ambapo alipewa degree nyingi za heshima na kufanya midahalo mingi huko tunaweza kuwapata wanafunzi watalii watakaozuru maktaba zake. Mwaka 1984 nikiwa mwanafunzi wa Diploma nchini Austria tukiwa Vienna tulizuru UNIDO city huko tulionyeshwa Africa na watu wake. Tulionyeshwa Mwalimu kama Africa Great Statesman ambayo ili cover historia ya mwalimu, hotuba zake, ziara zake nchi mbali mbali na mahusiano yake kisiasa na nchi za East na West. Nilitegemea royal tour ingejumuisha vitu kama hivi. Upande wa dini tunafahamu hatua nzuri iliyofikiwa katika mchakato wa Mwalimu kutangazwa Mtakatifu hapa tunategemea kupata watalii wa nje na ndani alafu mwisho kwenye cultural / historical kuna hazina kubwa ya kuchota kutoka kwa wazanaki na pia historia ya chifu Burito katika utawala wake n.k. Spidi yangu imepungua kidogo kwa sababu nilipoanza nilikuwa nimeajiriwa kwa hiyo nilikuwa natumia resources zangu bila athari yoyote lakini kipindi kirefu sasa nimestaafu sina kipato cha uhakika ninajikongoja. Hata hivyo nawasiliana na ndugu wa Mara consult ambao wanashirikiana na Padre labda tunaweza kushirikiana. Vile vile kuna chuo kikuu kimoja cha Australia kimeonyesha dalili ya ku support kama project ya Post Doctoral. Ni wazi kwamba tuna mengi sana ya kuongea na kama tukifanikiwa basi tunaweza kuuweka Mkoa wa Mara kwenye utalii duniani, asante sana.Jaribu kuwasiliana na Madaraka Nyerere, anaweza kuchangia mawazo kufanikisha hiyo documentary.
Yupo Facebook kwa jina Godfrey Madaraka.