Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa stokebrokers siyo benki. Hapo utapata usaidizi.Bankers wengi hawajui hizi issue ni top secret,wanafichwa na wakubwa wao na hata ukitaka wakuunganishe ushiriki kwenye auction watakwambia hatufanyi maana hawataki kupoteza wateja kwa kuwa wao hawafaidiki, ila karibia bank zote zimethibitishwa na BOT kusaidia customers wake,.Nilijaribu kipindi naanza NMB,NBC na CRDB wote walizingua.Mi bank ambayo marijuana ni CBA
Ila labda nkusaidie boss,bills na bond wanapo issue zna alternate kila week tangazo hutolewa ijumaa then auction inafanyika jumatano then alhamisi results znatoka ukifuatilia kwenye record kwenye web ya BOT utaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu na unachokiongea ndio nimekumbana nacho , nilimuuliza swali kwa uwezo wangu kifedha kama nikinunua bonds kwa shilingi Milioni 1 nitanufaikaje kwa option ya siku 30,90 au mwaka mzima ( Hawakuweza hata kunijibu kwa sababu hata interest hawazijui )...Bankers wengi hawajui hizi issue ni top secret,wanafichwa na wakubwa wao na hata ukitaka wakuunganishe ushiriki kwenye auction watakwambia hatufanyi maana hawataki kupoteza wateja kwa kuwa wao hawafaidiki, ila karibia bank zote zimethibitishwa na BOT kusaidia customers wake,.Nilijaribu kipindi naanza NMB,NBC na CRDB wote walizingua.Mi bank ambayo marijuana ni CBA
Ila labda nkusaidie boss,bills na bond wanapo issue zna alternate kila week tangazo hutolewa ijumaa then auction inafanyika jumatano then alhamisi results znatoka ukifuatilia kwenye record kwenye web ya BOT utaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna post nieleza tofauti ya bills na bond kwa time frame pamoja na interest!..jaribu kucheki post za nyuma.Nimekuelewa mkuu na unachokiongea ndio nimekumbana nacho , nilimuuliza swali kwa uwezo wangu kifedha kama nikinunua bonds kwa shilingi Milioni 1 nitanufaikaje kwa option ya siku 30,90 au mwaka mzima ( Hawakuweza hata kunijibu kwa sababu hata interest hawazijui )...
Hivyo basi naomba unisaidie mchanganuo kwa kuegemea hicho kiasi nilicho suggest
Sent From My Nokia Ya Tochi
Asante sana mkuu hiyo Faida ya 300,000 ni kwa kipindi cha muda gani???Mkuu kuna post nieleza tofauti ya bills na bond kwa time frame pamoja na interest!..jaribu kucheki post za nyuma.
Kufaidika itategemea ulikuwa successful kwa bid price ipi baada ya kushiriki kwenye mnada.
Mfano; kama umefanikiwa kupata discount ya Tsh 100 ya serikali kwa 70.0000 ina maana kama face value yako ni 1m hapo utatoa 700000/= ina maana tayari una faida ya 300000/= amabayo italipwa on maturity date! hapo ni kwa bills ila kwa bond mbali na hio faida kuna interest pia inategemea umewekeza kwa miaka mingapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa taarifaAwamu hii ukiwekeza huku unategemea BoT wakulipe una risk 85% maagizo ya juu yanaweza kukuathiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss huo ni mfano tu,,nimesema faida itategemea kama umewekeza either kwenye bills or bond pamoja na discount uliyopata baada ya kushiriki kwenye auction na kushinda.Asante sana mkuu hiyo Faida ya 300,000 ni kwa kipindi cha muda gani???
Naomba unichambulie kwa kipindi cha Siku 30 ...
Samahani kwa kukuuliza sana
Sent From My Nokia Ya Tochi
Sawa mkuu ngoja nizame chimbo nitakuja na mrejeshoBoss huo ni mfano tu,,nimesema faida itategemea kama umewekeza either kwenye bills or bond pamoja na discount uliyopata baada ya kushiriki kwenye auction na kushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss umeshawahi kuwekeza au unaongea out of nowhere!Awamu hii ukiwekeza huku unategemea BoT wakulipe una risk 85% maagizo ya juu yanaweza kukuathiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hii thread vzuri pamoja na ile ya bills.Sawa mkuu ngoja nizame chimbo nitakuja na mrejesho
Sent From My Nokia Ya Tochi
Nilichogundua watanzania hatupo well informed kwenye mambo mengi sana ya kutengeneza fedha ukiwa umekaaKuna jamaa anawekeza huko...
Na anasema hana wasi na ada za watoto wake...maana wanasoma shule zenye ada ndefu...
yeye ni mwoga na hana muda wa kufanya biashara
Ni kweli kabisa mkuu yaani ni pesa ambazo hauzitolei jasho ,, ni subira yako tu .Kuna jamaa anawekeza huko...
Na anasema hana wasi na ada za watoto wake...maana wanasoma shule zenye ada ndefu...
yeye ni mwoga na hana muda wa kufanya biashara
Dah mkuu nitakupm no ya simu tuongee vizuri.Ni kweli kabisa mkuu yaani ni pesa ambazo hauzitolei jasho ,, ni subira yako tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Leo nimeshinda nauchimbua his u Uzi samahani naomba unieleweshe hiyo tbills minimum ya 500000 kwa mafungu ya 10000 ,Sijaelewa vizuriSwali zuri mkuu
1.Kwa treasury bills minimum ni 500000/= kwa mafungu ya 10000/= mfano unaweza wekeza 550000/= na sio 555000/=
2.Kwa treasury bond minimum ni 1m kwa mafungu ya 100000/= mfano 1500000/= na sio 1550000/=
Kuwekeza kwenye hz dhamana za serikali kuna faida zifuatazo.
1.Serikali haitegemei kukiuka mategemeo ya wadai wake wakati wa malipo( hapa hata tuingie kwenye vita pesa yako utalipwa tofauti na commercial banks ni 50/50).
2.Dhamana za serikali zinahamishika hapa unaweza kuziuza DSE kabla ya mda wake kuiva
3.Dhamana za serikali zinaweza kutolewa kama dhamana kwa ajili ya mkopo(yaani ukishawekeza unaweza kupata mkopo bank yyte kulingana na pesa ulizowekeza,,kama umegundua ktu hapa unawekeza kwenye dhamana then unaenda kuchukua mkopo unapiga biashara unatengeneza faida mara mbili wakati bank unawalipa mdomdo mangi)
4.Faida inayopatikana katika uwekezaji wa dhamana inaridhisha) hakuna commercial bank yyte utakayowekeza upate interest kama za BOT na wengi ni matapeli maana walishanifanyia umafia that's why nimewekeza huku
Karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni result za bills ya hio date iliyotajwa ukiangalia hapo kwenye number of bids(yaani idadi ya walioshiriki kwenye auction) then kuna successful bids (hawa walioshinda) then kuna highest na lowest bid price( hizi ndo range ya discount walizoomba washiriki) then kuna minimum successful price( hapa ni baada ya bank kuangalia ni price gani itawafaa kulingana na discount za wawekezaji walizoomba ili wasipate hasara) then kuna hio weighed average price(WAP) hii ndo niliyosema post zilizopita kama ulifanya kwa non-competitive bidding hio price iliyooneshwa ndo discount/bid price yako.Mkuu nimeingia kwenye website ya BOT na kukuta hii action Bill ya Mwezi March mwaka huu ila sijaelewa kutafsiri hilo jedwali
Sent From My Nokia Ya Tochi