Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Kabla ya kifo chake Ivan THE DON alikuwa na utajiri wa hatari pamoja na kumiliki majumba ya kifahari na magari ya bei kubwa sana.
Akiwa bado hai alisaidia watu wenye shida kwa kuwapa Fedha na vitu mbalimbali na pia aligawa fedha akiwa katika kumbi za starehe na wanawake na vijana katika Club na Casino Mbalimbali.
Amekufa akiacha watoto watatu aliozaa na Zari thebosslady mchumba wa Diamond platinum.
Tazama baadhi ya utajiri wa IVAN TheDon hapo chini.
Utajiri wa matonya mimi siufahau kwa kweliUkimaliza Mkuu tunakuomba utuwekee pia na Umasikini wa Kutukuka aliokuwa nao Yule Omba Omba wetu Matonya.
Utajiri wa matonya mimi siufahau kwa kweli
Ludia swali mkuuSijakuuliza Utajiri wa Matonya bali nimesema Umasikini wa Matonya. Kwani Matonya alishawahi nae kuwa Tajiri Mkuu?
Hata mimiMie nimeona money splashing tu . Labda sijaelewa utajiri una manisha uwe au ufanye nini.