Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Naomba kujua umuhimu wa VENTS kwenye paa la nyumba.

Je lazima ziwepo vents kwenye kila paa?

Isipokuwepo athari zake ni zipi?
 
Naomba kujua umuhimu wa VENTS kwenye paa la nyumba.

Je lazima ziwepo vents kwenye kila paa?

Isipokuwepo athari zake ni zipi?
1. Kuruhusu dari kupumua. Hii husaidia kupunguza fukuto la joto darini . Joto Hilo linaweza sababisha kufumuka kwa ceiling lkn pia ndani kuongezeka kwa joto.
2. Urembo.
 
1. Kuruhusu dari kupumua. Hii husaidia kupunguza fukuto la joto darini . Joto Hilo linaweza sababisha kufumuka kwa ceiling lkn pia ndani kuongezeka kwa joto.
2. Urembo.

Asante kwa ufafanuzi.

Lakini sasa kuna haja wataalam wa mambo hayo ya uezekaji waje na ubunifu mpya wa namna ya kuweka hizo vents ,

Maana vents za sasa nyingi siyo Nzuri na baada ya muda huwa kama uchafu [emoji57][emoji19]
 
Back
Top Bottom