Fahamu zaidi kuhusu ndoto na ufahamu

Nishaota nakula kuku halafu kama kweli hivi nimekula nilivoamka yaani unaota mpaka harufu halisi ya kuku


Nishaota Niko upande wa hamas napambana na Israel ukicheki Yale maeneo ya mapambano NI kama kweli yapo na mtu akipigwa risasi kweli anakufa yaani kama movie NI zaidi ya hata actual movie



Nyingine ni Kuota unacheka mpira na kweli kama kuna pasi nzuri unazipata na pasi mbovu unazikosa
 
Hilo ni wazi kabisa walio na karama kubwa huviona vitu hivi wazi wazi.
Nikifika kwenye Hali hii Huwa najiachilia wakati mwingine

Ile Hali ikinishinda Huwa najikuta nimeamka ,naweza pita popote, natoka nje ya nyumba bila kufungua mlango, nikitembea hatua Moja nakuwa kama naruka, nakuwa na UWEZO WA kupaa, kama Kuna kitu Cha ajabu nje nitakiona ,

Kuna siku nilisali usiku wa manane baada ya kuwa na Hali ambayo sikuelewa, baada ya Sala nililala na kupata hiyo Hali, nilitoka nje rohoni, niliona watu ninaowafahamu na vitu vingi vya ajabu just a single night

Inapotokea Nakuwa na hofu kuu, sidhani kama ni karama coz hutokea nje ya UWEZO WA MTU husika , unajaribu kudhibiti saa nyingine unashindwa
 
Mimi sio mtu wa dini sana, ila nahisi hyo unayopitia inakuwa kama Astra projection na hyo hali mali nyingi unaweza kuicontrol hivyo kama unashindwa basi ni tatizo la psychological, ila kama jibu la kiimani watakwambia kuna kitu nafsi yako inataka kukuonyesha nalo pia ni kweli
 
True! 😊
 
Ndio karama hizo ila si vizuri kuelezea siri zako hizi kwenye majukwaa kama haya.dunia ni Panasonic na iliyojaa tamaa.
 
Unamwaga mboga mkuu….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…