Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Sio kweli...NHIF mbona sikuwa na hicho kibali unasemea? Nachojua kuna form tu niliweka sign myb kama ndio kiwe kibali chenyewe lakn nilipewa Hosp pale paleNHIF inacover huduma zote ila kwa MRI utahitaji kibali chao kabla ya kufanya.
Package za bima nyingine sizifahamu.