Hivi zari kilichomtoa kwa ivan ni nini hasa?
Wewe ulivyoona alichokuwa anafanya Ivan, ungekaa kama ni mtu mwenye roho?? Nadhani aliona atamtwanga risasi bure. Sasa anakuja jilambia mali za chee kama zitakaa lakini. Tatizo huwa zina bumbuluka ka theluji mchana