Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Hapo tatizo lako litakuwa ni kuona au kuambiwa lakini usijue au usielewe uhalisia wa kilichotokea.Maswali kama haya nilishaulizwa sana na usifikiri kwamba kuna utata hata kidogo.Cha msingi ni kujua kwa undani historia nzima na aina ya maisha ambayo wapenzi hao walikuwa wanaishi.
Sasa ili niweze kujibu swali lako,nahitaji mfano ulioshiba taarifa sahihi ili niweze kukwambia kwa nini hilo lilitokea,vinginevyo itakuwa ni hisia tu.Kuna uwezekano mkubwa watu hao watakuwa wametumia ARVs wote wawili.Pia umeshasahau kwamba vipimo vya HIV vinaweza pia kutoa majibu ya HIV+ kwa mtu yeyote yule hata kama hajawahi kushiriki ngono au kuchangamana damu na mtu mwingine,ndio maana nikakwambia vipimo ni mojawapo ya kanyaboya ambalo waliotudanganya wanatumia ili kurubuni akili zetu ili tuweze kutumia dawa zao zenye sumu ambazo ndio zinatuangamiza huku tukimsingizia HIV ambaye ni hewa.
Mimi pia kuna familia ninaifahamu,baba,mama na mtoto wao mchanga walikufa kwa dalili moja.Baada ya kuchunguza kumbe wote walikufa kwa TB.TB huambukizwa kwa njia ya hewa,baba,mama na mtoto hulala kwenye kitanda kimoja kila siku,nadhani unaelewa namaanisha nini.Mwenye TB ni rahisi kumpima HIV+ kutokana na sayansi ya vipimo vya HIV ilivyo.Hii ni case study moja tu ya mfano ambayo ninaijua kwa undani.Sasa inabidi ulete case study ambayo una taarifa za kutosha ili tuijadili,vinginevyo utakuwa unatumia hisia tu,na hapo ndipo maana ya HIV/AIDS kuitwa mindset disease inapokuja.
Mfano wa hao watu niliowasemea ni kipindi cha nyuma sana kabla ya ujio wa ARV's na watu walikufa kwa vipindi vinavyokaribiana, kuna mtu alikuwa anatuhumiwa kuambukiza watu kwa makusudi.