FAHAMU: Utajiri wa IVAN (Ex wa Zari) kabla ya kifo chake, alisaidia watu na kutumia hela kwa anasa

FAHAMU: Utajiri wa IVAN (Ex wa Zari) kabla ya kifo chake, alisaidia watu na kutumia hela kwa anasa

Si alisemekana kuwa ALISHINDWA KULIPA ADA NA KODI YA NYUMBA YA WATOTO WAKE SOUTH AU???!!!!
 
Kiuhalisia mtoa mada labda na ww utajili hauufahamu. Nikajua utaonesha mali alizonazo, magali, nyumba, shule zake, vyuo vyake etc etc. Anyway R.I.P
 
Hivi zari kilichomtoa kwa ivan ni nini hasa?

Wanawake Ni viumbe dhaifu. Muishi nao Kwa akili.
Kilicho muua ni pamoja na msongo wa mawazo kuona Almasi anazalisha mkewe mzazi mwenzake pamoja Na Mungu kumpa karibu kila kitu, R I P.
 
Back
Top Bottom