Fahamu utabiri wa Marais wote wa Tanzania kutoka kwa wazee wa kale

Hekaya kama hizi zinapatikana ukisha vimbiwa kande tuu.
 
2023-na kuendelea, Dunia itapitia kipindi kigumu na DHIKI ambayo haikuwahi Kutokea duniani.

Mungu atabomoa nyumba ya zamani Ili kujenga mpya.

Israel ni Taifa la AHADI, bt TANZANIA ni Taifa la AGANO.

Uchumi wa Dunia utaanguka, VITI vikubwa havitakalika, watu watavisusia.

Hayo ni maandalizi ya Kristo kuja kutawala Duniani miaka ELFU. KITI Cha enzi kitakuwa TANZANIA sababu ndiyo Nchi ya AHADI sawasawa na Ezekiel 30.

Tutegemee viboko vya kutosha Kutoka juu, maana mtoto anayependwa, huadhibiwa sana.

Amen.
 
Wajita wanajua kucheza madogoli tu. Pia ni wachawi sana hakuna maelezo. Wanawake wa kijita Wana midomo balaa.
Hayo yote uliyosema ni kweli.
Hakuna kabila lenye sifa hizi hapa Duniani isipokuwa sisi WAJITA na tunajivunia sana kwakuwa na sifa za kipekee TZ na Duniani kote.
 
Hayo yote uliyosema ni kweli.
Hakuna kabila lenye sifa hizi hapa Duniani isipokuwa sisi WAJITA na tunajivunia sana kwakuwa na sifa za kipekee TZ na Duniani kote.
Mjita na mkerewe, hata kama hajui kusoma, mfuko wa mbele wa shati anakuwa amepanga kalamu za rangi zote, nyeusi, bluu, nyekundu, kijani, pinki na kadhalika.

Kiatu kimeisha sole lakini ameking'arisha, suruwali imetoboka matakoni lakini imemyooshwa balaa.

Nasikia wanawake wa kijita wanagonga shoo balaa.

Sasa uchawi ndio balaa, narudia tena, uchawi
 
Mwandishi hapo kwenye Rais wa pili umedanganya Mwinyi Ni mzaliwa wa Mkuranga pwani Sasa unaposema visiwani itakuwa unadanganya.


Najua umetumia namna ya kufikisha jumbe yko ila week vizuri ushahidi wk
 

Hizi I'd mpya huwa zina mambo fulani fulani hivi. Sio mara moja huwa nasikia ikisemwa Samia hatagombea 2025 kwani kutatokea tafrani fulani. Na wakati mwingine inafikia kuonyesha kuwa anaweza hadi kupotezwa, kama sio kutolewa kimazabe. Tuko makini na haya mafumbo yanayoletwa na kujirudia rudia.
 
Hizo sifa zoote ni zetu sisi WAJITA WA MAJITA NA WAJITA WA UKEREWE. Kiukweli tunatembea vifua mbele kwakuwa ni sisi tu tuna sifa Tz na Duniani kote. Umesahau lingine labda?
 
Uko makini sana.
 
Mwandishi hapo kwenye Rais wa pili umedanganya Mwinyi Ni mzaliwa wa Mkuranga pwani Sasa unaposema visiwani itakuwa unadanganya.


Najua umetumia namna ya kufikisha jumbe yko ila week vizuri ushahidi wk
Nimesema ya kwamba huyu na aliye mpa huo uongo wote ni waongo.
 
Nani aliye kwambia kuwa hakukuwa na mapigano,samia kaingia ikulu kwa mapinduzi baridi.baada ya kumuua jiwe.
Nadhani Rais Dkt Samia afahamu hiki ndicho kinachoaminika mitaani. Na hii inatokana na yeye Rais Dkt Samia kutoa kauli tata bila kutolea ufafanuzi ama la kushindwa kupiga marufuku Dkt Magufuli asihihakiwe au jina lake kutajwa ktk mrengo wa kudhalilisha. Na kingine baada ya msiba Rais Dkt Samia alipaswa akae hata kipindi fulani cha kufanya kazi behind huku akihakikisha anachukua maamuzi magumu kwa wale wote wanaoonesha dharau badala ya zile kauli zake za kuonesha wateule hawamuheshimu, alipaswa kutumia vyombo vilivyochini yake kuhakikisha anashikilia power kikamilifu then sasa angetokelezea wateule wanasema afadhali ya Dkt Magufuli. Lakini alipoanza tu kuonesha kuwa nchi ilikuwa imefungwa, chanjo lazima etc basi kila kitu kikaonekana kama kilipangwa.
 
Jitu limejifia lenyewe mnaanza kusingizia watu! Halafu muache ujinga wa kulazimisha huyo kipenzi chenu aonekane alikuwa special sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…