Fahari ya mwanaume

Unadhani Wanaume wote wako kama hao unaojiokotea mitaani. Nyani mwenzake Nyani na Kamwe Simba hawezi kuongozana na Pundamilia!!!...
 

thanx tuendelee kuombeana tupo tulobakia tatizo watu tunajisahau na tumekuwa wakuambatana na ukuaji wa technology ila tukijitambua na kufuaata tamaduni,maadii, na vitabu vya dini tutafika salama.mbona babu na bib zetu waliishi maisha ya upendo na uheshimiana hadi kufa??
mwanamke ataakuwa chini ya mwanaume kwa maana tumetoka ubavuni mwenu lazima mtuongoze..wanaume wakijijua na kuchukua maamuzi yaliyo sahihi kwa kujua yye ndo kiongozi na akapata mke wa kumpa suport na kumheshimu wanaishi maisha ya upendo..kuna ndoa ya jiran yetu wna 10yrs jamani wanaish kwa upendo hadi nasi tunatamani kuolewa
 

we binti ni muongo,na ukiwa muongo uwe na sifa ya kutosahau,ulichokiandika hapa na vitu ulivyowah kuandka huko nyuma kwenye post yako ya wanaume majanga ni tofauti..

Ngoja nimalizie hvi vitumbua vyangu na supu ya mbuz mixer kichuri nakuja.
 



..mmmh!!! hapana we ICHANA si mtu wa kawaida ati, ufahamu ulionao asili yake si ulimwengu huu ni kaka angu Yesu pekee awezaye kumfanya binti/mdada akatamka yale uliandika hapo juu,hii hapa " mwanamke ataakuwa chini ya mwanaume kwa maana tumetoka ubavuni mwenu lazima mtuongoze." nimeipenda aisee..usijari utaolewa tu.
 
 

Sina TATIZO LOLOTE! I JUST SEE THINGS THE WAY THEY ARE!!! Wanaoaminigi FAIRY TALE NDO WANALIAGA. BINADAMU KAMA BINADAMU HATA NDUGU YAKO HAAMINIKI ASILANI WHAT MAKES YOUR PATNER SPECIAL!!!!!!!!!!?

Mtu ana hela unamshauri JENGA NYMBA YAKO WEWE KAMA WEWE, BISHIIIIIII! NAJENGA NA HUBBY! Mara hubby ana mitoto ya NJE kibao! Mwisho aktangulia nyumba inauzwa wanagawana watoto wote na mke mtu anabakia kupanga. Wakati kwene nyumba hio kaweka 80% Kumuamini BINADAMU NI KAMARI!!!!!!!!
 

wazungu are VERY HONEST PEOPLE!!!!!!!!!!!!!!!! Waswahili are very HOPEFULL people. Kama hamtaki kbadilika asi ENDELEENI KUISHI KWA MATUMANI. Mtu unakuta analetewa watoto 4 nje, bado anatumaini mambo ya tabadilia.MAYBE MAYBE NOT BUT THE KIDS WILL ALWAYS BE THERE AS A REMINDER!!!!!!!!!!!
HOPE IS A VERY TRICKY FEELING.
 
Lizzy Umenivutia...umesema vizuri sana!

Copied naenda kui-paste where my 2nd half ataiona hata kwa bahati mbaya he he he!
 
Last edited by a moderator:
Lizzy huyu kapevuka kweli asee sio yule wa june 2011 kurudi nyuma...Be blessed mdada na pia nafurahi kukuona hapa
 

Aisee naanza kuwekeza kuanzia sasa ! We unaonekana utakuwa mke bora
 
 

Nimekupenda bure kwa jinsi ulivyo na upeo wa kupambanua mambo...
Stay blessed!
 

Ni kweli kabisa.
Kama hawaamini hebu wajaribu waone kama hakutakuwa na mabadiliko hapo kwa nyumba.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy huyu kapevuka kweli asee sio yule wa june 2011 kurudi nyuma...Be blessed mdada na pia nafurahi kukuona hapa

Hehehehehe asante Kyalow , nimekua sasa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…