Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ikitolewa hvhv tuu kwa lengo la kuzuia maambukizi kunashida gani?..PEP means post exposure prophylaxis
Hii ipo kwa ajili ya makundi kadhaa muelewe jamani
Watumishi wa afya
Watu waliobakwa
Watu walioathirika na hiv yaani mmoja anao na mwingine hana (discordant couple) ikatokea mistake ya condom kupasuka au kuvuka kwa bahati mbaya.
Hapewi mtu tu hivi bila sababu eti nimelala na mtu nahisi ameathirika!...
Kuna utaratibu wake katika kutoa hizi pep na nilazima ufuatwe....
Natumai nimeeleweka mwenye kutaka kufaham zaidi nakaribisha maswali
Soma thread inayofuata ina jibu kamiliKwani ikitolewa hvhv tuu kwa lengo la kuzuia maambukizi kunashida gani?..
Dawa hizi zina madhara yake kiafya(Side effects).Hivyo hazitolewi kirahisi tu bali tunapima hatari yake ukilinganisha na faida atakayopata mgonjwa.Kwani ikitolewa hvhv tuu kwa lengo la kuzuia maambukizi kunashida gani?..
Mpaka mgonjwa kuja kuziitaji Ujue kashayakanyaga hivyo anataka kujinusuru,.Dawa hizi zina madhara yake kiafya(Side effects).Hivyo hazitolewi kirahisi tu bali tunapima hatari yake ukilinganisha na faida atakayopata mgonjwa.
Mkuu njoo PMPOST EXPOSURE PROPHYLAXIS (PEP)
kama tayari Umefika hospital Na umeanza matibabu, wewe zingatia vile ulivyo elekezwa mkuu