Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

Alikufanya nn ? mbona mtu poa sana ? hebu jaribu kua na mtu karibu umjue mwenyewe na sio kuambiwa na watu
Boy naona umekula kilo kule nitoe hata 10 basi tuishi aisee.
 
Huyu jamaa alikua anakodisha fremu maeneo mbali mbali na kuweka chata za “Mr Kuku”. Ila hata siku moja sijawahi kukuta fremu zipo wazi.
 
Mjini pesa ipo nyingi sana kwenye mifuko ya wajinga sema tu hatujajua jinsi ya kuzibeba na kutokomeza umaskini, saivi Ontario twitter anatoa laki laki subili bomu litakalo pigwa hamtoamini zaidi ya M500

Yule chalii ana akili sana. Kaona Twitter kuna new targets🤣🤣
 
Mk

Mkuu naomba ujibu swali hili.

Huo upatu alikuwa ana Opearate vipi na yeye alikiwa anapataje faida.

Nipe maelezo kimfano wa figure za fedha.
Nianze na la UPATU

SCENARIO ONE ;

Upatu una operate hivi.... Tufanye mwezi January alikusanya milioni 200 hawa watu watahitaji kulipwa mwezi wa nne/tano kulinga na tarehe walizowekeza.

Maana yake

Faida = 70% ya 200m ni 140m...faida milioni 140

UWEKEZAJI 200m

Jumla itabidi awalipe milioni 340.

Hela ya kuwalipa hawa wawekezaji ni michango mipya iliyokusanywa kati ya February na May.

Kwanini MICHANGO MIPYA

SABABU KUU JAMAA ALIKUWA ANAWEKEZA SO HELA YA WAWEKEZAJI WALIYOLIPWA UNAKUTA HAIJA MATERIALIZE KUTOA FAIDA.....

UNANUNUA KIWANJA
UNAJENGA MABANDA
UNAJENGA KIWANDA CHA CHAKULA
UNAFUNGUA OFISI
UNANUNUA MEANS OF TRANSPORT...

HIYO HELA HAIRUDI.

SCENARIO TWO

Je mbona mr kuku alikuwa anafuga kuku na wawekezaji walioneshwa mabanda?

Swali hili linatupa scenario ya pili, kwasababu faida ya kuku haiwezi kuwa 70% miezi 4 na mradi una risk mbali mbali.

Assumptions

Alipochukua 200m alifanya biashara akapata faida (Sijasema kuku hawama faida, wana faida ndio maana NAFUGA) Tufanye alipate bei gani[emoji28]

Fanya hiyo assuming ya faida (....) Kwasababu nimeonesha pale juu kuwa huwezi kupata 70% miezi 4 basi kitakachopelea anajazia michango mipya.

Akipata faida 50% anakuwa na 100m + initial investment 200m inakuwa 300m ana deficit ya 40m anajazia michango mipya.
 
Jamaa unachekesha Business model like biashara ndio inaenda kufanyika...unachofanya wewe unachambua idea na mchakato mzima wa biashara ambao uchambuzi huo uliitajika uufanye kabla ya biashara ijaanza kuOperate sasa biashara isha Operate miaka minne hizo calculation zanini huu muda wa kuView je Model iliwapa watu kama ilivyosema au hapana.

Sasa unafanya uchambuzi aiseee maisha hayaa.
Hivi una akili timamu kweli?? Sasa kama miaka minne yote kungekuwa hakuna tatizo angekamatwa na kufikishwa mahakamani??

Kweli wajinga mpo wengi sana Tanzania, yule Ontario tuliwaambia humu mtaibiwa mkashupaza shingo, mwishowe akatokomea na pesa zenu na nyie mkabaki kuja kutujazia nyuzi humu..
 
Jamaa inabidi uwe critical kuview jambo.

Suala lipo hivi umeitwa UPATU kwasababu biashara haina leseni mzee mbali na hapo isingeitwa upatu...upatu unaouzungumzia wewe humu na wao wanavyomaanisha hapo ni vitu viwili tofauti.

[emoji818]Wao wanaita upatu kwamaana biashara ilihusu kuchangisha watu, wameita haramu kwa maana ya leseni hakuna.

[emoji818]wewe unasema upatu kwamaana yako ambayo eti watu wakichanga wanalipwa na wataochanga mbele.

Umeona tofauti kwahiyo elewa hoja tunazokupinga hapa jukwaani.
Pia anadaiwa kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukubali na kukusanya fedha kutoka kwa umma, akijifanya kwamba watafanya ujasiliamali wa ufugaji wa kuku na wangepata faida ya asilimia 70 ya mtaji wa awali waliowekeza kwa miezi minne na asilimia 90 ya mtaji wa awali waliowekeza kwa kipindi cha miezi sita, kiasi ambacho ni kikubwa katika biashara kuliko mtaji uliokusanywa.

[emoji115]Nimejadiliana na ww kwa muda naona kuna kitu hukioni bado kwenye hii ishu, na uelewa wa jumla wa biashara.

Naweka akiba ya maneno niliyosema yanatosha mkuu[emoji120]
 
Nilijaribu kukupa interval ili tusichanganyane basi wanalipa kilasiku still utahitaji kuwalipa kilasiku kwa double je double money unaitoa wapi namba makinika na mzizi hoja kuu.
Anapokea kila siku lakini analipa double baada ya miezi sita,kwa mtiriko huo kutakuwa na watu kila siku wanaweka na wengine wanachukua au wanareinvest,kama rate ya wanaoweka ni kubwa kuliko wanaochukua kitu ambacho ni very likely kwa sababu watu wanavutiwa na returns na matangazo pamoja na income inayotokana na mauzo ya kuku,then collapse ingechukua muda lakin lazima itokee
 
Nianze na la UPATU

SCENARIO ONE ;

Upatu una operate hivi.... Tufanye mwezi January alikusanya milioni 200 hawa watu watahitaji kulipwa mwezi wa nne/tano kulinga na tarehe walizowekeza.

Maana yake

Faida = 70% ya 200m ni 140m...faida milioni 140

UWEKEZAJI 200m

Jumla itabidi awalipe milioni 340.

Hela ya kuwalipa hawa wawekezaji ni michango mipya iliyokusanywa kati ya February na May.

Kwanini MICHANGO MIPYA

SABABU KUU JAMAA ALIKUWA ANAWEKEZA SO HELA YA WAWEKEZAJI WALIYOLIPWA UNAKUTA HAIJA MATERIALIZE KUTOA FAIDA.....

UNANUNUA KIWANJA
UNAJENGA MABANDA
UNAJENGA KIWANDA CHA CHAKULA
UNAFUNGUA OFISI
UNANUNUA MEANS OF TRANSPORT...

HIYO HELA HAIRUDI.

SCENARIO TWO

Je mbona mr kuku alikuwa anafuga kuku na wawekezaji walioneshwa mabanda?

Swali hili linatupa scenario ya pili, kwasababu faida ya kuku haiwezi kuwa 70% miezi 4 na mradi una risk mbali mbali.

Assumptions

Alipochukua 200m alifanya biashara akapata faida (Sijasema kuku hawama faida, wana faida ndio maana NAFUGA) Tufanye alipate bei gani[emoji28]

Fanya hiyo assuming ya faida (....) Kwasababu nimeonesha pale juu kuwa huwezi kupata 70% miezi 4 basi kitakachopelea anajazia michango mipya.

Akipata faida 50% anakuwa na 100m + initial investment 200m inakuwa 300m ana deficit ya 40m anajazia michango mipya.
Mkuu hujajibu sawali au muongozo liokupa ulianza vizuri pale ulivyoendelea ni rapcha tu.

Ni hivi nielezee mlolongo mzima wa alivyokuwa anafanya hizo pesa alivyokuwa nazungusha uoneshe vipi ana generate pesa yake huku still akiwapa wawekezaji...ueleze ukionesha na figure za fedha hata za mifano.
 
Alikufanya nn ? mbona mtu poa sana ? hebu jaribu kua na mtu karibu umjue mwenyewe na sio kuambiwa na watu
Unamwamini Ontario?? Mtu aliyeweka nyumba ya wazazi wa rafiki yangu kwenye mitandao huko na kuaminisha watu eti nyumba hiyo kawajengea wazazi wake..

Huyo nae ni tapeli kama wengine tu..
 
Nianze na la UPATU

SCENARIO ONE ;

Upatu una operate hivi.... Tufanye mwezi January alikusanya milioni 200 hawa watu watahitaji kulipwa mwezi wa nne/tano kulinga na tarehe walizowekeza.

Maana yake

Faida = 70% ya 200m ni 140m...faida milioni 140

UWEKEZAJI 200m

Jumla itabidi awalipe milioni 340.

Hela ya kuwalipa hawa wawekezaji ni michango mipya iliyokusanywa kati ya February na May.

Kwanini MICHANGO MIPYA

SABABU KUU JAMAA ALIKUWA ANAWEKEZA SO HELA YA WAWEKEZAJI WALIYOLIPWA UNAKUTA HAIJA MATERIALIZE KUTOA FAIDA.....

UNANUNUA KIWANJA
UNAJENGA MABANDA
UNAJENGA KIWANDA CHA CHAKULA
UNAFUNGUA OFISI
UNANUNUA MEANS OF TRANSPORT...

HIYO HELA HAIRUDI.

SCENARIO TWO

Je mbona mr kuku alikuwa anafuga kuku na wawekezaji walioneshwa mabanda?

Swali hili linatupa scenario ya pili, kwasababu faida ya kuku haiwezi kuwa 70% miezi 4 na mradi una risk mbali mbali.

Assumptions

Alipochukua 200m alifanya biashara akapata faida (Sijasema kuku hawama faida, wana faida ndio maana NAFUGA) Tufanye alipate bei gani[emoji28]

Fanya hiyo assuming ya faida (....) Kwasababu nimeonesha pale juu kuwa huwezi kupata 70% miezi 4 basi kitakachopelea anajazia michango mipya.

Akipata faida 50% anakuwa na 100m + initial investment 200m inakuwa 300m ana deficit ya 40m anajazia michango mipya.
Mkuu hujajibu sawali au muongozo liokupa ulianza vizuri pale ulivyoendelea ni rapcha tu.

Ni hivi nielezee mlolongo mzima wa alivyokuwa anafanya hizo pesa alivyokuwa nazungusha uoneshe vipi ana generate pesa yake huku still akiwapa wawekezaji...ueleze ukionesha na figure za fedha hata za mifano.
 
Hivi una akili timamu kweli?? Sasa kama miaka minne yote kungekuwa hakuna tatizo angekamatwa na kufikishwa mahakamani??

Kweli wajinga mpo wengi sana Tanzania, yule Ontario tuliwaambia humu mtaibiwa mkashupaza shingo, mwishowe akatokomea na pesa zenu na nyie mkabaki kuja kutujazia nyuzi humu..
Fua bambino wewe kuzi sio level zako huu mdahalo.
 
Mkuu hujajibu sawali au muongozo liokupa ulianza vizuri pale ulivyoendelea ni rapcha tu.

Ni hivi nielezee mlolongo mzima wa alivyokuwa anafanya hizo pesa alivyokuwa nazungusha uoneshe vipi ana generate pesa yake huku still akiwapa wawekezaji...ueleze ukionesha na figure za fedha hata za mifano.
Imetosha mkuu wachangiaji wengine wataendelea nilipoishia au palipopelea [emoji120]

Kesi itasomwa August 24 Tukiendelea kufuatilia tutajua mengi.

Asante.
 
Huyo ni mpuuzi mkuu, unapoteza muda wako tu.

Yawezekana pia ni mchepuko wa huyo tapeli..
 
Anapokea kila siku lakini analipa double baada ya miezi sita,kwa mtiriko huo kutakuwa na watu kila siku wanaweka na wengine wanachukua au wanareinvest,kama rate ya wanaoweka ni kubwa kuliko wanaochukua kitu ambacho ni very likely kwa sababu watu wanavutiwa na returns na matangazo pamoja na income inayotokana na mauzo ya kuku,then collapse ingechukua muda lakin lazima itokee
Okey ngoja nifunge mjadala maana.

Mradi wa Mrkuku ni Biashara kama zingine yenye Model iliyoleta utata kwa watanzania wengi.

Kesi kubwa ya mradi ni utakatishaji fedha tu ndio maana nimepingana na mlengwa wa wasioumiza kichwa kuMisread kuwa ishu ni kuwapiga raia(kutapeli) ukipigia muda ambao mradi ume oparate miaka mitatu ukichukua Billion 17 kugawanya na siku za miaka mitatu sawasawa na kisema tangu mradi uwanze kuna ratio ya kilasiku wawekezaji walikuwa wanaweka Million 16 kitu ambacho ni ngumu hapa ndio inakuja dhana ya utakatishaji fedha.

Kuna fedha nyingi ambazo zimefukiwa kwa kivuri cha Mrkuku.

Vyovyote utavyo tathmini flow ya mzunguko wa iwekezaji na return haiwezekani still utapata faida ya return yako kesi iliyopo kizimbani ni tofauti na watu wanayoikazia macho huku jukwaani (kupiga raia).

Bado Mrkuku mtuhumiwa sio mfungwa still not corfimed all.
 
Ok shida unajichanganya Sana hivyo ni ngumu kuelewa,kiufupi hueleweki,hatuwezi kufunga mjadala kwa sababu sio wewe ulioanzisha,nahisi utakuwa na wewe wamekupiga
 
Ila kiuhalisia na kwa umri alionao binafsi namchukulia kama kijana mpambanaji na mwenye uthubutu.Kijana tumia mbinu yoyote utoboe!.Huyu hata akianguka nina imani atainuka tena.Kudos!
 
Unamwamini Ontario?? Mtu aliyeweka nyumba ya wazazi wa rafiki yangu kwenye mitandao huko na kuaminisha watu eti nyumba hiyo kawajengea wazazi wake..

Huyo nae ni tapeli kama wengine tu..
Namjua kwa karibu sio hadithi hadithi.. hebu leta hiyo picha
 
Back
Top Bottom