Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
Ok poa BossNenda hospital mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok poa BossNenda hospital mkuu.
Hizi dawa hupati kwenye Phramacy maana haziuzwii...!! Zinatolewa bure na serikali. Nenda kituo cha afya au hospital yoyote iliyo karibu utapimwaa kujua status yako kwanza then utapewa Hizo dawa utumie kwa mwezi mzima. wahi kabla ya Masaa 72 hajaishaa.Ok poa Boss
ShukraniHizi dawa hupati kwenye Phramacy maana haziuzwii...!! Zinatolewa bure na serikali. Nenda kituo cha afya au hospital yoyote iliyo karibu utapimwaa kujua status yako kwanza then utapewa Hizo dawa utumie kwa mwezi mzima. wahi kabla ya Masaa 72 hajaishaa.
Mtu akiwa exposed anaweza kutumia PEP labda kwa siku chache na kuacha?rpg Sio lazima iwe kwa watoa huduma za afya tu, kama ni kinga basi kila mtu anaweza kupatiwa!
Unatakiwa utumie kwa MWEZI.Mtu akiwa exposed anaweza kutumia PEP labda kwa siku chache na kuacha?
Ulifanikiwa kupata?Samahani naomba Sana msaada ni wapi naweza pata hizi dawa zinaitwa PreP condom ilipasuka kazini
Naweza pata wapi nimetembea phamarcy mbili nimekosea Mimi Niko mwanza
Nisaidie wajuba Hali ngumu
Huwezi kupata phamarcy hata iweje. Nenda Kituo cha Afya au Hospitali iliyo karibu na wewe. Ushauri wangu ukifika, pima VVU kwanza. Ukionekana +ve, safari yako ya kupata PEP itakuwa imekufa rasmi, labda uanze utaratibu wa kupata ARV.Samahani naomba Sana msaada ni wapi naweza pata hizi dawa zinaitwa PreP condom ilipasuka kazini
Naweza pata wapi nimetembea phamarcy mbili nimekosea Mimi Niko mwanza
Nisaidie wajuba Hali ngumu
Pharmacy huwezi kuzikuta hizo ni dawa za msaada halafu kama uliwahi ndani ya saa 72 ndio effective otherwise yakupasa kufuata utaratibu mwingine sijui kama Tanzania walibadili sera hiyo au vipiSamahani naomba Sana msaada ni wapi naweza pata hizi dawa zinaitwa PreP condom ilipasuka kazini
Naweza pata wapi nimetembea phamarcy mbili nimekosea Mimi Niko mwanza
Nisaidie wajuba Hali ngumu
Acha kucheka mtu yupo Serious sana anahitaji msaada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana dulla kichwa wazi kaponza mwili usitumie ndom.
Daaaah pharmacy siwezi pata msaadaWahi kabla ya masaa 72 kwenye vituo vya afya utapata maelezo zaidi.
Msaada Kuna Mtu anahitajiWasafi inaungua huku
Nenda hospital acha uzwazwa.