Fahamu zaidi kuhusu Wachagga

Fahamu zaidi kuhusu Wachagga

georgeallen rudia kuisoma vizuri utaielewa hakuna alichobakisha
aliyeleta mada hakugusia kabisa vitu vingine muhimu kwa wachagga: kusogeza mipaka, kupenda "ela" (kukwiba), kukaa mbali na wake zao, urithi kwa wanaume tu, kisusio.
 
Last edited by a moderator:
Ok then! Hao wanawake wanaokucfia ts just they are hooking ua bucks buddy! They also want money. Pili cna cha kuniliza bse mie cio mchagga arifu.....i wanna know the facts only bse mengi yanapotoshwa kuhusu hawa watu.

Naona bado hujanielewa, mimi siwapi pesa bali nguvu zangu za kiume. Soma mistari tena usikurupuke tu kunijibu.
 
Sifa moja aliyosahau kuiandika mtoa mada ni..........
naona wadau mnasema nimesau kuandika hiki mara kile kuhusu wachagga.nilichokiandika sijakitunga mimi.nime-copy toka mtandao wa wikipedia na ku-paste hapa jamvini ndio maana nikaweka link chini ya thread kuonyesha source of information.kwa anaeteka kusahihisaha au kuongeza taarifa aingie katika mtandao wa wikipedia kuna option ya ku-edit.
 
Naona bado hujanielewa, mimi siwapi pesa bali nguvu zangu za kiume. Soma mistari tena usikurupuke tu kunijibu.
Endelea kuwapa hizo nguvu bse humu jamvini wapo and soon watahamia kwako wote.......then i will bet my neck.
 
Nadeclea interest "mamsapu wangu mchaga tena wa rombo mashati" ukoo kimario! Hanipi shida walasioni uchagga wake juu yahaya yasemwayo, labda wale wa chagga wa kale(enzi za mwalimu).
 
Nadeclea interest "mamsapu wangu mchaga tena wa rombo mashati" ukoo kimario! Hanipi shida walasioni uchagga wake juu yahaya yasemwayo, labda wale wa chagga wa kale(enzi za mwalimu).
Hongera arifu...... Mie ni mkikuyu na namiliki eneo rombo an ma yf to be ni mchagga thts nice....
 
Kilimanjaro-Moshi-Old Moshi ndio kwetu,Proud 2b chagga,,,Safi sana,,Na kwa taarifa yenu Tumesambaa dunia nzima Napost hii kitu nipo Rio de Janeiro Brazil.Na tuna kikundi chetu cha wachagga mpaka sasa tuna memba 38
 
Sioni umuhimu wake hata kidogo! Kwa zamani miaka ya 47 ilikuwa hivi ila siku hizi karibia kila kabila limesoma na wachagga wengi walisomeshwa na waseminari kwa bure enzi zile kwani wazazi wao walikuwa hawana uwezo na ni wafanyakazi wa seminari. Kwa hiyo wachagga walikuwa hawana budi kusoma.

kwa hiyo unataka kusema wakati wachaga wanafanya kazi kwenye seminari makabila mengine walikuwa wapi? wasukuma walikuwa wakivua samaki? haihusu wachaga siku zote ni watu wakuona mbali
 
kwa hiyo unataka kusema wakati wachaga wanafanya kazi kwenye seminari makabila mengine walikuwa wapi? wasukuma walikuwa wakivua samaki? haihusu wachaga siku zote ni watu wakuona mbali

Monyaiichi, sikia hizi habari za wachagga kuwa watu wa kuona mbali si za ukweli ila ni kasumba tu. Nakubaliana nawe to some extent kuwa wachagga wanapenda ku husstle, lakini I am telling you as I know si porojo wala nini...hakuna mtu asiyependa kuwa na pesa au amaisha mazuri. Watu wengi ni husstlers hapa bongo na ndiyo maana mpaka likazuka hili jina la wamachinga unafikiri ni kwa nini? wamachinga ni watu wa kusini, si ndiyo au nao ni wachagga kwa mtazamo wako?
 
Last edited by a moderator:
Mungu akunyime kila kitu lakini asikupe sura ya kichaga....yani ata iweje utabaki boya tu mbele ya wanyamwenga....sura ya kichaga!!!????aaaaarrrrgggghhh!!!
 
kwa vitega uchumi vilivyopo kweli mkoa huu unastahili kuitwa jiji

inawezekana hata leo, ila tuongeze bidii zaidi katika kazi na tusisahau kurudi kwetu mara kwa mara kuona sehemu ya kusaidia.(MBUYA YA MCHAGA) NA ITARAMO MBE!
 
Kwa hii ya tatu ni kwa sababu wanaume wengi wa kichagga hawajui mapenzi, hii wala si siri. Utakuta jamaa yupo na demu/mke wake kitandani huku anawaza akaibe wapi ama akihamka asubuhi afanye kitu gani huku demu/mke anawaza akajitongoze kwa nani ili afurahishe nafsi yake. Na nafikiri hii pia inachangia kina Wolper, Uwoya, Lulu, na visichana vingine vya kichagga hapa Bongo kuwa viruka njia,[/QUOTE

Mchango wako hauna uthibitisho. Ni dhana tupu.
 
Monyaiichi, sikia hizi habari za wachagga kuwa watu wa kuona mbali si za ukweli ila ni kasumba tu. Nakubaliana nawe to some extent kuwa wachagga wanapenda ku husstle, lakini I am telling you as I know si porojo wala nini...hakuna mtu asiyependa kuwa na pesa au amaisha mazuri. Watu wengi ni husstlers hapa bongo na ndiyo maana mpaka likazuka hili jina la wamachinga unafikiri ni kwa nini? wamachinga ni watu wa kusini, si ndiyo au nao ni wachagga kwa mtazamo wako?

Mkereketwa_Huyu, Wachaga hawapo walipo kwasababu ya bahati tu. Kuna usemi unasema bahati inatokea fursa zinapokutana na maandalizi. Fursa nyingi zinawapita watu na wanaziangalia tu, kwa kuto kujua kwamba ni fursa au kwa uoga wa kujaribu. Wachaga wengi wana roho ya kuthubutu.
Tatizo la ardhi ni moja ya sababu iliyowapelekea wachaga wengi kuhamia mijii ni kufanya kazi kwa kutumia elimu yao, na pia kufanya biashara. Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo. Na kwa mila za kichaga mzazi anawagawia watoto wake shamba linaloitwa kiamba, watoto nao wanawagawia watoto wanaowazaa, kwahiyo ardhi inaenda ikipungua jinsi vizazi vinavyoongezeka na kunakuwa hakuna tena mashamba ya kilimo kama zamani. hiyo imelazimisha wachaga wengi sana kuondoka kule vijijini na kwenda mjini kutafuta shughuli mbadala. Hiyo ndio iliyowafanya waonekane Hustlers.
Sasa na kale kaelimu kadogo kanakopatikana kwenye vishule vyao kanawasaidia.
Hili ni kabila maarufu katika kufanya biashara, Kuna wafanya biashara wakubwa na wadogo.
 
mleta mada kuna kitu amesahau."kwanini wachaga wengi sura zao zimefafana?yaani ukimwaona sura tu, utajua huyu ametokea moshi,why?
Unazungumzia "uniqueness"?
Siyo mbaya kabisa, hata Mmasai unamjuwa, so as mgogo etc, shida ikwapi?
Na si kila mtu/mchagga, ametokea Moshi **** wewe!
 
Ok then! Hao wanawake wanaokucfia ts just they are hooking ua bucks buddy! They also want money. Pili cna cha kuniliza bse mie cio mchagga arifu.....i wanna know the facts only bse mengi yanapotoshwa kuhusu hawa watu.

Huyo anachuki na wachaga achana naye. Anataka kutuaminisha kwamba kabila zima la wachaga hawajui kufanya ngono. What is so special?
 
Wengi wao ni waizi/majambazi.

Dhana hii imepitwa na wakati! Kwasababu Tanzania leo hii iko kwenye wimbi kubwa la Ufisadi na wizi wa kupindukia, na ujambazi unofanyika na wizi huu unafanywa na makabila tofauti na mchanganyiko.
 
Back
Top Bottom