Fahamu zaidi kuhusu tatizo la minyoo sugu na tiba yake

Enterobius vermicularis ndio anasababisha mtekenyo kwenye anus(pruritus ani)
 
Habarini wanaJF.

Binti yangu mwenye umri wa miaka miwili ameonekana na minyoo aina ya Ascaris na Hookworm wengi.

Naomba ushauri wa dawa inayofaa.
 
Ustaarabu ni kitu cha bure! Unakuta mtu anamjok mtupia uzi utazani yy kajikamilisha. Kesho yy anatupia uzi anaomba ushauri tena hawohawo anaowajok. Hii ni kukosa ufahamu na kumbukumbu.
 
Mhhh huu uzi ni Majanga! Jaribu kwenda pharmacy ukaongee na pharmasist atakupa ushauri zaidi
 
Mbegu za mpapai zinafaa sana.zisage anywe kama juisi.unaweza weka asali kupunguza ukali. Saga za kutosha kijiko kimoja kikubwa.Anywe Mara tatu kwa siku saba.
 

mdau chukua utomvu wa mpapai changanya na asali utumie.
na uwe na tabia ya kuamka asubuhi kabla haujala chochite tafuna jani bichi la mpapai.afu unakaa kidogo ndo unakula.
moja ya vitu minyoo hukerwa navyo ni taste ya majani na utomvu wa mpapai.
 

PM nitakuelekeza
 
Watu hatuna uungwana kabisa. Mwenzetu Matola ameomba tumsaidie kumpa jina la dawa ya minyoo sugu. Wengine tunaleta mzaha na matusi. Mkuu Matola uwe na mazoea ya kutafuna kitunguu saumu au kama si wewe mwelekeze huyo ndugu awe anatafuna kitunguu saumu ila kwa angalizo kuwa asiwe na low blood pressure kwa kuwa kitunguu swaumu kinashusha presha ( ni dawa asili ya presha). Ila pia kwa wajawazito ni marufuku kula kitunguu swaumu kinaharibu Mimba hasa zile changa. Kwa mimba komavu pia haishauriwi kula kitunguu swaumu kwa kuwa ni kikali sana na athari zitaharibu mapigo ya moyo ya mtoto.

Kuna waliokushauri dawa hapa mwambie mhusika atumie ila kwa mwongozo wa Dr kwa kua kama minyoo ni mingi na sugu unatakiwa upate dose kwa say siku tatu mfulilizo au after every three weeks kwa muda atakaokuandikia Daktari.

Angalizo: Minyoo inatokana na kuingizi katika mwili chakula au kinywaji contaminated na minyoo hivyo ni kuwa makini na tuiongizavyo mdomoni. Pia kama umefuga wanyama kama nguruwe, ng'ombe, mbwa na paka kama wana minyoo ukikanyaga kinyesi chao ni lazima upate minyooo. Na minyoo kama ya nguruwe ni mibaya sana. Hivyo ukiwa na wanyama ni lazima ufanye worms routine (kila miezi mitatu).
 
Last edited by a moderator:

Vipi bandugu bado wasumbuliwa
 

Vipi kijana minyoo bado nasumbua jambio lako?
 
Kuna dawa inaitwa Zentel kidonge ni 5000/= unatumia kimoja au zaidi inategemea na ukubwa wa tatizo but kimoja ni dose na ndio komoni.

Zentel inauwezo wakukomaa na minyoo wanaojificha kwenye utumbo mdogo waitwao Ascaris lumbricoids. Hizi dawa hospital nyingi hawatoi nadhani nikutokana na gharama labda hospital kubwa na uwe na bima.

Dawa hizi zinapatikana maduka makubwa ya dawa (pharmacy)

Ukipewa hizo dawa zingatia sana maelekezo ya mtaalamu usije kuathiri dose.
 
Habari wanajf Nina tatizo la minyoo nilienda kupima nikaambiwa ni minyoo ya hookworms nikatumia dawa lakini bado tatizo la kuwashwa bado lipo.
Nikaja hapa nikaona Kuna tiba ya kitunguu swaumu nimeanza wiki ya pili sasa ila bado tatizo lipo.
Naombeni msaada ni dawa gani inaweza maliza hili tatizo:
 
Unawashwa nn hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…