Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaliza hiyo dose uje kabisa tuje tukuandikishe kwa matibabu ya mwendelezo hapa kwenye Clinic ya Care and Treatment Center(CTC)
Asante sana kaka kwa maneno yako ya kutia moyoMkuu pole kwa masaibu, nakusihi ujitaidi kumaliza PEP na utumie kwa ufasaha pia. Uwezekano wa maambukizi ni finyu ukizingatia hayo.
Nikimaliza kuna matibabu natakiwa niendelee nayo??Ukimaliza hiyo dose uje kabisa tuje tukuandikishe kwa matibabu ya mwendelezo hapa kwenye Clinic ya Care and Treatment Center(CTC)
Kaka aliniambia baada ya.. Ila asante pia kakaumeshaambiwa anapima kila mwezi. inatosha kujua ni nguli wa kugawa.
utapona fuata maelekezo
Ndio unatakiwa uanze napema dosr ya muda mrefu kabla CD4+ haijazidiwaNikimaliza kuna matibabu natakiwa niendelee nayo??
Mm Sina maambukizi kaka nimepewa pep za mwezi na nikimaliza natakiwa ni kapime tena ili kujua afya yangu sasa kabla cd4 hazijaxidiwa kivipiNdio unatakiwa uanze napema dosr ya muda mrefu kabla CD4+ haijazidiwa
Sawa ulete mrejeshoMm Sina maambukizi kaka nimepewa pep za mwezi na nikimaliza natakiwa ni kapime tena ili kujua afya yangu sasa kabla cd4 hazijaxidiwa kivipi
Sawa asante sana na labda umemaliza ukaonekana hauna maambukizi je inawezekana miezi miwili mbele ukaja kupima ukaonekana ni positive??Maliza dose then utaenda kupima......usijiingize kwa tabia hatarishi tena kwa kpnd hiki...
Bwana bwana we Acha tuBaadhi ya watu weny ukimwi wanapenda kuwaingiza wenzao chaka sijui kwanin yani au sijui ndo wanalipa kisasi
Hatari sana.Baadhi ya watu weny ukimwi wanapenda kuwaingiza wenzao chaka sijui kwanin yani au sijui ndo wanalipa kisasi
Hapana kaka hichi kitu nnacho siku nyingi hata kabla sijakutana na uyo demu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nimeona hii post yako au dalili zishaanza[emoji116]
Kichomi upande wa kulia kisicho isha
Niliambiwa vichomi ni dalili ya ugonjwa wa moyo mara ya mwisho nimeenda muhimbili nimecheki ecg na echo vyote kiko sawa lakini hiki kichomi hakiondoki na Leo nimegundua nikinywa soda aina sprite inachoma then inaacha sijui nafanyaje kuhusu hiliwww.jamiiforums.com
Hakuna kitu kama hicho,kula hizo PEP,utakuwa salama ,don't panic ,I can feel your sensation.kuna wengine hapo hawana uelewa mzuri wanaendelea kukutisha tu.Ila acha zinaa ndugu dunia ya sasa imeharibika sana,tatizo lililopo pia wanawake baadhi yao na hata baadhi ya wanaume wenye hiyo kitu wanafanya makusudi wakijua mtakuwa wengi,be careful dude,UKIMWI upo na unaua,sasa hebu imagine mpenzi wako kama hivyo akija kujua si itakuwa majanga!Unahatarisha maisha yako na pia ya huyo mpenzi wako unaetarajia kumuoa...Sawa asante sana na labda umemaliza ukaonekana hauna maambukizi je inawezekana miezi miwili mbele ukaja kupima ukaonekana ni positive??
Dah asante sana ila kiukweli nikimaliza na nikijikuta salama naoa kaka na tulia na mke kaka siji kutamani wala kutembea na mwanamke tofauti na mke wangu nimekoma kaka maana Amani imetoweka kabisa ndani ya moyo wanguHakuna kitu kama hicho,kula hizo PEP,utakuwa salama ,don't panic ,I can feel your sensation.kuna wengine hapo hawana uelewa mzuri wanaendelea kukutisha tu.Ila acha zinaa ndugu dunia ya sasa imeharibika sana,tatizo lililopo pia wanawake baadhi yao na hata baadhi ya wanaume wenye hiyo kitu wanafanya makusudi wakijua mtakuwa wengi,be careful dude,UKIMWI upo na unaua,sasa hebu imagine mpenzi wako kama hivyo akija kujua si itakuwa majanga!Unahatarisha maisha yako na pia ya huyo mpenzi wako unaetarajia kumuoa...