Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Hasara:πππππ ππ ππ¨π’π π πͺππ‘ππ ππ π πͺππ‘π¬π π π§π’π§π’
1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuushi na mwanaume.
4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.
5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.
6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.
7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.
8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.
9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.
[emoji736]ZINGATIA[emoji736]
1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao
NB: other factors remain constant ie mature of women, ancestry behavior like witch, uchoyo &. Absence of big nyashi....
Team kataa ndoa ...sio mahali penu hapa[emoji3063][emoji3063]View attachment 3213431
1. Umeoa mke wa mtu
2. Unajiingiza katika gharama za kulea, kutunza, kukuza mtoto/watoto wasio wako
3. Hasara ya kuendelea kutombewa na x_wake
4. Hasara ya kudharauliwa. Utake usitake ukioa single mother unadharauliwa au utadharauliwa kwa wale watakaokuja kujua ulioa mke wa mtu
5. Hasara ya kununua mbususu iliyawahi kusuguliwa na kuchakazwa mpaka ikazalishwa! Mbususu hii haina utamu kabisa labda ujizime data.
6. Hasara ya kuoa kahaba/malaya tangu mwanzo ambayo itakugharimu kuvunja hiyo laana kwa uzao wako, nk, nk
