Fahamu utabiri wa Marais wote wa Tanzania kutoka kwa wazee wa kale

Hii nimeikuta mahali nimekuja kushare mada hii upya,sasa maswali yangu ni jiwe ni nani maana kuna tabiri nyingi kuhusu uongozi wa jiwe kuja mwishoni na kutawala dunia sasa nauliza je huyu jiwe ni nani?
Ni Yesu kristo
 

Soma vizuri hatua kwa hatua...
 
Utagombea wewe na mdude au pumbalu

Kwa nini msitabiri mwenyekiti wa chadema ambae hajulikani lini ataachia madaraka
 
Je Ukoo wa Mukama wa Bwasi watasemaje? Make hawa walikuwa Machifu!
 
Je Ukoo wa Mukama wa Bwasi watasemaje? Make hawa walikuwa Machifu!
Nimesema ninao wakumbuka na pia nikakaribisha kusahihishwa. Hata Wang'ubha nadhani alikuwa mmoja wao. Lkn OMKAMA (MUKAMA) maana yake ni nini? OMKAMA (MWINANGWA) ina maana moja,mtawala ama kiongozi. Yawezekana MUKAMA pia likawa ni jina tu lililotoka ktk ukoo huohuo ama akawa ni mmoja wa watawala hawa. Kumbuka ni hapo hapo BWASI.

Naomba utupatie unacho kifahamu kuhusu hawa jamaa ikikupendeza.
 
Asante sana ndugu kwa maelekezo nikienda nyumbani basi nitafika huko Bwasi nitakujulisha nitakachofanikiwa. Kuna Padre mmoja mzungu jina lake nimelisahau nae alianza kuandika habari za utamaduni wa makabila y mkoa wa Mara alikuwa anashirikiana na kampuni moja Mara Consult sijui kama bado wanaendelea. Asante
 
Kila la kheri ndugu.
 
Ni uongo usio na maana yoyote ni hadithi ya kutunga tu, Mzee Mwinyi sio wa kutoka Visiwani ni M'bara toka mkuranga alikwenda Zanzibar akiwa kijana mdogo akajikuta ameweka makazi ya kudumu.
Hakuna cha utabiri wala mavi.
Unaonekana ni mjinga mjinga kidogo,hata uchief wako ni sawa na mangungo msovelo
 
Utawala wa
Lembesya ni WA muda mfupi,

Utawala wa liso Tungo ni utawala wa Mbeba maono, Ataonyesha njia wakati Dunia ikipitia mkwamo wa kiuchumi.

Ni wakati wake Wana wa Mungu watastawi na TANZANIA itatoa Nuru kuu itakayowaleta wengi Duniani kuja kupata msaada.

Jiwe kuipiga utawala wa Liso tungu ndio utakuwa mwanzo wa Utungu Kwa Dunia nzima kuelekea Dunia kuteketezwa.
 
Mbona sasa Suluhu hajapigania kuwa madarakani...

Wala hakujakuwa na mapigano yoyote...
Ametabiri sawa. Yule mtu mmoja kaiba kura( hiyo haina ubishi,nadhani,kwa sababu sasa hivi Bunge ni pure,it is not contaminated by members of the Opposition),na sasa mtu mwingine atachukua madaraka,yaani,Samia,ambaye,according to him,atatawala kwa muda mfupi.
Welle,ni vizuri kusema kweli lakoni nadhani Pharaoh alikuwa anawachinja wati wanaotabiri kwamba utawala wakel utakuwa mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…