Fahamu zaidi kuhusu ndoto na ufahamu

Mi naamini kabisa kuna creator sipo kama kina min me😁 ila naamini hayupo kama vitabu vya dini vinavyosema
 
Ndoto zinanguvu sana kwakweli Mimi niliwai kuota nipo stendi ya daladala mkuyuni mwanza ghafla ukavuma upeo mkali kinoma noma yaani ulidumu kama Kwa dakika 10-15 ulipeperusha vitu uo yaani ilikuwa ni vurugu sio poa nikaona nilale chini mpaka hali ilipotulia asee hiyo ndoto iliniogopesha na ilikuja kutoa matokeo ambayo mpaka Leo ndoto sizichukulii poa kabisa 🙄
 
Ila mkuu sio kila ambacho akili haikubali basi ukione kama ni uongo, lakini hata huko kwenye sayansi mambo hayapo kama tunavyodhani kwa maana hata huko kuna mambo tunadanganya kwa kusingizia ni sayansi ila sivyo.
 
LAKINI viumbe Hawa wanagawanyika pia,wapi wanafanya kazi mwilini kabisa na wanaweza kukuendesha kama roboti.HASA WALE WANAOTOKANA NA ASILI KABISA.
 
Sawa mkuu lakini kwa maono yangu hadithi nyingi za kwenye dini zinakataana pakubwa na akili ukilinganisha na za kwenye sayansi.
Ila mkuu sio kila ambacho akili haikubali basi ukione kama ni uongo, lakini hata huko kwenye sayansi mambo hayapo kama tunavyodhani kwa maana hata huko kuna mambo tunadanganya kwa kusingizia ni sayansi ila sivyo.
 
Sawa mkuu lakini kwa maono yangu hadithi nyingi za kwenye dini zinakataana pakubwa na akili ukilinganisha na za kwenye sayansi.
Jambo kuingia akilini au kutokuingia akilini sio kipimo cha kujua ukweli wa jambo, Haujafuatilia tu huko kwenye mambo yenye kuhusishwa sayansi ila kuna mengi tu ambayo yanaelezeka vizuri na yanaingia akilini ila ukifuatilia zaidi unakuta ni mambo yenye kupingana na misingi ya sayansi kabisa kwa maana si mambo ya kweli.
 
Sawa.
 
Sawa mkuu lakini kwa maono yangu hadithi nyingi za kwenye dini zinakataana pakubwa na akili ukilinganisha na za kwenye sayansi.
Sayansi Ina ubinafsi wa kuchukua Kila kitu na kukifanya chake,Na Kwa sababu ni zao la WAZUNGU tabia yao haijifichi.Na wakishapora kitu kisayansi hukimiliki na kukiweka KATIKA muonekano wao
 
Ukisoma biblia, kuna aya kadhaa zinaelezea neno moyo in that way, na imekuwa ikinifikirisha kwanini waandike neno moyo kwenye kitu au namna ya consciousness wakati moyo najua (in physical form) kuwa unasuka damu?

🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

now umenifanya niendeelees kufikiria kea undani📝 zaidi.
 
heheheee, huku sitaki kuenda zaidi, maana nahofia kuwa nitapotea, ila umejibu vizuri na kwa ufupi sana...
 
so, from that view, kuna dimensions ngapi?

why some of us wanaweza kuwaona?
na kama wenyewe pia wanaishiu kwenye time, kwanini time yao ni tofauti na yetu?
 
so, from that view, kuna dimensions ngapi?

why some of us wanaweza kuwaona?
na kama wenyewe pia wanaishiu kwenye time, kwanini time yao ni tofauti na yetu?
Kutokana na string theory inasemekana kuna dimension Kumi na moja

Wanaweza kutuona kutokana na dimension husika, mfano sisi tupo kwenye 3D ambayo tuna access urefu, upana na kina hivyo tunaweza kuona vitu kwa mfumo huo ila 2D wao wana acess urefu na upana, mfano sisi macho yetu yanaangalia kwa 2D ila ubongo una percive kwa 3D, mfano ukifungwa kwenye boksi ukiambiwa utoke sisi tuna option ya kupanda juu ya boksi na kutoka ila wa 2D yeye hawezi kutoka mpaka mlango ufunguliwe, sasa Kuanzia 4 dimension wao wana advntage ya time ndio yeye anaweza kwenda muda ambao hajawekwa kwenye boksi
 
asante, so, unadhani kuwa kama tukiwa na vifaa au namna ya kuweza kutumia nishati zilizopo tunaweza kwenda mbele na nyuma ya muda, au kuuchezea muda? (manipulate time)
 
asante, so, unadhani kuwa kama tukiwa na vifaa au namna ya kuweza kutumia nishati zilizopo tunaweza kwenda mbele na nyuma ya muda, au kuuchezea muda? (manipulate time)
Nahisi tukipata free energy, tukiwa na uwezo wa kuzalisha nishati nyingi zaidi ya tunayotumia huenda tukaweza kutengeneza vifaa vya ku time travel, ila wanasema inawezekana sana kwenda future na sio past
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…