Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Za Zamani ndio zilikuwa hivyo, now days kawaida tuSi niliwahi kusikia hizo PEP zenyewe zinachosha sana,sasa ukifanya na hayo mambo mengine si ndio unajimaliza kabisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za Zamani ndio zilikuwa hivyo, now days kawaida tuSi niliwahi kusikia hizo PEP zenyewe zinachosha sana,sasa ukifanya na hayo mambo mengine si ndio unajimaliza kabisa...
Watanzania akili zenu sijui mnapeleka wapi aisee,sasa kama anatumia PEP ,kilichompelekea afanye tena ngono kabla ya dozi kuisha ni nini? Anyway hapo lolote linaweza kutokea,kama huo uzinzi bado haujazidi masa 24,nashauri huyo mzinzi mwenzie akachukue doI za PEP pia
Vp mkuuNinalojua kiasi nikuongezeka body size n.k
Vp kiongoz nitafute nikupe detailsHabari wadau, ndugu watanzania wangwana wana jf, naomba mchango wenu. Natumia PEP kama nilivyoshauriwa na wana jf baada ya mkasa fulani, naomba kujua side effects zake na nin nifanye kiafya, naamini wapo wataalamu na mawazo tofaut tofaut humu. Asante
Duu hatari sanaNimechanganyikiwa mana nimepasukiwa na condom wakati tukifanya mapenzi ikabidi tukapime nikakuta kumbe mwenzangu ana VVU wamenipa dawa PEP. Imetokea leo asubuhi hayajapita masaa 24 nimemeza PEP
Je kweli zitanikinga?
Update
======
Nimepima tarehe 6/10/2017 nipo HIV negative, nina furaha saana maana nilitembelea rim, nimejifunza jambo kubwa saana katika maisha yangu....
================================
Ilivyokuwa
====!!!!!=====
Alikuja kunitembelea toka mkoani tarehe 21 June 2017, tunagegedana kwa kinga, siku hiyo ya tarehe 21 mara mbili kisha tukalala, Asubuhi kabla sijatoka tunagegedana, nikiwa nakaribia kufika climax condom ikapasuka, nikamalizia, Nilipomaliza nikapata hofu maana sikuwa najua status yake.
Nikamwambia tukapime alikubali tukaenda hospital kupima. Nikaona ana hofu japo amekubali ikabidi nisisitize kwenda ,tukaenda dispensary kupima.
Tulipofika tukatoa damu tukaambiwa tusubiri, Baada ya dakika 10-15 akaitwa akatolewa damu tena. Nikaanza kupata hofu.
Muda wa majibu ulipofika tukaitwa, kufika ndani baada ya mazungumzo na yule mtoa Ushauri yaliyodumu kwa nusu saa akauliza mpo tayari kupokea majibu!? Tukasema ndio, akasema "kaka hongera sana majibu yako ni mazuri hauna maambukizi, Dada unaishi na maambukizi ya virus vya UKIMWI".
Nikajieleza juu ya mkasa wa kupasukiwa na condom, wakanipa dose ya pep for 28 days.
Hizo dawa ni kali vibaya mno, zinalevya hatari yaani Unachoka unajihisi kuumwa, mawenge na ndoto za ajabu ajabu kila siku. Asee asikuambie mtu ni dawa strong sana.
Yule binti alikataa kuanza clinic, akadai yeye Si Mgonjwa hana maambukizi
Hii PEP ni kitu gan mkuuPEP inatolewa kabla ya masaa 72 tangu umetembea na mtu ambaye ameathirika au kujichoma sindano au vifaa vya ncha kali toka kwa mtu ambaye ameathirika sasa kwa story yako hujatuambia ulipewa PEP ulishatembea na huyo mtu je kama ulishatembea nae unauhakika mpk unapewa PEP masaa 72 yalikua hayajaisha kama yalishaisha posibility yako yakupona inategemea haukupata mchubuko wowote na si vinginevyo so please ukimaliza PEP unatakiwa upime palepale na utakaa muda kidogo urudie tena lakini masaa 72 ndio mwongozo wako muhimu hapo
nimesoma mara 2-2 ulicho andika, ni vile hauna ama ujapitia mapito hatarishi hili dude linatish balaa kwa mawazo tu huwezi maliza mwaka.Wasiwasi wako tu,
endelea kutafuta mtoto
ukimwi hata kama upo sio tishio kivile,una miaka 28,ukiupata leo utaanza kuchoka miaka 30 ijayo,si tayari hata kama sio ukimwi safari ya kwenda mbinguni huwa ishaanza.
Huyo uliempima sijui yuko positive,anaweza kuku outlive ndo ubaki unashangaa.
Alizingatia taratibu zote,mda na matumizi ya dawa kwa usahihi over.PEP inatolewa kabla ya masaa 72 tangu umetembea na mtu ambaye ameathirika au kujichoma sindano au vifaa vya ncha kali toka kwa mtu ambaye ameathirika sasa kwa story yako hujatuambia ulipewa PEP ulishatembea na huyo mtu je kama ulishatembea nae unauhakika mpk unapewa PEP masaa 72 yalikua hayajaisha kama yalishaisha posibility yako yakupona inategemea haukupata mchubuko wowote na si vinginevyo so please ukimaliza PEP unatakiwa upime palepale na utakaa muda kidogo urudie tena lakini masaa 72 ndio mwongozo wako muhimu hapo
View attachment 688059
Kama View attachment 688061
Habari zenu wanaJF,
Mwezi mmoja uliopita nilileta uzi kuhusiana na kutembea na binti mwenye VVU,
Lengo kuu la kutembea na huyo binti ilikuwa ni tamaa ya kutaka kupata mtoto hata nje ya ndoa kwani mke wangu hana uwezo wa kupata ujauzito! Nimeishi nae toka 2010 lakini mpaka sasa hajawahi kupata ujauzito.
Tulienda hospital zifuatazo kutaka kupata tiba na suluhisho lakini imeshindikana. Saint Gasper Itigi, Upendo hospital (Dodoma), Agha Khan (Dodoma), General hospital (Dodoma), CF (Mwanza), Kamanga (Mwanza), Sekuture (Mwanza), Bugando (Mwanza) kwa Dkt Mwaka ( mtaalamu wa tiba mbadala- Ilala Bungoni)
Huko kote sio tu alikuwa anapatiwa peke ake matibabu, lah hasha hata mimi nilikuwa napimwa sperm analysis, nakuonekana niko poa.
Kisa cha mke wangu kutopata ujauzito ndio kilichonipelekea kutoka nje ya ndoa.
Mara baada ya kutembea na huyu mdada niliamua kwenda kumpima ili tuanze rasmi safari ya kutafuta mtoto tukiwa tunajiamini sote.
Tulipoenda maabara, huyu binti aligundulika kuwa +, sikuamini, nikamchukua kwenda maabara nyingine, majibu yalikuwa yale yale tu yaani she was HIV positive.
Immediately nikaamua kwenda Angaza, nikapewa hizo (PEP) nikaambiwa nizitumie mwezi mzima kisha nipime tena baada ya kumaliza hiyo dozi.
Kiukweli dawa hizi zinamaudhi sana mwanzoni, ndoto za ajabu, njaa kuumua kupita kiasi na kichefuchefu.
Doz hiyo nimemaliza juzi, so nilikuwa najishauri kwenda kupima huku moyo mwingine ukisita lakini nikaamua bora niende tu liwalo na liwe, maana hakuna kitachobadilika kama nitakuwa nimeathirika ni bora nijijue mapema tu! Basi bwana, nikaenda maabara, nimepimwa na kukutwa mzima (negative), hakika sikuamini ilibidi nimwelezee huyo aliyenipima situation ilivyokuwa, akasema hiyo inawezekana ukatembea na mwenye HIV kama kutakuwa na maandilizi ya kutosha na kusitokee mchubuko basi ni nadra zana kuambukizwa kwa mtu aliye negative.
Napenda kumshukuru mungu kwa kuniepusha na hili janga, na safari yangu ya kutafuta mtoto nje ya ndoa, nimeifuta rasmi.
Najua nawachosha lakini hiyo ndio hali halisi.
Hapa chini ni kopo la hizo dawa na majibu yangu, Mara baada ya kupima Leo.
Onyo! UKIMWI HAUJARIBIWI!KONDOM NI MUHIMU SANA!
Babu ww ushatumia hiyo pepnimesoma mara 2-2 ulicho andika, ni vile hauna ama ujapitia mapito hatarishi hili dude linatish balaa kwa mawazo tu huwezi maliza mwaka.
Unajuwa unaweza ukawa hujaandikiwa kupata mtoto Bas kufoc foc nako n kubaya! Its better to stay calm! Nitafanya mpango wa kuwa natembelea vituo vya Watoto yatima ili kumaliza kiu yangu ya Watoto, ila siyo kuzaa nje tena
ChambimagakaHata muhimbili nadhani hiyo technology IPO, specialist mmoja kutoka kamanga hospital àliniambia! Ila sijafikiria kutumia iyo
Mkuu nimekuchek inboxSame applies.
Mungu anakuona halafu...Hicho kichefu chefu kitaendelea si mnajifai mabingwa wa kudanga kila binti mzuri mnataka kuzama pm
Sent using i phone x
Du hayo majibu hatariHicho kichefu chefu kitaendelea si mnajifai mabingwa wa kudanga kila binti mzuri mnataka kuzama pm
Sent using i phone x