Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
πππππ ππ ππ¨π’π π πͺππ‘ππ ππ π πͺππ‘π¬π π π§π’π§π’
1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuushi na mwanaume.
4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.
5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.
6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.
7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.
8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.
9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.
[emoji736]ZINGATIA[emoji736]
1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao
NB: other factors remain constant ie mature of women, ancestry behavior like witch, uchoyo &. Absence of big nyashi....
Team kataa ndoa ...sio mahali penu hapa[emoji3063][emoji3063]