Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Wakuu Salama! Kuna Jamaa yangu ameanza Doze ya PEP Siku Moja iliyopita baada ya Kujihisi yupo hatarini.

Lakini hakufanya Ngono ya Kumuingilia Huyo mdada, Isipokuwa alifanya Oral Sex tu, ambayo haikuchukua hata Dakika 2

Baada ya Kujihisi katika hali hiyo alienda Kwenye Vituo viwili tofauti vya Afya kucheki Afya yake kama yuko Negative ama Postive.

Huyo mdada imegundulika ni Postive

Bahati Nzuri Vipimo vyote hivyo vimeonesha Jamaa yuko Negative.

Ameanza Doze ya PEP baada ya kuwahi ndani ya Saa 72.

Kinacho mtatiza ni hiki hapa :- Je anaweza kushiriki Mapenzi na Mchumba wake ambae ni Negative? Huyo Jamaa tayari anatumia Doze ya PEP?

Majibu yake yakiwa NEGATIVE

Je, huyo Jamaa anaweza kuwa tyr na yeye ameathirika?
 
Kwa Sababu alivyokuja kuomba Ushauri nilimbana anieleze ukweli wa mazingira yaliyokuwepo ili niweze kumshauri cha Kufanya
 
Kwani ukisema ni wewe tutakufanyaje mkuu...cha msingi afuate ushauri wa wataalamu wa afya..kwanza hata ukimwi wa siku hizi sio wa miaka ya zamani..watu wanadunda na maisha yanaendelea kama kawa..cha muhimu jari afya yako mana ndio mtaji wako.


#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa Sababu alivyokuja kuomba Ushauri nilimbana anieleze ukweli wa mazingira yaliyokuwepo ili niweze kumshauri cha Kufanya
Tulia tu mkuu mpaka siku 30 ziishe utamuharibu huyo binti mwingine Kuna mechanism behind ufanyaji kazi wa pep ambao kuelezea ni muda ila kwa asilimia kubwa sio salama kwako na kwake tulia na pep na ule sana bila kuzidishia muda wa kutumia dawa.

Angalia usije kujuta mjuba.
 
Dakika mbili ulifaidi nini sasa mkuu? Si bora ungeeda na mgando bafuni ukamaliza haja zako?
 
Tulia tu mkuu mpaka siku 30 ziishe utamuharibu uyo binti mwingine
Kuna mechanism behind ufanyaji kazi wa pep ambao kuelezea ni muda ila kwa asilimia kubwa sio salama kwako na kwake tulia na pep na ule sana bila kuzidishia muda wa kutumia dawa
Angalia usije kujuta mjuba ..
Nitamfikishia Ushauri huu Mkuu
 
"Lakini hakufanya Ngono ya Kumuingilia Huyo mdada, Isipokuwa alifanya Oral Sex tu, ambayo haikuchukua hata Dakika 2"

Wakati mwingine bora uchukue sabuni tuu dk 1 umemaliza hamu zote, yaani umefanya dakika mbili?

Pole sana lakini huwezi kupata kama ulifanya bila kutokea mchubuko uko salama asilimia 100 na pia izo PEP( truvada) meza tuu.

Baada ya miezi 3 ukapime kama utamrudia demu wako sawa ss wajumbe tunasema ""mwana kulifind na mwakuliget lote""
 
Wakuu Salama! Kuna Jamaa yangu ameanza Doze ya PEP Siku Moja iliyopita baada ya Kujihisi yupo hatarini.

Lakini hakufanya Ngono ya Kumuingilia Huyo mdada, Isipokuwa alifanya Oral Sex tu, ambayo haikuchukua hata Dakika 2..
Vipi alipokuambia anangoma. Hukumuamin mpaka ulipomwaga ndo akili ikarudi?

Haina noma, Jamaa yako yuko poa tu ,ngono ya mdomo inachangia kiwango kidogo sana .
 
Watanzania akili zenu sijui mnapeleka wapi aisee,sasa kama anatumia PEP ,kilichompelekea afanye tena ngono kabla ya dozi kuisha ni nini? Anyway hapo lolote linaweza kutokea,kama huo uzinzi bado haujazidi masa 24,nashauri huyo mzinzi mwenzie akachukue doI za PEP pia
Duh
 
Samahani naomba Sana msaada ni wapi naweza pata hizi dawa zinaitwa PreP condom ilipasuka kazini

Naweza pata wapi nimetembea phamarcy mbili nimekosea Mimi Niko mwanza

Nisaidie wajuba Hali ngumu
 
Back
Top Bottom