Vipi Kwa hapa tz ,ma-nurse wanaopata virusi wakati wa kutoa huduma,wanapatiwa hii treatment???
kama wanayo kinga,kwanini wasiwe na tiba? Dawa ikipatikana watu watakufa njaa ndio maana mpaka sasa hakuna dawa ya ngoma.
Huwezi kujua kama umeathirika ndani ya masaa 72 ndio..Na wala ukienda clinic hawakupimi kama umeathirika au hujaathirika..wanachofanya ni kukuuliza maswali, kwa nn umehamua kufanya PEP kabla hawajakuanzishia hiyo dozi
Inauzwa au kupatikanaje? je inatumiwa kwa sindano au vidonge?
Sijajua upatikanaji wake kwa hapa kwetu..ila ni vidonge
vinapatikana mahospitalini... vidonge hivi ni ARV's tu na haviuzwi.
kupimwa ni lazima.. maana kama na wewe una maambukizi hizo dawa zinakua hazina maana. i've been to this dosage wakati fulani baada ya kuwa kwenye mazingira yenye utata katika kutekeleza majukumu yangu ya kikazi.. hizi dawa ni balaa, tujali sana afya zetu vijana wenzangu maana UKIMWI is real na unaua maukwelii.
Kwani PEP ndio ARV's?
Hapo kwenye bluu ufafanuzi tafadhari.
zinatesa. unakunywa kwa kengele alafu kipindi cha mwanzoni zinasumbua sana., zina maudhi kama kichwa kuuma, kichefuchefu na mwili kujisikia vibaya. shida kubwa ni kuwa zinataka chakula cha maana. hakwambii mtu kula ila utatafuta chakula mwenyewe maana zina njaa kama antibiotics. huwezi kula chipsi alafu ukameza hizi dawa. kama ulichagua muda wa kumeza kuwa saa tatu basi utameza saa tatu asubuhi na saa tatu usiku bila kuchelewa siku zooote za dozi yako mpaka hizo wiki nne ziishe.
PEP (Post - Exposure Prophylaxis) ni matibabu anayopewa mtu after been exposed to HIV ili kukukinga kuwa HIV positive.
Matibabu haya yanatakiwa kutolewa as soon as possible baada ya mtu kuwa exposed na HIV (ndani ya masaa 72) i.e kama zishapita siku tatu( masaa 72) matibabu haya hayawezi kufanya kazi
Matibabu haya hutolewa kwa muda wa mwezi mmoja( 4weeks).
Swali: Mbona hiki kitu akizungumziwa sana na watoa huduma ya afya na wadau wanaohusika na mapambano dhidi ya ukimwi?
Je ni gharama ama kuna side effects kubwa?
Kwa kuwa kuna tukio kubwa Dodoma itakuwa vigumu kukujibu kwa undani ingawa napingana kwa kiasi kikubwa mambo uliyoyaandika. Naomba scientific evidence kusapoti hayo uliyoyasema mkuu vinginevyo it is great deception....."Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Naona bado kuna watu wasiojua ukweli kuhusu HIV/AIDS,mnasimuliana hadithi za kusadikika.Mtu yeyote mwenye akili timamu akiruhusu akili yake ifikirie upande wa pili wa HIV/AIDS basi atauona waziwazi uongo wote kuhusu ugonjwa huu feki katika kila nyanja.
"HIV/AIDS is a mindset disease"
Ukimwi hausababishwi na HIV,hakuna kirusi chenye uwezo wa kushusha kinga ya mtu yeyote.ARVs zikiwemo PEP ndio mpango mzima,ARVs ndio zinazosababisha Ukimwi kwa wale wanaozitumia.
Wanachokifanya hawa jamaa ni kwamba;
-Wanakwambia kwamba ukimwi unasababishwa na HIV kwa kutumia kampeni na matangazo ya kutisha ili kurubuni akili yako.
-Wanakupima na vipimo vyao feki ambavyo si kweli kwamba vinapima HIV,halafu wanakusingizia kwamba una HIV.
-Baada ya hapo wanakwambia utumie madawa feki ya ARVs ambayo hayatibu chochote na hayana faida yoyote mwilini zaidi ya hasara huku ukiamini kwamba yanapunguza makali ya ukimwi kumbe si kweli.
-Halafu ARVs ndizo zinakusababishia ukimwi baada ya kuzitumia kwa muda fulani huku ukimsingizia HIV ambaye ni hewa kwamba ndiye amesababisha.Kumbe mchawi hapa ni ARVs.
Wagonjwa wote wanaotumia ARVs ambao wana hali mbaya kiafya huwa wanakuwa na magonjwa yafuatayo;
1.Matatizo ya MOYO,
2.Matatizo ya INI,ini kufeli
3.Matatizo ya FIGO,figo kufeli
4.Upungufu wa damu,ANAEMIA,
5.CANCER,
6.Kisukari.
Haya ndiyo matatizo yanayowauwa watumiaji wa ARVs.Kama huamini fuatilia kwenye vituo vya afya ujionee mwenyewe.
Swali;
Je,matatizo hayo hapo juu yanasababishwa na HIV?Kama kweli,je ni kivipi?Kama si kweli,je nini husababisha matatizo hayo?
Jibu la kweli;
Matatizo hayo yote hapo juu hayasababishwi na HIV bali husababishwa ARVs.ARVs zinaleta LACTIC ACIDOSIS kwenye damu ambayo ndio mzizi wa matatizo yote hapo juu.Cell za mwili zinaishi katika hali ya ukosefu wa hewa ya oksijeni kwa muda wote wa matumizi ya ARVs(fermentation),cell hudhoofu na kufa(UKIMWI,KISUKARI) na nyingine hupata mutation na kuanza abnormal division(CANCER),madini kama calcium na magnesium hupotea mwilini ili kubalance alkalinity level ambapo madini haya ni muhimu ktk relaxation na contraction ya misuli ya moyo(matatizo ya moyo),pia madini ya Ca ni muhimu kwa uimara wa mifupa.Sumu hii ya ARVs inadhoofisha bone marrow ambayo ndio mzizi wa kuzalisha damu(ANAEMIA),sumu hii pia inafanya ini lishindwe kufanya kazi yake hivyo pia hupelekea figo kushindwa kufanya kazi.
ARVs ndio ukimwi wenyewe na sio HIV kama wengi wanavyodhani.HIV ni hewa tu,ARVs eg PEP ndio mpango mzima lakini watu bado hawajui na wanazidi kuzipigia debe dawa hizi hadi leo hii.Walioanzisha uongo huu wanajua ukweli wote huu,kazi kwetu sisi watu wa dunia ya tatu kutegua mtego huu.
HIV/AIDS ni biashara ya ARVs tu na si vinginevyo.Siku hizi kampeni za kupima bure zimepamba moto,watu wanadhani wamarekani wanatupenda sana,la hasha,ukweli ni kwamba wanatafuta wateja wa ARVs kwa nguvu zote kwa kutumia vipimo vyao feki vilitengenezwa kwa sayansi ya kijanja ili viwapatie wateja wengi zaidi.
Kampeni dhidi ya ugonjwa huu feki nazo ni feki pia,na ndio maana huwezi kamwe kusikia dawa au kinga ya ugonjwa huu feki imepatikana,hii ni kwa sababu ugonjwa wenyewe ni feki.Kama kuna mtu anadhani kuna swali lolote lenye utata mimi kulijibu ninawaambia kwamba hakuna swali lenye utata hapa.Ila kuna maswali yasiyohesabika ambayo hayawezi kujibika na watu wanaotetea dhana hii ya HIV/AIDS.
AIDS haiambukizwi kwa njia yoyote hata kwa ngono zembe,HIV hasababishi ukimwi,Vipimo vya HIV ni feki,ARVs hazina faida yoyote zaidi ya hasara na hazitibu chochote na ndio hizi zinazosababisha ukimwi kwa wale wanaozitumia.
Fungueni akili mtajua tu,ninaamini mna uwezo mkubwa zaidi ya huo mlionao sasa,jitahidini kufungua akili na kuangilia upande wa pili wa ugonjwa huu feki.
Narudia; "HIV/AIDS IS A MINDSET DISEASE".HIV/AIDS IS NOT REAL.
Ushahidi uko hapohapo ulipo ndugu hebu fungua akili kidogo ujiulize haya maswali...hivi kuna ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya damu na unachagua makundi ya kuambukiza?Sasa mkuu ni kitu hasa kinaweza kunithibitishia kuwa HIV/AIDS ni mindset ikiwa kuna kipimo kinachoonesha uathirika wa mtu? unadhani kwanini niamini kuwa hakuna wakati kuna kifaa unachoweza kujipima mwenyewe na ukajigundua kuwa ni mzima au la!?
Kuna ushahidi gani wa kisayansi kuthibisha madai yako?
Sasa mkuu ni kitu hasa kinaweza kunithibitishia kuwa HIV/AIDS ni mindset ikiwa kuna kipimo kinachoonesha uathirika wa mtu? unadhani kwanini niamini kuwa hakuna wakati kuna kifaa unachoweza kujipima mwenyewe na ukajigundua kuwa ni mzima au la!?
Kuna ushahidi gani wa kisayansi kuthibisha madai yako?
Sasa mkuu ni kitu hasa kinaweza kunithibitishia kuwa HIV/AIDS ni mindset ikiwa kuna kipimo kinachoonesha uathirika wa mtu?...
unadhani kwanini niamini kuwa hakuna wakati kuna kifaa unachoweza kujipima mwenyewe na ukajigundua kuwa ni mzima au la!?
...Kuna ushahidi gani wa kisayansi kuthibisha madai yako?
Sasa mimi huwa napenda watu wanaouliza kama hivi,hapa sasa tuko pamoja,na majibu nitakayokupa nina uhakika utayapenda,nina nia ya kweli kukuokoa na uongo huu wa karne,nimeanzia mbali sana safari yangu ya kuwaelimisha watu mambo kama haya bila malipo na sitachoka kufanya hivyo kwa kuwa nafsi yangu inanilazimisha kufanya hivyo;
HIV/AIDS ni mindset kwa kuwa kuna asilimia kubwa sana ya watu wamepimwa na hivi vipimo feki na wameonekana kuwa na HIV lakini hawatumii ARVs kwa muda mrefu sasa lakini hawana AIDS,pia kuna watu wengi sana kuliko inavyoweza kufikiriwa wana AIDS lakini hawajakutwa na HIV.
Vipimo vinaonesha uathirika gani?Watu wengi hawajui vipimo vya HIV vinapima nini,vipimo hivi havipimi muonekano wa HIV bali hupima kinga ya mwili dhidi ya protini fulani ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini protini hizo sio maalum kwa HIV,kuna hali mbalimbali mwilini zinaweza kuzalisha protini hizo,baadhi ya hali hizo ni magonjwa mbalimbali kama TB,Malaria nk,hali ya mimba kwa wanawake pia hutoa protini hizo wakati fulani na kuna zaidi ya magonjwa 70 huweza kuzalisha protini hizo.Hivyo basi,vipimo kuonesha majibu ya HIV+ sio suala la kutilia maana.Umeshajiuliza kwa nini vipimo vya HIV havioneshi HIV mwenyewe kama vilivyo vipimo vya malaria,TB,Typhoid nk?,umeshajiuliza kwa nini hakuna daktari hata mmoja mfano hapa Tanzania aliyewahi kumuona HIV hata kwa vyombo wanavyotumia?Kama hawajawahi kumuona HIV sasa wanapima nini?
Lakini weka akilini pia,pamoja na yote hayo lakini hakuna kirusi chenye uwezo wa kusababisha Ukimwi,tutakwenda huko pia kwa kirefu.
Rudi kwenye jibu kuhusu vipimo hapo juu,ndio maana nasema vipimo hivi ni feki,na ndio maana kuna kesi nyingi kuhusu watu kupewa majibu ya uongo.Je,umeshawahi kujiuliza kuna watu wangapi wamekufa kwa kupewa madawa yenye sumu(ARVs) kwa kusingiziwa eti wana HIV,na wengine wamejinyonga?Fikiri zaidi hapo.
Hebu niambie unataka ushahidi gani nikupe, nami nitakupa.
Sasa mkuu kuna matukio ya vifo vinavyotokana na watu kuambukizwa HIV na wapenzi wao na wote hufa kwa dalili moja, hii nimeshaona sehemu na kesi kubwa ni kuwa wahusika walitembea na muathirika. Sasa unaposema kuwa ni mindset huku watu wanakufa kwa style moja ina maana kwamba kuna tatizo hapo.