Fahamu vipimo mbalimbali vya picha vinavyotumika hospitalini kuchuguza magonjwa

NHIF inacover huduma zote ila kwa MRI utahitaji kibali chao kabla ya kufanya.

Package za bima nyingine sizifahamu.
Sio kweli...NHIF mbona sikuwa na hicho kibali unasemea? Nachojua kuna form tu niliweka sign myb kama ndio kiwe kibali chenyewe lakn nilipewa Hosp pale pale
 
MRI Kwa Tanzania ipo Muhimbili tuuu????
 
je na kipimo cha ultra sound na echo vina tofaut na gharama zake zikoje mkuu pamoja na ecg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…