Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,228
Boy naona umekula kilo kule nitoe hata 10 basi tuishi aisee.Alikufanya nn ? mbona mtu poa sana ? hebu jaribu kua na mtu karibu umjue mwenyewe na sio kuambiwa na watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boy naona umekula kilo kule nitoe hata 10 basi tuishi aisee.Alikufanya nn ? mbona mtu poa sana ? hebu jaribu kua na mtu karibu umjue mwenyewe na sio kuambiwa na watu
Mjini pesa ipo nyingi sana kwenye mifuko ya wajinga sema tu hatujajua jinsi ya kuzibeba na kutokomeza umaskini, saivi Ontario twitter anatoa laki laki subili bomu litakalo pigwa hamtoamini zaidi ya M500
Nianze na la UPATUMk
Mkuu naomba ujibu swali hili.
Huo upatu alikuwa ana Opearate vipi na yeye alikiwa anapataje faida.
Nipe maelezo kimfano wa figure za fedha.
Hivi una akili timamu kweli?? Sasa kama miaka minne yote kungekuwa hakuna tatizo angekamatwa na kufikishwa mahakamani??Jamaa unachekesha Business model like biashara ndio inaenda kufanyika...unachofanya wewe unachambua idea na mchakato mzima wa biashara ambao uchambuzi huo uliitajika uufanye kabla ya biashara ijaanza kuOperate sasa biashara isha Operate miaka minne hizo calculation zanini huu muda wa kuView je Model iliwapa watu kama ilivyosema au hapana.
Sasa unafanya uchambuzi aiseee maisha hayaa.
Pia anadaiwa kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukubali na kukusanya fedha kutoka kwa umma, akijifanya kwamba watafanya ujasiliamali wa ufugaji wa kuku na wangepata faida ya asilimia 70 ya mtaji wa awali waliowekeza kwa miezi minne na asilimia 90 ya mtaji wa awali waliowekeza kwa kipindi cha miezi sita, kiasi ambacho ni kikubwa katika biashara kuliko mtaji uliokusanywa.Jamaa inabidi uwe critical kuview jambo.
Suala lipo hivi umeitwa UPATU kwasababu biashara haina leseni mzee mbali na hapo isingeitwa upatu...upatu unaouzungumzia wewe humu na wao wanavyomaanisha hapo ni vitu viwili tofauti.
[emoji818]Wao wanaita upatu kwamaana biashara ilihusu kuchangisha watu, wameita haramu kwa maana ya leseni hakuna.
[emoji818]wewe unasema upatu kwamaana yako ambayo eti watu wakichanga wanalipwa na wataochanga mbele.
Umeona tofauti kwahiyo elewa hoja tunazokupinga hapa jukwaani.
Anapokea kila siku lakini analipa double baada ya miezi sita,kwa mtiriko huo kutakuwa na watu kila siku wanaweka na wengine wanachukua au wanareinvest,kama rate ya wanaoweka ni kubwa kuliko wanaochukua kitu ambacho ni very likely kwa sababu watu wanavutiwa na returns na matangazo pamoja na income inayotokana na mauzo ya kuku,then collapse ingechukua muda lakin lazima itokeeNilijaribu kukupa interval ili tusichanganyane basi wanalipa kilasiku still utahitaji kuwalipa kilasiku kwa double je double money unaitoa wapi namba makinika na mzizi hoja kuu.
Mkuu hujajibu sawali au muongozo liokupa ulianza vizuri pale ulivyoendelea ni rapcha tu.Nianze na la UPATU
SCENARIO ONE ;
Upatu una operate hivi.... Tufanye mwezi January alikusanya milioni 200 hawa watu watahitaji kulipwa mwezi wa nne/tano kulinga na tarehe walizowekeza.
Maana yake
Faida = 70% ya 200m ni 140m...faida milioni 140
UWEKEZAJI 200m
Jumla itabidi awalipe milioni 340.
Hela ya kuwalipa hawa wawekezaji ni michango mipya iliyokusanywa kati ya February na May.
Kwanini MICHANGO MIPYA
SABABU KUU JAMAA ALIKUWA ANAWEKEZA SO HELA YA WAWEKEZAJI WALIYOLIPWA UNAKUTA HAIJA MATERIALIZE KUTOA FAIDA.....
UNANUNUA KIWANJA
UNAJENGA MABANDA
UNAJENGA KIWANDA CHA CHAKULA
UNAFUNGUA OFISI
UNANUNUA MEANS OF TRANSPORT...
HIYO HELA HAIRUDI.
SCENARIO TWO
Je mbona mr kuku alikuwa anafuga kuku na wawekezaji walioneshwa mabanda?
Swali hili linatupa scenario ya pili, kwasababu faida ya kuku haiwezi kuwa 70% miezi 4 na mradi una risk mbali mbali.
Assumptions
Alipochukua 200m alifanya biashara akapata faida (Sijasema kuku hawama faida, wana faida ndio maana NAFUGA) Tufanye alipate bei gani[emoji28]
Fanya hiyo assuming ya faida (....) Kwasababu nimeonesha pale juu kuwa huwezi kupata 70% miezi 4 basi kitakachopelea anajazia michango mipya.
Akipata faida 50% anakuwa na 100m + initial investment 200m inakuwa 300m ana deficit ya 40m anajazia michango mipya.
Unamwamini Ontario?? Mtu aliyeweka nyumba ya wazazi wa rafiki yangu kwenye mitandao huko na kuaminisha watu eti nyumba hiyo kawajengea wazazi wake..Alikufanya nn ? mbona mtu poa sana ? hebu jaribu kua na mtu karibu umjue mwenyewe na sio kuambiwa na watu
Mkuu hujajibu sawali au muongozo liokupa ulianza vizuri pale ulivyoendelea ni rapcha tu.Nianze na la UPATU
SCENARIO ONE ;
Upatu una operate hivi.... Tufanye mwezi January alikusanya milioni 200 hawa watu watahitaji kulipwa mwezi wa nne/tano kulinga na tarehe walizowekeza.
Maana yake
Faida = 70% ya 200m ni 140m...faida milioni 140
UWEKEZAJI 200m
Jumla itabidi awalipe milioni 340.
Hela ya kuwalipa hawa wawekezaji ni michango mipya iliyokusanywa kati ya February na May.
Kwanini MICHANGO MIPYA
SABABU KUU JAMAA ALIKUWA ANAWEKEZA SO HELA YA WAWEKEZAJI WALIYOLIPWA UNAKUTA HAIJA MATERIALIZE KUTOA FAIDA.....
UNANUNUA KIWANJA
UNAJENGA MABANDA
UNAJENGA KIWANDA CHA CHAKULA
UNAFUNGUA OFISI
UNANUNUA MEANS OF TRANSPORT...
HIYO HELA HAIRUDI.
SCENARIO TWO
Je mbona mr kuku alikuwa anafuga kuku na wawekezaji walioneshwa mabanda?
Swali hili linatupa scenario ya pili, kwasababu faida ya kuku haiwezi kuwa 70% miezi 4 na mradi una risk mbali mbali.
Assumptions
Alipochukua 200m alifanya biashara akapata faida (Sijasema kuku hawama faida, wana faida ndio maana NAFUGA) Tufanye alipate bei gani[emoji28]
Fanya hiyo assuming ya faida (....) Kwasababu nimeonesha pale juu kuwa huwezi kupata 70% miezi 4 basi kitakachopelea anajazia michango mipya.
Akipata faida 50% anakuwa na 100m + initial investment 200m inakuwa 300m ana deficit ya 40m anajazia michango mipya.
Fua bambino wewe kuzi sio level zako huu mdahalo.Hivi una akili timamu kweli?? Sasa kama miaka minne yote kungekuwa hakuna tatizo angekamatwa na kufikishwa mahakamani??
Kweli wajinga mpo wengi sana Tanzania, yule Ontario tuliwaambia humu mtaibiwa mkashupaza shingo, mwishowe akatokomea na pesa zenu na nyie mkabaki kuja kutujazia nyuzi humu..
Imetosha mkuu wachangiaji wengine wataendelea nilipoishia au palipopelea [emoji120]Mkuu hujajibu sawali au muongozo liokupa ulianza vizuri pale ulivyoendelea ni rapcha tu.
Ni hivi nielezee mlolongo mzima wa alivyokuwa anafanya hizo pesa alivyokuwa nazungusha uoneshe vipi ana generate pesa yake huku still akiwapa wawekezaji...ueleze ukionesha na figure za fedha hata za mifano.
Una lipi humo kichwani??Fua bambino wewe kuzi sio level zako huu mdahalo.
Huyo ni mpuuzi mkuu, unapoteza muda wako tu.Imetosha mkuu wachangiaji wengine wataendelea nilipoishia au palipopelea [emoji120]
Kesi itasomwa August 24 Tukiendelea kufuatilia tutajua mengi.
Asante.
Okey ngoja nifunge mjadala maana.Anapokea kila siku lakini analipa double baada ya miezi sita,kwa mtiriko huo kutakuwa na watu kila siku wanaweka na wengine wanachukua au wanareinvest,kama rate ya wanaoweka ni kubwa kuliko wanaochukua kitu ambacho ni very likely kwa sababu watu wanavutiwa na returns na matangazo pamoja na income inayotokana na mauzo ya kuku,then collapse ingechukua muda lakin lazima itokee
Ok shida unajichanganya Sana hivyo ni ngumu kuelewa,kiufupi hueleweki,hatuwezi kufunga mjadala kwa sababu sio wewe ulioanzisha,nahisi utakuwa na wewe wamekupigaOkey ngoja nifunge mjadala maana.
Mradi wa Mrkuku ni Biashara kama zingine yenye Model iliyoleta utata kwa watanzania wengi.
Kesi kubwa ya mradi ni utakatishaji fedha tu ndio maana nimepingana na mlengwa wa wasioumiza kichwa kuMisread kuwa ishu ni kuwapiga raia(kutapeli) ukipigia muda ambao mradi ume oparate miaka mitatu ukichukua Billion 17 kugawanya na siku za miaka mitatu sawasawa na kisema tangu mradi uwanze kuna ratio ya kilasiku wawekezaji walikuwa wanaweka Million 16 kitu ambacho ni ngumu hapa ndio inakuja dhana ya utakatishaji fedha.
Kuna fedha nyingi ambazo zimefukiwa kwa kivuri cha Mrkuku.
Vyovyote utavyo tathmini flow ya mzunguko wa iwekezaji na return haiwezekani still utapata faida ya return yako kesi iliyopo kizimbani ni tofauti na watu wanayoikazia macho huku jukwaani (kupiga raia).
Bado Mrkuku mtuhumiwa sio mfungwa still not corfimed all.
Thenbjifunze kutofautisha mjadala na uzi.Ok shida unajichanganya Sana hivyo ni ngumu kuelewa,kiufupi hueleweki,hatuwezi kufunga mjadala kwa sababu sio wewe ulioanzisha,nahisi utakuwa na wewe wamekupiga
Sure man, namtafuta Maxence Melo anipe access ya kulike hii comment twiceHizi zama mtu ukipigwa umeamua mwenyewe. Ufahamu wa watu upo juu na sehemu za kuuliza na kujibiwa papo hapo ni nyingi pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namjua kwa karibu sio hadithi hadithi.. hebu leta hiyo pichaUnamwamini Ontario?? Mtu aliyeweka nyumba ya wazazi wa rafiki yangu kwenye mitandao huko na kuaminisha watu eti nyumba hiyo kawajengea wazazi wake..
Huyo nae ni tapeli kama wengine tu..