a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
sisi tunaamini tu kwa IMANI tu hatuna uthibitisho physical evidence ya kukuonesha kuwa Mungu yule pale muone au mshike.Na wewe tayari umeshasema hayupo,sasa unataka uthibitisho upi wakati ushasema hayupo na una imani kuwa hayupo tayari unajua kuwa hayupo sasa unataka uthibitisho upi,au unataka KUBISHANA.??Nataka nimjue huyo Mungu ndio naomba uthibitisho , sijue kama unanielewa lakini🤔
ASANTE MUNGU
Tarehe 31 Desemba ni siku ambayo watu wengi hukusanyika makanisani kumshukuru Mungu. Zifuatazo ni faida 10 za kumshukuru Mungu:
1. Huimarisha Imani: Kumshukuru Mungu hutufundisha kutambua uaminifu Wake na kuimarisha imani yetu, tukijua kwamba anafanya kazi kwa manufaa yetu.
2. Hutupa Amani ya Moyoni: Shukrani huondoa mawazo ya wasiwasi na huzuni, na kutuachia amani ya kiroho inayotokana na kumtegemea Mungu.
3. Huongeza Furaha: Watu wanaoshukuru wana furaha zaidi kwa sababu wanathamini hata mambo madogo ambayo Mungu amewatendea.
4. Hutuleta Karibu na Mungu: Shukrani huimarisha uhusiano wetu na Mungu kwa kutufanya tutambue ukuu na upendo Wake maishani mwetu.
5. Huinua Nafsi Zetu: Kumshukuru Mungu hutusaidia kuona maisha katika mtazamo chanya, hata katika changamoto, na hutufanya tujihisi wenye thamani.
6. Hulinda Moyo Usipotoshwe: Moyo wa shukrani hutusaidia kuepuka kiburi na kujiona kuwa sisi ndio chanzo cha mafanikio yetu, badala ya kumtambua Mungu.
7. Hufungua Milango ya Baraka: Shukrani ni kitendo cha imani kinachomfanya Mungu kufungua milango ya baraka zaidi maishani mwetu.
8. Hutuongezea Uvumilivu: Tunaposhukuru kwa yale tuliyonayo, tunapata nguvu za kustahimili majaribu huku tukisubiri Mungu kutimiza ahadi Zake.
9. Hutufundisha Roho ya Unyenyekevu: Shukrani hutufundisha kuwa wanyenyekevu kwa kutambua kwamba kila kitu tunachopata kinatoka kwa Mungu.
10. Ni Njia ya Kutoa Ushuhuda kwa Wengine: Tunapomshukuru Mungu hadharani, tunawashawishi wengine kumwamini na kumtumikia Mungu kwa kuona jinsi alivyotutendea mema.
"Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu." (1 Wathesalonike 5:18).
Baada ya kuzijua faida hizo, naamini kesho utajiunga na Wakristo wengine kumshukuru Mungu kwa mambo mengi aliyotutendea mwaka huu. Sio kesho tu, siku zote kumbuka kumshukuru Mungu, ujionee faida hizo.
Unaweza kuamini pasipo kujua?Kutoa uhakika / kujua jambo na sio imani , kujua kitu kunakomesha kuamini.
Ukitaja kitu unaweza takiwa thibitisha humu; humu sio kanisani sijui kama unaelewa?sisi tunaamini tu kwa IMANI tu hatuna uthibitisho physical evidence ya kukuonesha kuwa Mungu yule pale muone au mshike.Na wewe tayari umeshasema hayupo,sasa unataka uthibitisho upi wakati ushasema hayupo na una imani kuwa hayupo tayari unajua kuwa hayupo sasa unataka uthibitisho upi,au unataka KUBISHANA.??
Kama unavyowaona hawa wanavyofanya hapa.Unaweza kuamini pasipo kujua?
Thibitisha unachokisema na sio maneno haya ya kiimani tu ambayo tuliletewa kama kitangulizi cha ukoloni.Hayupo kwa macho ya nyama, lakini kiroho Mungu alikwepo,yupo na atakwepo milele.(kwa wenye imani)
Kwanini Mungu hayupo?Kama unavyowaona hawa wanavyofanya hapa.
Kwa sababu hayupoKwanini Mungu hayupo?
Sasa tuambie kwanini/ ututhibitishie hayupo ili tukubaliane na wewe kua hayupoKwa sababu hayupo
Hayupo hayupo tu , nyie mnae mtaja mthibitishe uwepo wake kwanza halafu sie tukuambie kwa nini Mungu muweza wa yote hayupoSasa tuambie kwanini/ ututhibitishie hayupo ili tukubaliane na wewe kua hayupo
Mara nyingi nyie hua mnawabana wale wanaotetea wathibitishe na ndicho nachoona, tuambie wewe ni kipi kinakujuza kua yeye hayupo?Hayupo hayupo tu , nyie mnae mtaja mthibitishe uwepo wake kwanza halafu sie tukuambie kwa nini Mungu muweza wa yote hayupo
Kinachonijuza kuwa hayupo ni wale wanaosema yupo halafu hawana uthibitisho.Mara nyingi nyie hua mnawabana wale wanaotetea wathibitishe na ndicho nachoona, tuambie wewe ni kipi kinakujuza kua yeye hayupo?
Kiranga InfropreneurHuu uzi ulikuwa mzuri sana wa kumshukuru Mungu kwa mema mengi aliyotutendea,ikiwemo zawadi ya uhai/uzima.
Sasa ametokea mtu anaanzisha MABISHANO ili kuuvuruga uzi,na sisi wote tuna angukia katika mtego huo wa mtu anayemkufuru MUNGU kwa kufanya mabishano ambayo hayana maana.
Ni vizuri sisi tinaoamnini tukapuuza distractors..tukajikita kwenye kumpa Mungu utukufu na sifa na shukrani.
Tukapuuza kujibu mabishano..nafikiri kengo la huu uzi mzuri halikuwa mabishano JE MUNGU YUPO AU HAYUPO..mana uzinimeshabadilishwa kutoka maudhui ya awali kwenda kwenye mapishano yasiyo kuwa na kikomo wala muafaka..(lengo la kuuvuruga) tusiangukie kwwnye huo mtego.
TUENDELEE KUMSHUKURU MUNGU NA KUMTUKUZA NA KUMSIFU kwa mengi aliyotutendea ikiwemo kutujalia uhai uzima siku ya leo.AMINA.
Thibitisha uwepo wa Mungu mimi nipo tayari kumshukuru hapa nimeshapiga goti ujue🤔Huu uzi ulikuwa mzuri sana wa kumshukuru Mungu kwa mema mengi aliyotutendea,ikiwemo zawadi ya uhai/uzima.
Sasa ametokea mtu anaanzisha MABISHANO ili kuuvuruga uzi,na sisi wote tuna angukia katika mtego huo wa mtu anayemkufuru MUNGU kwa kufanya mabishano ambayo hayana maana.
Ni vizuri sisi tinaoamnini tukapuuza distractors..tukajikita kwenye kumpa Mungu utukufu na sifa na shukrani.
Tukapuuza kujibu mabishano..nafikiri kengo la huu uzi mzuri halikuwa mabishano JE MUNGU YUPO AU HAYUPO..mana uzinimeshabadilishwa kutoka maudhui ya awali kwenda kwenye mapishano yasiyo kuwa na kikomo wala muafaka..(lengo la kuuvuruga) tusiangukie kwwnye huo mtego.
TUENDELEE KUMSHUKURU MUNGU NA KUMTUKUZA NA KUMSIFU kwa mengi aliyotutendea ikiwemo kutujalia uhai uzima siku ya leo.AMINA.
Haya, uthibitisho huu hapa:Kwenda wewe hauna uwezo hata wa kuelezea unachokiamini sio tu kuthibitisha , kwa hiyo naomba hata usinijibu kama hautojali.
Thibitisha uwepo wa Mungu mimi nipo tayari kumshukuru hapa nimeshapiga goti ujue🤔
Kinachonijuza kua yupo ni wale wanaosema hayupo na hawana uthibitisho kua hayupo.Kinachonijuza kuwa hayupo ni wale wanaosema yupo halafu hawana uthibitisho.
Mungu gani ameshindwa na anashindwa kutoa uhai/uzima kwa maelfu ya watoto wachanga na wanawake wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili maeneo mbalimbali duniani!!!Huu uzi ulikuwa mzuri sana wa kumshukuru Mungu kwa mema mengi aliyotutendea,ikiwemo zawadi ya uhai/uzima.
Huyo Mungu kama yupo hafai kabisa anastahili kufurushwa!!!!Sasa ametokea mtu anaanzisha MABISHANO ili kuuvuruga uzi,na sisi wote tuna angukia katika mtego huo wa mtu anayemkufuru MUNGU kwa kufanya mabishano ambayo hayana maana.