2023-na kuendelea, Dunia itapitia kipindi kigumu na DHIKI ambayo haikuwahi Kutokea duniani.
Mungu atabomoa nyumba ya zamani Ili kujenga mpya.
Israel ni Taifa la AHADI, bt TANZANIA ni Taifa la AGANO.
Uchumi wa Dunia utaanguka, VITI vikubwa havitakalika, watu watavisusia.
Hayo ni maandalizi ya Kristo kuja kutawala Duniani miaka ELFU. KITI Cha enzi kitakuwa TANZANIA sababu ndiyo Nchi ya AHADI sawasawa na Ezekiel 30.
Tutegemee viboko vya kutosha Kutoka juu, maana mtoto anayependwa, huadhibiwa sana.
Amen.
Israel sio Taifa teule wala halina Ahadi yoyote ya Muumba wa dunia labda lina ahadi ya shetan kuliweka hapo middle east kuudanganya ulimwengu kuhusu asili ya uteule ni upi na kucontrol Uchumi wa wanyonge wa middle east, hili liko wazi...na kristo hawezi kurudi kiwepesi hivi kama watu dunian bado hawamjui hata muonekano wake ulikuwa vipi ama mnadhan ndiye yule afananae na wale wazungu wenu wa filam na picha za Hollywood?.
Leo hii kristo atokee hatakama mmekidhi kufuata sheria za dini+biblia je mtamjua? Hapa atawakana kuwa hawajui kama ambavyo hamumjui kwa kutengeneza sanamu na picha feki akilini mwenu ambazo si taswira yake.
Kiufupi dunia haitoisha leo wala kesho bali kuna miaka mingiiii itapitaa,
Matukio yanayotendeka dunian leo hii si mapya wala hayana maajabu kama yale yaliyotendeka zama zilizopita.
[emoji117] Ulimwengu wa sasa umestaarabika kidogo kuna utu, majanga ya dunia kutokea kwake itategemea na Imani+misimamo ya Waafrika+watu weusi dunian, maana hawa ndio wanaofanya dunia iende vip kulingana na misimamo yao kiakil+kimwil, kinafsi na kiroho,
[emoji117] Naandika hiv namaana kuwa waafrika leo hii wakiamua kuungana na kuamua lao moja, hakuna wa kupinga dunia nzima na ulimwengu utaenda kulingana na uamuzi wa waafrika taka usitake na hapo ndipo utakuja ule mwisho wa dunia, maana kila jambo litarudi ktk uhalisia na wapo watakaojaribu kupinga uwamuzi huo kwa njia za Vita(armagedon war) lakn haitawezekana maana umoja wa waafrika huo utaushinda uadui wa kuwapinga na hapa ndipo Ule ujio wa Kristo wa kwel (kudumane mula/jokisabe the true Black man Savior) utatimia atakapowashindia watu weusi na jamii za watu weupe zitakaowasapoti hawa watu weusi dhidi ya Uhayawani wa wapinzani(wakoloni+vibaraka wa wakolon watu weusi)
Na huo ndio utabiri ambao Vatican iliubadili ili kuficha ukweli wa mambo na kuwaletea biblia ambazo zimechakachua maandiko kwa maslahi yao wenyewe.
Tanzania pia ni Taifa teule ingawa Afrika nzima ni Teule, Tz itakuja kuwa kimbilio la Watu dunian kama ilivyo jina lake la Ardhi Salama ndiomaana hata leo hii huioni Tz ikiwa na migogoro dunian ama kujulikana sana dunian hii moja ya sababu za maandaliz hapo baadae, hata wanaolalamika kwann Tz haijulikan sana dunian, hizi ni sababu za kiusalama kiroho, hapo baadae mtaelewa nachoandika kama mtakuwa bado hai, maana itachukua miaka mingi haya kutimia.
Kiwepesi tu Afrika ndio muamuzi wa mwisho wa Kutimia kwa Utabili wa mwisho wa dunia, namaana kuwa waafrika wakiendelea kulegea kuujua ukweli, hata mwisho utachelewa kufika maana unasubiri maamuzi yetu na utayari wetu wa kubadirika na kuujua ukweli(ndioamaan wazungu wanawaficha historia yenu ili kuepuka mwisho huo),
[emoji117] Haya mambo babu zetu waliyajua ndiomaana walikataa urafiki na hao wana wa shetan(wazungu+watu weupe/wanefili/uzao wa shetan/aliens)
Hiki kizazi chetu cha mashindikanaa na viburi+ujuaji ndio tunajifanya wajuaji kwa kuasi/kupinga sheria za asili ndiomaana mabaya yanatukuta, umasikin na kutawaliwa.
Tuamke wajamaeni tujitahidi kutumia mitandao hii kwa usahihi, Huyo mnaemuita Kristo Ujio wake wa Mwenzie wa Pili umeshatimia, na nyie mko bize na mamipira+anasa na maujinga ya kila aina huku hatujui kuwa dunian kuna Mgeni Aliyetabiliwa miaka mingi hata kwenye biblia zenu maandiko yapo japo wamechakachua wazungu kwa kufichafcha tusijue nini kinaendelea.
Niishie hapa nisiwachoshe wavivu.