Fahamu: Wafanya maamuzi serikalini husomea makabrasha vikaoni

Fahamu: Wafanya maamuzi serikalini husomea makabrasha vikaoni

Ina maana hawapati muda wa Ku review?
Na Ku compare maamuzi hayo na sehemu mbali mbali ulimwenguni? Especially nchi tunazofanana nazo??
Labda waandaaji huwa wanakuwa wamemaliza details zote...so hakuna haja ya kutafuta data zaidi...!!
Nawaza tuu
Ingekuwa hivyo tusingekuwa hivi tulivyo tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana kimaendeleo
 
Ulichoandika ni ukweli mchungu ambao hata watumishi wa Serikali wenyewe wanakiri kufukia mashimo faraghani.
Mfano wa hivi karibuni ni ziara ya Andrzej Duda, Rais wa Poland ambapo hata Rais Samia hakuwa na taarifa sahihi za maeneo mgeni atakayo yazuru.
Rais wetu aliwatangazia waandishi wa habari kuwa atazuru kituo cha afya cha Chanika kinachofadhiriwa na Poland, si kweli! Kituo kile kilifadhiriwa na Serikali ya Korea kusini. 😢
 
Rais wetu aliwatangazia waandishi wa habari kuwa atazuru kituo cha afya cha Chanika kinachofadhiriwa na Poland, si kweli! Kituo kile kilifadhiriwa na Serikali ya Korea kisini. 😢
Duuh
 
Hata mawaziri huja kuongea mambo ya kuambiwa tu, hana muda kusoma data na kuchimbua kabla ya kuruka nalo hewani
 
Back
Top Bottom