Dr Luu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 1,025
- 938
Habari zenu wapendwa, Naomba niwape Siri hii "fahamu vyakula ambayo ukivila vitakuongezea uzalishwaji wa testosterone hormone, estrogen levels na kuwa catalyst ya uzalishwaji wa hormones nyingine za uzazi kwa wanaume na wanawake. Hivyo kuwe kuondoa uwezekano wa upungufu wa nguvu wanazoziita za kiume au kukosa hamu ya tendo kwa wanaume na wanawake. Najua unashauku yakujua vyakula hivyo waweza kufahamu kupitia video hii fupi nilikuletea kwajili yako.