Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Jitahidi sana umalize dozi na kikubwa vumilia mateso yote ya hii dozi mwezi mzima, binafsi ilinisaidia iliniokoa kwenye mdomo wa 'simba' baada ya kucheza rafu ila cha moto nilikiona!
 
Post-exposure prophylaxis (or PEP) is safe but may cause side effects like nausea in some people. These side effects can be treated and aren’t life-threatening.
 
Kwamaana hyo mtu akicheza rafu anasaidiwaje?
 
PEP means post exposure prophylaxis
Hii ipo kwa ajili ya makundi kadhaa muelewe jamani
Watumishi wa afya
Watu waliobakwa
Watu walioathirika na hiv yaani mmoja anao na mwingine hana (discordant couple) ikatokea mistake ya condom kupasuka au kuvuka kwa bahati mbaya.
Hapewi mtu tu hivi bila sababu eti nimelala na mtu nahisi ameathirika!...
Kuna utaratibu wake katika kutoa hizi pep na nilazima ufuatwe....
Natumai nimeeleweka mwenye kutaka kufaham zaidi nakaribisha maswali
 
Kwa kuongezea hapo juu kuna baadhi ya nchi wanatoa PRE-EXPOSURE PROPHYLAXIS (PrEP)

Ni hizo hizo dawa za Hiv infection kwa makundi mbali mbali kwa ajili ya kuwakinga wasipate/kupunguza maambukizi ya hiv

Tofauti hapa kati ya PrEP inatumiwa as life long kulingana na exposure ya mtumiaji atakaapokua kwenye exposure na PEP ni mwezi mmoja tu.

PrEP inatumiwa na makundi ya mashoga,wanawake wanaouza papuchi,discordant couples,na discordant couples intending having pregnancy.
 
PEP means post exposure prophylaxis
Hii ipo kwa ajili ya makundi kadhaa muelewe jamani
Watumishi wa afya
Watu waliobakwa
Watu walioathirika na hiv yaani mmoja anao na mwingine hana (discordant couple) ikatokea mistake ya condom kupasuka au kuvuka kwa bahati mbaya.
Hapewi mtu tu hivi bila sababu eti nimelala na mtu nahisi ameathirika!...
Kuna utaratibu wake katika kutoa hizi pep na nilazima ufuatwe....
Natumai nimeeleweka mwenye kutaka kufaham zaidi nakaribisha maswali
Kwani ikitolewa hvhv tuu kwa lengo la kuzuia maambukizi kunashida gani?..
 
Kwani ikitolewa hvhv tuu kwa lengo la kuzuia maambukizi kunashida gani?..
Dawa hizi zina madhara yake kiafya(Side effects).Hivyo hazitolewi kirahisi tu bali tunapima hatari yake ukilinganisha na faida atakayopata mgonjwa.
 
Dawa hizi zina madhara yake kiafya(Side effects).Hivyo hazitolewi kirahisi tu bali tunapima hatari yake ukilinganisha na faida atakayopata mgonjwa.
Mpaka mgonjwa kuja kuziitaji Ujue kashayakanyaga hivyo anataka kujinusuru,.
Ipi bora madhara yatokanayo na dawa au kuathirika kwa kukosa hzo pep.
 
Hivi mbona binadamu mnahangaika sana. acheni woga oooh sijui ukimwi sijui nini. mimi kwa 20 years sijatumia kinga yoyote na nagonga sana tu napima kila miezi 3 niko safiii. after all mtakufa tu. Shiit.
 
Nimechanganyikiwa mana nimepasukiwa na condom wakati tukifanya mapenzi ikabidi tukapime nikakuta kumbe mwenzangu ana VVU wamenipa dawa PEP. Imetokea leo asubuhi hayajapita masaa 24 nimemeza PEP

Je kweli zitanikinga?

Update
======

Nimepima tarehe 6/10/2017 nipo HIV negative, nina furaha saana maana nilitembelea rim, nimejifunza jambo kubwa saana katika maisha yangu....


================================
Ilivyokuwa

====!!!!!=====
Alikuja kunitembelea toka mkoani tarehe 21 June 2017, tunagegedana kwa kinga, siku hiyo ya tarehe 21 mara mbili kisha tukalala, Asubuhi kabla sijatoka tunagegedana, nikiwa nakaribia kufika climax condom ikapasuka, nikamalizia, Nilipomaliza nikapata hofu maana sikuwa najua status yake.

Nikamwambia tukapime alikubali tukaenda hospital kupima. Nikaona ana hofu japo amekubali ikabidi nisisitize kwenda ,tukaenda dispensary kupima.

Tulipofika tukatoa damu tukaambiwa tusubiri, Baada ya dakika 10-15 akaitwa akatolewa damu tena. Nikaanza kupata hofu.

Muda wa majibu ulipofika tukaitwa, kufika ndani baada ya mazungumzo na yule mtoa Ushauri yaliyodumu kwa nusu saa akauliza mpo tayari kupokea majibu!? Tukasema ndio, akasema "kaka hongera sana majibu yako ni mazuri hauna maambukizi, Dada unaishi na maambukizi ya virus vya UKIMWI".

Nikajieleza juu ya mkasa wa kupasukiwa na condom, wakanipa dose ya pep for 28 days.

Hizo dawa ni kali vibaya mno, zinalevya hatari yaani Unachoka unajihisi kuumwa, mawenge na ndoto za ajabu ajabu kila siku. Asee asikuambie mtu ni dawa strong sana.

Yule binti alikataa kuanza clinic, akadai yeye Si Mgonjwa hana maambukizi
 
"Kumbe mwanzangu ana VVU"

Aiseee muwe mnapima kabla ya tendo.....
Sidhani kama utarudia tena hio kitu
 
Pole sana mkuu.. Kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa mapishi
 
Back
Top Bottom