Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
kama inge kuwa android tungeita super amoled sasa sijua kwa gari inaitwaje? pamoja usura kidog chenga laki kama kana usua flan ivi.pia hata vi minicopper no vidude flan ivi lakin unaweza ukavimba tu freshKwani vina bei kubwa hivyo vigari...?
vip minicopper?
Mkuu ile gari Juke haina show wala nini aisee, labda hio mini cooper unaweza kusema hivyo...kama inge kuwa android tungeita super amoled sasa sijua kwa gari inaitwaje? pamoja usura kidog chenga laki kama kana usua flan ivi.pia hata vi minicopper no vidude flan ivi lakin unaweza ukavimba tu fresh
sasa iyo bei inatoka wapii mkuu labda ingine na interial labda imetumia quality tools bei yake haishuki miaka lak.mincopper ni kampuni ganMkuu ile gari Juke haina show wala nini aisee, labda hio mini cooper unaweza kusema hivyo...
Mini Cooper ni BMW mkuusasa iyo bei inatoka wapii mkuu labda ingine na interial labda imetumia quality tools bei yake haishuki miaka lak.mincopper ni kampuni gan
Mkuu huwa unayaelewa sana magari naomba kulifahamu gari aina ya progressAisee tunatofauti mitizamo sana,nissan juke ina sura mbaya balaa daah na zile taa zake zilivyokaa hamu ndo inaisha kabisaa.
picha itapendeza zaid mkuuMkuu huwa unayaelewa sana magari naomba kulifahamu gari aina ya progress
Upande was cc
Spears
Bei
Nipo nasubiri
Big broo nipo freebasics ila sijui ni Toyota hayajasambaa sanawep
picha itapendeza zaid mkuu
aah kwaio?mkuu taratibu kampuni za watu izo
Mkuu huwa unayaelewa sana magari naomba kulifahamu gari aina ya progress
Upande was cc
Spears
Bei
Nipo nasubiri
Aisee thanks big broo ndio maana naziona chache sana mjini hahaha RAIA wanaogopa Ku ride majiniHio machine iko poa kabisa mzee baba,ingawa wabongo watakwambia ni jini mafuta mzee baba.
Na hizi ndinga foleni za dar ndo zinafanya yaonekane yanakula wese lkn ukiwa nalo mikoani huko hakuna foleni unapiga nalo misele kawaida tu mkuu.
Progress ina engine kama 4 hivi:
1.1JZ-GE hii ina cc 2500
2.JZ-GE hii ina cc 3000
Hizi ulaji wake ni kama vile brevis,cresta,mark 2/Verossa zenye engine kama hizo hapo juu,CC 2500 zinatosha kabisa kwa misele/safari/mbio.
CC 3000 kula wese inakula heavy kiaina.
Na hizo hapo juu ndizo engine common hapa bongo.
3.1JZ-FSE hii ni cc 2500
4.2JZ-FSE hii ni cc 3000
Hii engine ya 3&4 zenyewe zinatumia technology ya D4 ambayo wanalalamika zinabagua mafuta(ukiweka mafuta machafu tu inaanza kuzingua),sijawahi kutumia hizo gari yenye D4 so hayo malalamiko hua nayasikia tu kwa mafundi,lk pia wabongo ukitaka kuuza gari yako ukawaambia tu hii ina D4 jua imekula kwako maana wameshalibatiza jina baya.
Khs service parts zinaingilia na hayo magari mengine kwa hio ni zinapatikana tu,kwny body parts kama taa hapo ndipo sina uhakika kama ziko nyingi huko madukani.
Inshort mimi napenda hayo magari yanayoitwa jini mafuta,kwa hio kama mimi ningekua wewe ningelinunua bila kujiuliza mara 2.
ambazo engine zake hizi ni common tu maana zipo kwny magari kama brevis,cresta,mark 2.
Hahah pamoja mkuu,watu wako very sensitive kwny suala la wese mzee baba.Aisee thanks big broo ndio maana naziona chache sana mjini hahaha RAIA wanaogopa Ku ride majini
Na JUKE kwa ki-hebrew/ki-israel ni COCKROACH/MENDE mzee baba.Mkuu ile gari Juke haina show wala nini aisee, labda hio mini cooper unaweza kusema hivyo...
Hahahaah hakuna gari hapo...mkuu..gari imekaa lama chura vileNa JUKE kwa ki-hebrew/ki-israel ni COCKROACH/MENDE mzee baba.
I don't know what the hell is going on with this NISSAN JUKE...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kwani vina bei kubwa hivyo vigari...?
Mkuu huwa unayaelewa sana magari naomba kulifahamu gari aina ya progress
Upande was cc
Spears
Bei
Nipo nasubiri
Nadhani kigezo cha sura au muonekano wake ndiyo unaofanya yawe machache mjini...Aisee thanks big broo ndio maana naziona chache sana mjini hahaha RAIA wanaogopa Ku ride majini
Una lipimp ile kiñyama sportlims hivi hii ni kampuni ya toyota?Nadhani kigezo cha sura au muonekano wake ndiyo unaofanya yawe machache mjini...
Nadhani watu hawavutiwi na muonekano wake...
Kigezo cha kuwa ni jini mafuta nakataa...watu wasingesukuma mark x, brevis, crown, fuga na mengine ya jamii hii..
Muonekano tu mzee baba ndiyo unaofanya hii gari isikubalike mjini.
Ndiyo ni toyota..Una lipimp ile kiñyama sportlims hivi hii ni kampuni ya toyota?