Fahamu zaidi kuhusu gari aina ya kuhusu Nissan Juke

g1986

Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
60
Reaction score
19
Habari za wakati huu naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anajua au analitumia gari aina ya Nissan Juke upatikanaji wake kwa hapa ndani na bei za hiyo gar?


Nissan Juke

UFAFANUZI ULIOTOLEWA NA WADAU
---
 
Juke agiza tu mkuu, kwa sasa bei yake iko juu sana
 
Bei yake sio ya kitoto andaa kuanzia Mil 20 hivi
 
Habari aisee,

Je unahitaji nissan juke ya mwaka gani?
 
Kuna ile ya 5 doors na 3 doorz, juke inavutia sana
 
Hii hirizi naiwaza Sana likini naona wadau hawana taarifa za kutosha juu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…