Kuna imani nyingi Potofu juu ya ugonjwa huu....wengine wanasema eti umekula/kulishwa nyama ya Binadamu na Mchuzi wake kudondokea kwenye ngozi.........Ukweli ni ukosefu wa aina fulani ya Protini mwilini na kusababisha kutokutengenezwa kwa kitu kinachoitwa Skin pigment........Ushauri jitahidi kula Nyama nyekundu kwa wingi kiasi isiyochomwa sana.... angalizo Nyama ikaguliwe/kupimwa kuona kama haina madhara, hakika utapona......
swadaktaaaaaaaa..........MJINI CHAI, Kwahiyo unamaanisha kwamba 'ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi' ndo TIBA ya Vitiligo?
-Kaveli-
Hebu toa historia ulizaliwa nayo au ilianza ukubwani ili nikupe abc
Naomben msaada wa kupata dawa ya hii mambo,,Ahsanteni
Zaliwa nayo mkuuHebu toa historia ulizaliwa nayo au ilianza ukubwani ili nikupe abc
Sidhani kama kuna dawa mkuu ila hiyo si toka utotoni.
Ila ngoja tusubiri wataalamu zaidi.
AhsantePole sana mkuu
Yap toka utoton mkuuSidhani kama kuna dawa mkuu ila hiyo si toka utotoni.
Ila ngoja tusubiri wataalamu zaidi.
Kama ni birth marks hazina tibaZaliwa nayo mkuu
Punguza haraka... Wataalamu wengi hapa!??Kama ni birth marks hazina tiba
Zimeanza tokea nikiwa na miaka sita mkuuVipi ulizaliwa nazo hizo mambo ,au jimetokea ukubwani???
Tabby nitumie namba yako ninashida Na wewe nduguMkuu kwa nini usiweke hadharani ili uzi huu ukawasaidia wengi wenye tatizo hili hata kwa miaka mingi ijayo? Pole sana Mkuu.