D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Ntarudi hapa mkuu pokea like yangu kwanza
“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”
“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataman kufahamu zaidi hii biashara,mfano hyo face value na discount wao BOT ndio wanaziweka au kuna makubaliano na mwekezaji?Safi
Ivi hii ya 33.33% kwa tressury bills ni kweli au masihala. Maana kama unapata asilimia yote iyo ni faida nzuri lakini katika zile karatasi wanazotoa BOT sijajua. Labda kwa ambaye kashanunua atujuze alipata asilimia ngapi?,mkuu mboni ki uhalisia % change ya hyo investment ni 25p. Ambayo ni 25milion kwa 365days lakin uktumia formula unapata 33.33p kwanini?? Vip kuna tofaut ukitumia formulae na ukitumia mtazamo wa kawaida?
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Na bonds amesema haziuzwi chini.ya mil.5Huo mfano wako hapo realistiki, Nimehisi Mimi hainihusu kabisa, Ungetoa MTU mwenye laki moja au tano hapo ndipo tupo wengi, M 100 huyo utakuwa unamzungumzia Mengi,Manji n.k
Hz bills na bond hazina hasara uwekezaji huu ni risk free kabisa expect faida,,hapa serikali ipate faida au hasara wewe kwako ni faida tu ni tofauti kabisa na uwekezaji katika hisa.
Dah! shukrani sana mkuu kwa kunifungua macho ...Hz bills na bond hazina hasara uwekezaji huu ni risk free kabisa expect faida,,hapa serikali ipate faida au hasara wewe kwako ni faida tu ni tofauti kabisa na uwekezaji katika hisa.
Nilienda branch ya BOT mbeya nikapata maelezo ya kina kuhusu hizi mambo.
Bills hazna interest isipokuwa unapata faida ya ile discount baada ya kushiriki auction na ku win kwa bid price/100 uliyoomba.
Ila Bond zina faida mbili ya discount pamoja na interest ya miaka utakayo fix ambapo huongezeka kadri miaka inavyokuwa mingi.
Pia ukiwekeza katika bond beyond 5 yrs faida zako zote hazikatwi withholding tax.
Katika kushiriki kwenye auction kuna njia mbili competitive(hapa una-suggest discount unayotaka-hapa kilowatt au kupata ni 50/50 maana makampuni yenye billions of money wanatumia hii ili wapate faida kubwa) na non-competitive(hapa njia nzuri kwenye bid price unaandika WAP(weight average price ) unakuwa na 99.9% chance ya kushinda ambapo sasa bid price yako itategemea average ya successful highest na lowest bid price za competitive ).
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu na jee? Mfano katika izo bei wanazotangaza wanafanya kama kushindanisha kwa atakae wini na ambae hata win inakuaje apo mfano wanaposhindanishwa inakuwa labda mmoja kataja bei ya discount itakuwa 85 ya 100. Kwa iyo apo faida yake inakuwa ni 15% kwa kila pesa au inakuwaje apoHz bills na bond hazina hasara uwekezaji huu ni risk free kabisa expect faida,,hapa serikali ipate faida au hasara wewe kwako ni faida tu ni tofauti kabisa na uwekezaji katika hisa.
Nilienda branch ya BOT mbeya nikapata maelezo ya kina kuhusu hizi mambo.
Bills hazna interest isipokuwa unapata faida ya ile discount baada ya kushiriki auction na ku win kwa bid price/100 uliyoomba.
Ila Bond zina faida mbili ya discount pamoja na interest ya miaka utakayo fix ambapo huongezeka kadri miaka inavyokuwa mingi.
Pia ukiwekeza katika bond beyond 5 yrs faida zako zote hazikatwi withholding tax.
Katika kushiriki kwenye auction kuna njia mbili competitive(hapa una-suggest discount unayotaka-hapa kilowatt au kupata ni 50/50 maana makampuni yenye billions of money wanatumia hii ili wapate faida kubwa) na non-competitive(hapa njia nzuri kwenye bid price unaandika WAP(weight average price ) unakuwa na 99.9% chance ya kushinda ambapo sasa bid price yako itategemea average ya successful highest na lowest bid price za competitive ).
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri mkuuDah! shukrani sana mkuu kwa kunifungua macho ...
Hii harakati inatakiwa uwe na kiasi gani cha pesa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haisumbui kabisa na uzuri serikali inahesabu holiday kama siku za kawaida..mfano kama uliwekeza and let's say miezi sita ya mwanzo inakamilika mwezi huu(March to August )...sikukuu zote zilizopita zinahesabiwa unakuta malipo yanalipwa trh 19 au 20/8..ambapo ukiweka fixed kwenye commercial banks mpunga unachelewa kichizi halafu kidunchu.
Umeuliza swali na kujijibu mwenyewe. Uko sahii kwa jinsi ulivyofafanua hizi tofauti 2.Somo zuri. Ila ungeweka comparison ya hisa vs bonds., Kwa uelewa wangu mdogo Bonds hazina risk ila xzzina low return uklinganisha na hisa. Hisa zina return kubwa ila risk ni kubwa
Nimesema kwa uelewa wangu mdogo kwa hiyo nilitaka yeye afafanue zaidi..Umeuliza swali na kujijibu mwenyewe. Uko sahii kwa jinsi ulivyofafanua hizi tofauti 2.
tdot
Mkuu una maana gani apa?Acha kuwapa kichwa bot , eti wako makini! We mtumishi wa BOT? mgiriki alidefault, Argentina na nchi nyingi tu ambazo uchumi wao ulikuwa imara kushinda Tanzania zilichemka.
tdot