Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
minimum bid amount ni tsh ngapi?Yes ni good investment na sababu ina very low risk lakini usisahau kuwaambia JF hiyo faida ina TAX na inflation ya TZ inafanya hii biashara kuwa unpredictable na nimesikia corruption in bidding process is rampant big cats wana insider information ambazo zinawaweka in advantage na minimum bidding amount ni kubwa sana kwa watanzania wengi kuingia kwenye hili soko, ila all in all ni good business kama una enough fund na uombe mungu inflation isile faida yako lakini is not a slam dunk
Laki 5minimum bid amount ni tsh ngapi?
Kama mtu wa FinancialMarkets wa BOT Tanzania unaweza ukamjoini atueleweshe kwenye izi tressury bills. Maana pale kuna ukakasi sana.Watu wa bank wengi hawaelewi hz issue!..ukitaka maelezo zaidi cheki mtu wa finance branch yyt ya BOT iliyo karibu na ulipo boss!
Shukran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabenki ya kawaida wengi hawawezi kuwaeleza watu, kwa sababu watakosa wateja wa fixed accountWatu wa bank wengi hawaelewi hz issue!..ukitaka maelezo zaidi cheki mtu wa finance branch yyt ya BOT iliyo karibu na ulipo boss!
Shukran.
Sent using Jamii Forums mobile app
rate za tbills hazijawahi fika 30% kama mleta mada alivyoanza, ziliwahi panda mpaka kufika 21% kwa sasa ziko kwenye 10% na 12% range ukiwekeza kwa mwaka mzima.Nimejaribu kufatilia katika website ya BOT. Lakini naona kwenye minada ya BOT kalibia ile asilimia inaanzia 9 kushuka chini. Naomba ufafanuzi apo kidogo
kiwango cha chini cha kuwekeza tbills sio 5m ni laki 5 tzsKiwango cha chini ni milion 5. Hii siyo ya Mengi, ni watanzania wengi wanaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yupo ila kumjoin humu afundishe n vgumu,,kinachotakiwa kama mpo wengi na mnahitaji kujifunza hii ktu mnaenda kuomba appointment kwa mtu wa finance BOT atawafundisha.Kama mtu wa FinancialMarkets wa BOT Tanzania unaweza ukamjoini atueleweshe kwenye izi tressury bills. Maana pale kuna ukakasi sana.
Alafu watu wa BOT Tanzania wamekuwa wagumu sana katika matangazo yaani hata mtandao awatufundishi izi faida mfano katika treasury bills wengi wanaweka lakini faida inakuwa kidunchu saana, tatizo hata madalali awasemi ukweli
CDS account ni moja,,ila mfano ukinunua BOND kwenye commercial banks wanatoa CDS ID #..kwa ninavyoelewa labda kama kuna mabadilikoMkuu nimekupata vizuri, nina swali kdg tu, hiyo CDS ni tofauti kwa instituion, namaanisha km ukishakuwa na CDS kwa kununua hisa, unafungua tena nyingine?
nimeona bids za mwezi uliopita ni around 4.5% kwa miezi 6rate za tbills hazijawahi fika 30% kama mleta mada alivyoanza, ziliwahi panda mpaka kufika 21% kwa sasa ziko kwenye 10% na 12% range ukiwekeza kwa mwaka mzima.
ni laki 5 kweli boss maana naona wengi wamekazana mil 5?kiwango cha chini cha kuwekeza tbills sio 5m ni laki 5 tzs
yes ni laki 5...ni laki 5 kweli boss maana naona wengi wamekazana mil 5?
shukrani mkuuyes ni laki 5...