Fahamu zaidi kuhusu tatizo la minyoo sugu na tiba yake

Fahamu zaidi kuhusu tatizo la minyoo sugu na tiba yake

Habari wanajf Nina tatizo la minyoo nilienda kupima nikaambiwa ni minyoo ya hookworms nikatumia dawa lakini bado tatizo la kuwashwa bado lipo.
Nikaja hapa nikaona Kuna tiba ya kitunguu swaumu nimeanza wiki ya pili sasa ila bado tatizo lipo.
Naombeni msaada ni dawa gani inaweza maliza hili tatizo:
Tumia dawa ya zentel kiboko only 2days, inaua minyoo aina zote, ni dawa ya maji imewekwa kwenye kichupa kidogo, inapatikana kwenye maduka ya dawa kwa sh. 5000, Matumizi yake unakunywa yote, asubuhi sana kabla hujala chochote, believe me hii dawa ni kiboko
 
Mbona mie Nilitumia ya kidonge lakini sijaona msaada
 
Mayai yake hutulia kwenye shuka na nguo za ndani,
Kwa hiyo kuwaondoa kabisa fua na upige pasi nguo hizo zote ulizogusana nazo pindi wamekushika
Daaaaahhhh Aiseeeeeeeee sawa mkuu,

ila kuna kitu kingine some time najihisi kama kuna vitu vinatembea/vinacheza kwenye Mbavu, tumboni na hata kiunoni mpaka miguuni. Hivi ni nini tatizo zaidi mkuu...?
 
Daaaaahhhh Aiseeeeeeeee sawa mkuu,

ila kuna kitu kingine some time najihisi kama kuna vitu vinatembea/vinacheza kwenye Mbavu, tumboni na hata kiunoni mpaka miguuni. Hivi ni nini tatizo zaidi mkuu...?
Unafanya Kazi gani? Unaishi Wapi kwa sasa?
 
Nyanya: Dawa kiboko ya minyoo

Minyoo ni wadudu hatari ambao huingia tumboni mwa binadamu na kusababisha matatizo kadhaa ya kiafya. Ukubwa wa minyoo tumboni hutofautiana, kuna minyoo yenye urefu wa kuanzia inchi sita hadi inchi 26, ikitegemea imekaa kwa muda gani tumboni...
Hyo ni kachumbari
 
Nyanya ninayotumia kutengeneza kachumbari ya kulia pilau sikuwahi kufikiri kama inatibu minyoo.
 
habari,,, Nina tatizo la kuwashwa sehem mbalimbali za mwili ikiwemo tumboni karbia na kitov, kwenye mapaja,, hadi katika uume pia na sehem nyingine nying nishazunguka hospital nkapewa dawa mbali mbali ikiwemo cetrizine lakin hakuna mabadiliko chanya, muwasho ndo unazid na mapele kuongezeka pale ninapowashwa,,,
naombeni msaada wenu ni dawa gani nitumie kwa maana hii hali inasababisha mpka nakosa vipindi kwa baadhi ya siku
 
Back
Top Bottom