Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

Asante kwa Maelezo Nikiwema Milioni tano Ntapata Kiasi gani???Hesabu Ilinipita kushoto....
 
Hii ni utapeli,hakuna cha hela bila elimu wala nini?
Kuna mtu namfahamu ni mtoto wa shemeji yangu alishawahi kucheza mwisho wa siku mna demand mtu aweke hela ndo mumpe hela
Km sio kweli toa maelekezo mazuri zaidi ya tangazo lako
 
Mbona utapeli na wizi?
Kwanini ikifika mtu anataka kutoa hela mnamwambia awake hela?
 
 
Mungu akubariki sana, maana umetufungua pakubwa sana, kwa uwezo wako mkubwa wa kufundisha kitu kikubwa kama hiki na kueleweka kwa ufasaha bila kuacha swali hata moja especially kwangu. ni wachache sana wenye moyo kama wako wa kutoa mbinu halali za kupata pesa kirahisi kama hizi, hongera sana kwa kweli.
 
Du nimepata faida nauelewa umeongezeka mkuu. Nikiwa na 10milioni kwa siku 365 napata kiasi gani mkuu?
 
Davion Delmonte Jr.
Risk au kufilisika kwa biashara hela unairudishaje?

Maana benk yaweza ikapotea kwenye Soko kabla hata ya mwezi mmoja baada ya Poise kuweka 5B.

Hapo hasara itanigusa kwenye hiyo 5B na lile gawiwo linapotea?

Au benk wanabeba majanga yao kivyao ila binafsi navuta mkwanja wangu bila noma yoyote?
 
Nimejifunza kitu,nitachukua hatua kwa kadri nitakavyobarikiwa.
Mtoa mada popote ulipo shukrani na kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…