Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Mkuu pole kwa masaibu, nakusihi ujitaidi kumaliza PEP na utumie kwa ufasaha pia. Uwezekano wa maambukizi ni finyu ukizingatia hayo.
 
umeshaambiwa anapima kila mwezi. inatosha kujua ni nguli wa kugawa.

utapona fuata maelekezo
 
Ndio unatakiwa uanze napema dosr ya muda mrefu kabla CD4+ haijazidiwa
Mm Sina maambukizi kaka nimepewa pep za mwezi na nikimaliza natakiwa ni kapime tena ili kujua afya yangu sasa kabla cd4 hazijaxidiwa kivipi
 
Maliza dose then utaenda kupima......usijiingize kwa tabia hatarishi tena kwa kpnd hiki...
 
Baadhi ya watu weny ukimwi wanapenda kuwaingiza wenzao chaka sijui kwanin yani au sijui ndo wanalipa kisasi
 
Mkuu nimeona hii post yako au dalili zishaanza[emoji116]
 
Hapana kaka hichi kitu nnacho siku nyingi hata kabla sijakutana na uyo demu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa asante sana na labda umemaliza ukaonekana hauna maambukizi je inawezekana miezi miwili mbele ukaja kupima ukaonekana ni positive??
Hakuna kitu kama hicho,kula hizo PEP,utakuwa salama ,don't panic ,I can feel your sensation.kuna wengine hapo hawana uelewa mzuri wanaendelea kukutisha tu.Ila acha zinaa ndugu dunia ya sasa imeharibika sana,tatizo lililopo pia wanawake baadhi yao na hata baadhi ya wanaume wenye hiyo kitu wanafanya makusudi wakijua mtakuwa wengi,be careful dude,UKIMWI upo na unaua,sasa hebu imagine mpenzi wako kama hivyo akija kujua si itakuwa majanga!Unahatarisha maisha yako na pia ya huyo mpenzi wako unaetarajia kumuoa...
 
Dah asante sana ila kiukweli nikimaliza na nikijikuta salama naoa kaka na tulia na mke kaka siji kutamani wala kutembea na mwanamke tofauti na mke wangu nimekoma kaka maana Amani imetoweka kabisa ndani ya moyo wangu
 
Dah kwaiyo unataka kuniambia mtu anaetumia art ni ngumu kuambukiza ukimwi kuliko mtu asietumia ambae mstari ungeonekana kwa ukubwa??? Japo natumia pep ila kwa faida tu yangu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…