Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

Mkuu nimesoma post zako nyingi, unahangaika bure kumuelimisha huyu fala. Watanzania wanatakiwa waachwe wapigwe tu ndo watie akili. Mi nimeelimisha watu tangu Tiansh,Q-net, D-9, Amazon.co.uk etc na bado mafala hayaishi. Acha wapigwe tu ndo akili ziwarudi. Na hizo billion 17 za Mr.Kuku natamani serikali ikajengee Zahanati mikoani ndo watu wajue hakuna shortcut wajifunze namna sahihi ya kuwekeza kwa kutumia akili.
 
Kumbe munajuana ndio maana kakupa lakimoja.
Juzi juzi kapiga picha yupo kwenye shamba la watu la mapapai anajifanya ni lake kuna mtu anamuhoji anasema ana ekari karibu 500 za mipapai anatoa somo hahahaa nikacheka sana , Ontario kashaonja pesa ya utapeli hawezi kuacha utapeli....Yaani anapiga picha kiujanja ujanja ili hata kama eneo ni lako ni ngumu kulijua maana anaficha ficha uhalisia halisi ,anasema tu hapa ni mwanzo linaenda hadi kule halafu hawamove kabisa!! Hapo atataka kufanya elimu ya kupanda mipapai watu watatoa pesa na kusepa na kijiji.
 
Hawa hawana tofauti na Namaingo acha kuwatetea...
Ahahahahahahahah.Namaingo washenzi wale walinipiga 250,000/= mwaka 2015 toka hapo akilibyangu ikakaa sawa sitakaa kuingizwa mjini kizembe tena.

Ofcz dat time ndio nina miaka michache toka chuo na sina ishu ya maana sobi wqs desparate kuhus pesa.

Honestly masikin yuko kwenye risk kubw sana ya kuibiwa kuliko mtu mwenye kipato chake.
 
Mimi wale niliwastukia mapema maana their stories were good to be true yani, kuna rafiki yangu alipigwa 600000 akaungwa na mwingine mwingine alikutana naye huko akapigwa tena zaidi ya milion 30 eti kwa biashara ya kuku
 
Leo una lolote la kutuambia?ĺ
 
Aisee..Mkuu pole kwake ila anapigwaje 30m.Mbona kwahiyo amount angeweza ku establish projevt yake kubwa tu.Bonge ya poutry farm na chenji ingebaki ya kufanya mengine.

Binafsi niliwapenda wale jamaa idea yao ila baada ya kupigwa nikajipa muda ila nikaapa lazima nifanye ile kitu na nikaanza kikawaida kabisaa bila stress.

Kwel kosa pesa usikose akil.
 
Yani alianzisha project ya kuku aliinvest ela nyingi sana mzee na huyo aliyempiga alimwambia vifaranga anunue kwake na chakula awe ananunua kwake mabanda akamjengea yeye madawa anunue kwake na jamaa alinunua vifaranga 5000 kwa miada kwamba akifuata hivyo wakianza taga mayai atanunua yeye ana wateja toka nje jamaa alikula hasara moja takatifu
 
Teh teh teh teh.. ananidanganyaje mtu ni jirani yangu.

Muulizeni jamaa enu kwanini alimblock mchizi kwa kumuomba tu atoe picha ya nyumba ya wazazi wake kwenye huo ujinga anaowadanganya nao mitandaoni..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi sawa mzee kwaiyo jamaa katuchuuuza
 
Ahahahah.
Siku hiz sitakagi ujinga baada ya kusikia pia ishu za sungura, nikatengeneza mazingira home nikatafuta sungura nikaweka home personally.and guese what sasa...hawa cost even ur time unaendelea na ishu zakobas normal.
Market ikwepo u sell them ikizingua unawa paki tu kwenye freezer for home use.
No stress . Utapel nilishakataa toka nipigwe namaingo.
Ahahahahahah
 
Dahhh!!!!! Think Big Start small.
Sasa jamaa nae alimuaje kuingia mazima badala ya kuanza japo na Pilot phase kwa kujaribu.Daah.imenium kama hiyo hela ni yangu vile..
 
Isikilize nafsi yako. Kunguru muoga huishi miaka mingi
 
Teh teh teh teh.. ananidanganyaje mtu ni jirani yangu.

Muulizeni jamaa enu kwanini alimblock mchizi kwa kumuomba tu atoe picha ya nyumba ya wazazi wake kwenye huo ujinga anaowadanganya nao mitandaoni..
Ontario ni tapeli tu...twitter kasema miezi michache iliyopita alikuwa anakaa hostel kimara hana kitu halafu mtu anakuja humu kumtetea
 
Shukran sana kaka.

Napenda sana watu wanaotoka na kulisemea tatizo kabda halijaathiri wengi zaidi wengi husubiri tatzo lishamili watu waathirike ndio waje kutoa shuhuda ambazo zinakuwa hazina faida tena
 
Dahhh!!!!! Think Big Start small.
Sasa jamaa nae alimuaje kuingia mazima badala ya kuanza japo na Pilot phase kwa kujaribu.Daah.imenium kama hiyo hela ni yangu vile..
Uwa anapenda sana investments zenye big return hawezi invest kwenye returns za milion moja jamaa alihadiwa kuwa kwa investment hiyo atakuwa anaingiza 30 mls kwa mwezi
 
Uwa anapenda sana investments zenye big return hawezi invest kwenye returns za milion moja jamaa alihadiwa kuwa kwa investment hiyo atakuwa anaingiza 30 mls kwa mwezi
Basi kumbe huyo sio level za kawaida kama tulipo wachache so kwake hiyo 30m inaweza kuwa hasara ya kawaida tu kama hasara nyingine yoyote
 
Basi kumbe huyo sio level za kawaida kama tulipo wachache so kwake hiyo 30m inaweza kuwa hasara ya kawaida tu kama hasara nyingine yoyote
Ni hasara kubwa kwake lakini siyo mtu mwenye pesa nyingi wala pesa kidogo ila ni mtu ambaye anashika ela mls 200, 100, 20 hakosi ndani ya miezi 3 -5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…