Fahari ya mwanaume

Fahari ya mwanaume

WANAUME HAWANA SHUKRANI! SHUKRAI YAO YA KWAPA, HATA UKIOGA ULIPULIZE PAFYUMU, UPAKE DEODORANT NA BODY SPRAY LIPE DAKIKA 3 TU LIMEFUMU!!!!!!!!!!!! Hawabbeki kama zigo la miba!

Mimi kuna mwnaume mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi zamani, saivi hana kazi, hana biashara, yupo u mjini anafugwa na mkewe (alitumia akili kuoa mambo safi). Kula, kulala. Sasa kukutana ananidai mzigo niliomzingua 3 yrs back, anadai twende Zenji kujipumzisha hapo bank card ya mkewe ndo itatumika! Nikamwambia mimi nipo Kwaresma sina mda mchafu wa kuzini kwa mkopo.

Shukrani ya WANAUME tuulize sie ndo tunaiona ona walau kidogo ila wenye mali zao mmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!

GIRLS JUST LIVE YOUR LIFE AND MAKE YOURSELVES HAPPY! Ukiingoja fahari ya mwanaume UTASUBIRI SANAAAAAAAAAAA! Miaka 10000000000000000000 na usiione. Labda akikupiga Free........ ndo anaona fahari yako baaaaaaaaaaaaaaaaasss!. (Perdon my lack of manners and STATING THE OBVIOUS!!!!!!! Calling a SPADE what it actually is A SPADE )
Unadhani Wanaume wote wako kama hao unaojiokotea mitaani. Nyani mwenzake Nyani na Kamwe Simba hawezi kuongozana na Pundamilia!!!...
 
..mmmwaaaaaa kwa shavu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, nimekuingiza kwenye rekodi yangu ya wanawake wenye UELEWA,MAARIFA, HEKIMA na KIWANGO CHA JUU CHA USTAARABU..Mungu na akusaidie ukaishi katika utoshelevu wote wa furaha ya kweli ndani ya mahusiano na ndoa..kula big LIKE napenda sana kuona watu kama wewe na dada Lizzy, kumbe bado mpo jamani nalidhani kizazi chenu kilipotea tangu miaka ya 450 B.C ..

thanx tuendelee kuombeana tupo tulobakia tatizo watu tunajisahau na tumekuwa wakuambatana na ukuaji wa technology ila tukijitambua na kufuaata tamaduni,maadii, na vitabu vya dini tutafika salama.mbona babu na bib zetu waliishi maisha ya upendo na uheshimiana hadi kufa??
mwanamke ataakuwa chini ya mwanaume kwa maana tumetoka ubavuni mwenu lazima mtuongoze..wanaume wakijijua na kuchukua maamuzi yaliyo sahihi kwa kujua yye ndo kiongozi na akapata mke wa kumpa suport na kumheshimu wanaishi maisha ya upendo..kuna ndoa ya jiran yetu wna 10yrs jamani wanaish kwa upendo hadi nasi tunatamani kuolewa
 
Hahahaaaaaaaa! EXPOSURE!!!!!!!!!!!!! Ipi labda ambayo sina? Mimi mthomi tena nimesoma shule za bei chafu kwa enzi hizo, wazazi wangu alhamdulilah wana PROFESSION zao, ndugu zangu MASHALLAH wameiona dunia na wanajiweza sanaa tu! Na mimi mwenyewe si haba I HAVE DATED SOME HIGHLY SUCCESSFUL MEN! THEY TOOK ME PLACES, Nimefanya kazi MULTINATIONAL COMPANIES na watu wa maana hadi EXPATRIATES!!!!!!!! Nimedhunguka dhunguka dunia kwa ndugu dhangu abroad, nimesoma higher learning institutions. SASA SIJUI EXPOSURE GANI UNAYOSEMEA???????????? LABD NIKO OVER EXPOSED!!!!!!! YOU DONT KNOW ME DUDE!!!!!!!!! DONT TALK OF SOMETHING YOU DONT HAVE A CLUE.

TRUST ME WEALTHY MEN ARE THE WORSTTTTTTTTTTTTTTTTT!!!!!!!! Bora hata wa uswazi kidogo wana utu!

we binti ni muongo,na ukiwa muongo uwe na sifa ya kutosahau,ulichokiandika hapa na vitu ulivyowah kuandka huko nyuma kwenye post yako ya wanaume majanga ni tofauti..

Ngoja nimalizie hvi vitumbua vyangu na supu ya mbuz mixer kichuri nakuja.
 
thanx tuendelee kuombeana tupo tulobakia tatizo watu tunajisahau na tumekuwa wakuambatana na ukuaji wa technology ila tukijitambua na kufuaata tamaduni,maadii, na vitabu vya dini tutafika salama.mbona babu na bib zetu waliishi maisha ya upendo na uheshimiana hadi kufa??
mwanamke ataakuwa chini ya mwanaume kwa maana tumetoka ubavuni mwenu lazima mtuongoze..wanaume wakijijua na kuchukua maamuzi yaliyo sahihi kwa kujua yye ndo kiongozi na akapata mke wa kumpa suport na kumheshimu wanaishi maisha ya upendo..kuna ndoa ya jiran yetu wna 10yrs jamani wanaish kwa upendo hadi nasi tunatamani kuolewa

..mmmh!!! hapana we ICHANA si mtu wa kawaida ati, ufahamu ulionao asili yake si ulimwengu huu ni kaka angu Yesu pekee awezaye kumfanya binti/mdada akatamka yale uliandika hapo juu,hii hapa " mwanamke ataakuwa chini ya mwanaume kwa maana tumetoka ubavuni mwenu lazima mtuongoze." nimeipenda aisee..usijari utaolewa tu.
 
Hahahaaaaaaaa! EXPOSURE!!!!!!!!!!!!! Ipi labda ambayo sina? Mimi mthomi tena nimesoma shule za bei chafu kwa enzi hizo, wazazi wangu alhamdulilah wana PROFESSION zao, ndugu zangu MASHALLAH wameiona dunia na wanajiweza sanaa tu! Na mimi mwenyewe si haba I HAVE DATED SOME HIGHLY SUCCESSFUL MEN! THEY TOOK ME PLACES, Nimefanya kazi MULTINATIONAL COMPANIES na watu wa maana hadi EXPATRIATES!!!!!!!! Nimedhunguka dhunguka dunia kwa ndugu dhangu abroad, nimesoma higher learning institutions. SASA SIJUI EXPOSURE GANI UNAYOSEMEA???????????? LABD NIKO OVER EXPOSED!!!!!!! YOU DONT KNOW ME DUDE!!!!!!!!! DONT TALK OF SOMETHING YOU DONT HAVE A CLUE.

TRUST ME WEALTHY MEN ARE THE WORSTTTTTTTTTTTTTTTTT!!!!!!!! Bora hata wa uswazi kidogo wana utu![/Q Ndo nlichokua naongea....embu soma coment zako na post zako they are similar in some facts kuhusu maisha...kuna NEGATIVITY unazoongea kuhusu maisha n u always talk about that over and over again(kwa njia tofauti)....na exposure nliongea sio ya shule, kuasafiri nchi mabli mabli au all that...ni exposure ya maisha tu kujua aina mabali mabali za maisha na mahusiano na maisha kwa ujumla(kujua kuna watu wanaishi maisha ya kupendana na yanapendana, kujua kuna wanawake wanawaheshimu wanaume na maisha yanaenda kujua kuna watu wana-hustle kutafuta hela kawaida na inawezekana and all that)...I know hatuwezi kulingana kuhusu ufahamu wetu wa maisha...ila kama unajua kitu flani au maisha flani it doen't mean hamna maisha mengine...

Koh! Koh! Koh! Doc You make me SPEECHLESS!!!!!!!!!!!!! so now SINA EXPOSURE YA MAISHA? Sababu naishi MARS au PLUTO! Sasa huko shule, makazini, familia, majirani kote SIONI MAISHA YAO SO SINA EXPOSURE!!!!!!!!!!!

Hahahaaaaaaaaa! DOC sijabisha hao watu HAWAPO! ILA WAMEPUNGUA SANAAAA WENGI NI WAKO 50'S na wanaelekea kuwa EXTINCT!!!!!!!!!!!

Come to think of it I TRY TO BELIEVE SO MYSELF!!!!!!!!!! But what i KEEP SEEING makes me a doubtful being. Nyingi SHOW OFF NA ILLUSIONS TU! Watu mbele za watu wanashana mikono, full mapendo, ukichunguza kundani baba ana watoto wa nje balaaaa! Hahahaaaaaaa!
 
Dada lara 1 una tatizo kubwa sana la kisaikolojia na hili limesababishwa na background ya mahusiano yako ya nyuma.na pengine hata marafiki zako walikuwa hivyo haya watu wanayoyaongelea ni kwako ni mbingu na ardhi havipatani.The future of our Destiny is in our hands sizani kama kuna siku uliwahi muhusisha Mungu katika suala la maisha ya mahusiano yako.Pengine Mungu hujibu maombi ya kipaumbele chako kwamba mwanaume pesa anakupa wenye pesa ila hawafanyi responsibility zote ambazo wanapaswa kukupatia ukiachilia mbali kukupa pesa na kukuhudumia.Maisha ni wewe ndiye unayeyapanga Mungu hujibu matokeo yanayotokana na njia tulizozipitia katika maisha yetu.kama maisha kwako ni pesa.hamna sababu ya kupewa mtu asiye na pesa utapewa mwenye pesa ila akikosa vingine usilaumu sababu ur priority is money first. Sio kwamba napinga mtu kupenda pesa ila ninachokionyesha hapo. Kama huna upendo wa dhati na roho ya kutimiza wajibu wako kama mwanamke katika uhusiano itakuwa kazi sana kumpata the right man ambaye hatokuumiza.Akiwazo mtu ndicho kinachomtokea kama kwako wanaume hawana fadhila itakuwa hivyo kwako mpaka una kufa ila hiyo haindoi ukweli kuna wanawake hadi wanajiona wao ndo wenye makosa kutokana tu na wanavyotendewa na wanaume zao change ur mindset if you really want to live in peace

Sina TATIZO LOLOTE! I JUST SEE THINGS THE WAY THEY ARE!!! Wanaoaminigi FAIRY TALE NDO WANALIAGA. BINADAMU KAMA BINADAMU HATA NDUGU YAKO HAAMINIKI ASILANI WHAT MAKES YOUR PATNER SPECIAL!!!!!!!!!!?

Mtu ana hela unamshauri JENGA NYMBA YAKO WEWE KAMA WEWE, BISHIIIIIII! NAJENGA NA HUBBY! Mara hubby ana mitoto ya NJE kibao! Mwisho aktangulia nyumba inauzwa wanagawana watoto wote na mke mtu anabakia kupanga. Wakati kwene nyumba hio kaweka 80% Kumuamini BINADAMU NI KAMARI!!!!!!!!
 
Spirit ya wazungu inakutesa umeishi uzungu mwenzetu huku hapakustahili unajitesa unafaa mapenzi ya mikataba kabisa jambo ambalo kwetu utasomewa dua na sala maake kwetu watakuona una mapepo.But trust me am telling you ughaibuni kwa wazungu huwa wanajutia mila na desturi zao wakijilinganisha na mabara mengine. Huwa wanashangaa mama wa ki afrika kubeba mtoto mgongoni wao hawawezi na siri iliyopo ni upendo wa dhati kati ya mama na mtoto wao hawana. Mtu akipata msiba ni watu wachache sana tena muhimu ndo wanashiriki hata jirani anaweza asijue.Maisha gani ya kuishi hata jina la jirani yako hujui.Infact hao kwetu wana mawili ya kujisifu kuwa wamepiga hatua nayo ni POLITICAL life na ECONOMICALLY basi ila SOCIAL life hamna kitu ustaarabu wetu wanautamani sana. Na ndilo jambo ambalo lara 1 linakutesa u are good Economically but Socially you have nothing to teach us dada angu.

wazungu are VERY HONEST PEOPLE!!!!!!!!!!!!!!!! Waswahili are very HOPEFULL people. Kama hamtaki kbadilika asi ENDELEENI KUISHI KWA MATUMANI. Mtu unakuta analetewa watoto 4 nje, bado anatumaini mambo ya tabadilia.MAYBE MAYBE NOT BUT THE KIDS WILL ALWAYS BE THERE AS A REMINDER!!!!!!!!!!!
HOPE IS A VERY TRICKY FEELING.
 
Lizzy Umenivutia...umesema vizuri sana!

Copied naenda kui-paste where my 2nd half ataiona hata kwa bahati mbaya he he he!
 
Last edited by a moderator:
Lizzy huyu kapevuka kweli asee sio yule wa june 2011 kurudi nyuma...Be blessed mdada na pia nafurahi kukuona hapa
 
thanx tuendelee kuombeana tupo tulobakia tatizo watu tunajisahau na tumekuwa wakuambatana na ukuaji wa technology ila tukijitambua na kufuaata tamaduni,maadii, na vitabu vya dini tutafika salama.mbona babu na bib zetu waliishi maisha ya upendo na uheshimiana hadi kufa??
mwanamke ataakuwa chini ya mwanaume kwa maana tumetoka ubavuni mwenu lazima mtuongoze..wanaume wakijijua na kuchukua maamuzi yaliyo sahihi kwa kujua yye ndo kiongozi na akapata mke wa kumpa suport na kumheshimu wanaishi maisha ya upendo..kuna ndoa ya jiran yetu wna 10yrs jamani wanaish kwa upendo hadi nasi tunatamani kuolewa

Aisee naanza kuwekeza kuanzia sasa ! We unaonekana utakuwa mke bora
 
Koh! Koh! Koh! Doc You make me SPEECHLESS!!!!!!!!!!!!! so now SINA EXPOSURE YA MAISHA? Sababu naishi MARS au PLUTO! Sasa huko shule, makazini, familia, majirani kote SIONI MAISHA YAO SO SINA EXPOSURE!!!!!!!!!!!

Hahahaaaaaaaaa! DOC sijabisha hao watu HAWAPO! ILA WAMEPUNGUA SANAAAA WENGI NI WAKO 50'S na wanaelekea kuwa EXTINCT!!!!!!!!!!!

Come to think of it I TRY TO BELIEVE SO MYSELF!!!!!!!!!! But what i KEEP SEEING makes me a doubtful being. Nyingi SHOW OFF NA ILLUSIONS TU! Watu mbele za watu wanashana mikono, full mapendo, ukichunguza kundani baba ana watoto wa nje balaaaa! Hahahaaaaaaa!
Yaani kwa kifupi labda niseme tu...wakati mwingine tunakuwa na bahati mbaya sana ya kupata malezi na kukulia kwenye mazingira ambayo yanatufanya tuamini aina flani ya misha( either in positive way or negative way)...kwa mfano mtu akikulia hapo kinondoni anaweza kuwa anakutana na maisha flani flani( labda vijana wa hapo wanaona ni wajanja wanaoa leo wanaachana kesho, wasichana wanachukua wume za watu au vijana wanachukua wake za watu nk) wakadahni ndo maisha na wakaona ni ujanja na mtu asipokua makini yale maisha yana mwingia kichwani(inner mind)...na kudhani ndo maisha na vijana owte kumbe wako hivyo...kumbe sio kweli ni BAHATI MBAYA tu ilimpata mtu akakulia na kuishi kwenye hayo mazingira na kudhani ndo maisha na ndo UJANJA...kumbe kuna vijana wengi tu(wanaume) wanaendesha maisha yao ya ndoa kwa kuheshimia na kupendana na wanajua vitu vingi tu ambao hawakupata BAHATI mbaya ya kuzaliwa na kukulia kwenye misha flani ya kuwaathirim mitazamo yao ya maisha...AIse mimi nimeona watu wajanja wanaheshimu maisha yao na wake zao na sio hao wa 50 and above...
 
thanx tuendelee kuombeana tupo tulobakia tatizo watu tunajisahau na tumekuwa wakuambatana na ukuaji wa technology ila tukijitambua na kufuaata tamaduni,maadii, na vitabu vya dini tutafika salama.mbona babu na bib zetu waliishi maisha ya upendo na uheshimiana hadi kufa??
mwanamke ataakuwa chini ya mwanaume kwa maana tumetoka ubavuni mwenu lazima mtuongoze..wanaume wakijijua na kuchukua maamuzi yaliyo sahihi kwa kujua yye ndo kiongozi na akapata mke wa kumpa suport na kumheshimu wanaishi maisha ya upendo..kuna ndoa ya jiran yetu wna 10yrs jamani wanaish kwa upendo hadi nasi tunatamani kuolewa

Nimekupenda bure kwa jinsi ulivyo na upeo wa kupambanua mambo...
Stay blessed!
 
Mamy Lizzy umenena la maana cijui sisi wadada/wamama nanikatuloga jamani jaman...
wengi tunajisahau na kuona tupo sawa na wanaume sababu ya technologyna kudai haki sawa cos ya elimu,magari,pesa,biashara n.k but we are real mistakenjaman. Unakuta mama yeye yupo na tv 24hrs,kutwa kushinda salon,macho kaweka juujuu kama precision airways inataka kupaa ,yeye ndo chairman wa umbea wa mtaa,unaroho ya kasksi na choyo plus unafik ooooh ,kavaa tyt plus top juu kitovukimemtoka ,na mkorogo wa cheap umedunda jaman jaman yeye kuvaa nguo za heshimana vitenge ni sumu anakuambia mimi siomzee

Men will always remain men tena ni kiongozi no matter unaPHD Or pesa kiasi gani ,tubadilike actlike woman be decent,loyal,use polite language,take care &love ur child nhubby,roho ya upendo yenye woga wa MUUMBA wako,roho ya ukarimu kwa ndugu,makeur house clean to be sweety home not garage,vaa kwa heshima jua tofauti ya nguoya kanisani,kazin.na outing,pika chakula safi na kitamu kwa familia yako.If udone this and ur hubby not proud of u,not value u must have a mental problemsure.mume ataona hata fahari kutoka na wewe,kukudhamin,kukupenda nakukutambulisha kwa yoyote

Ni kweli kabisa.
Kama hawaamini hebu wajaribu waone kama hakutakuwa na mabadiliko hapo kwa nyumba.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy huyu kapevuka kweli asee sio yule wa june 2011 kurudi nyuma...Be blessed mdada na pia nafurahi kukuona hapa

Hehehehehe asante Kyalow , nimekua sasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom