Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Hao mabroker wanapatikana wapi kaka?
Google "solomoni security brokers" kama sikosei...au google dse utawakuta humo wamo pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mabroker wanapatikana wapi kaka?
Hapo mimetoa mfano, lakini kama ukifuatilia kwenye zabuni za BOT ni kwamba faida itatategemea ile discount ya kununua treasury bills.Your calculation looks good and attractive on paper, but I'm afraid in real world kweli unaweza kununua treasury bills ya miez mitatu ya face value of 100 million, ukanunua kwa 75million..... Actually sijawahi kununua dhamana za serikali mimi ni graduate wa finance ndo nimemaliza mwaka huu but niko very interested kwenye financial securities nitakapokuwa vizuri nitahusika sana DSE, nimefurahi sana kuona huu uzi wako... Yan umeundikika kimadesamadesa hadi raha... Ila tu nimeshangaa kuona mfano wako wa treasury bill ambayo ni risk free and short-term hlf inatoa return kubwa... Wengi watavutika ila in real word inaweza isiwe profitable sana kama mfano wako maana from wat I know watu huwa wanainvest kwenye bonds(defensive securities) ili kupunguza risk iliyoko kwenye stocks(aggressive securities), hivyo sikutarajia sana kuona return kubwa kiasi hicho inatoka kwenye treasury bills... Ila inawezekana ikawa sahihi maana mimi ni mgeni sana kwenye soko la dse
nikusaidie tu, nenda jengo la golden Jubilee tower pale ilipo DSEHao mabroker naweza kuwapata wapi ndug?
Hisa na dhamana za serikali ni vitu viwili tofauti. Kwa Tanzania makampuni ndiyo yanatoa hisa na serikali inatoa bonds na treasury bills kupitia BOT.Mkuu nimezoea kuona nmb...crdb...swala...kenya airway wakiuza hisa...je hizi hisa sijui unaziita bond za serikali zinatofautiana vipi na hizi za nmb...crdb and the alike???
Je nikitaka nunu hisa za serikal ntazipata wapi??? Wapi wanatangaza...ntajua vipi kwamba mda flani wanauza???
Mwanangu inabidi utueleweshe inamaana katika iyo face value inakuwa constantly au ni makubaliano kulingana ukuuaji wa uchumi wa nchi au? Maana inawezekana ukapata pungufu ya 33.33%chapisho lijalo ntazungumzia hisa na ntafanya kama ulivyosema kufanya comparison ya hisa na bond.
Kiwango cha chini ni milion 5. Hii siyo ya Mengi, ni watanzania wengi wanaweza.Huo mfano wako hapo realistiki, Nimehisi Mimi hainihusu kabisa, Ungetoa MTU mwenye laki moja au tano hapo ndipo tupo wengi, M 100 huyo utakuwa unamzungumzia Mengi,Manji n.k
Ukiona hivyo ujue na inflation nayo imeshuka. Inflatiom ikipanda nayo inapanda. Ni sawa.na interest za benki nazo zinaendana na inflation.Nimejaribu kufatilia katika website ya BOT. Lakini naona kwenye minada ya BOT kalibia ile asilimia inaanzia 9 kushuka chini. Naomba ufafanuzi apo kidogo