Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye nini[emoji3]Hatimaye
Wanawake wamekumbukwaHatimaye nini[emoji3]
Sawa nasubiri 😝Haha sio roho mbaya nitakupa story moja oneday najua utaget my point kwanini nasema hivi
mhusika huyo mwanaume ndio ana jukumu la single maza mkuu, kwanini wanaume wengine tuhusishwe kwa huyo/hao single mazaCause sisi wananume ndio tunawaharibia future yao
[emoji3][emoji3] haha sawa ngoja uzi wa ushawahi kujichanganya mpaka ukawaza hapo nyuma...ufkishe hata miezi miwiliSawa nasubiri
haha mbona nyuzi zote tunawajadili nyie tu nyuzi za bikra,kataa ndoa,single maza nkWanawake wamekumbukwa
Je mnataka single Maza wapendwe na nani
Kwingine zinatuponda wadadahaha mbona nyuzi zote tunawajadili nyie tu nyuzi za bikra,kataa ndoa,single maza nk
ndio mjirekebishe sasa hatukai ndoa makusudi, hatusemi oa bikra bila reason, hatusemi epuka singlemaza bila sababu hatuwachukii ila tunajiepusha na madhila yatokanayo na hizo mbangaKwingine zinatuponda wadada
Sasa sisi tunaokujua tu nasema wewe ni Yanga lialia shabiki sio mchambuzi.Hapana mkuu... wachambuzi hatuna timu ....kazi yetu ni kuongelea soka
Yaani tena huyo yupo taabani kabisa. Huyo apambane na mwalimu digba sowey tu.Madam Hannah kuna mgonjwa wa kiingereza huku 🤣🤣🤣
Kwahiyo kwako habebeki kabisa? 😁😁😁Yaani tena huyo yupo taabani kabisa. Huyo apambane na mwalimu digba sowey tu.
Ndio nafanya utafiti ili niandikie paper titled " the sweetness of a single mama"s papuchi and its impact on young men"Kwann...kivip
Yaani huyo aachane tu ni hiyo lugha🤣Kwahiyo kwako habebeki kabisa? 😁😁😁
psychologist njaa tuApart of uchambuzi...Mimi pia ni psychologist
Hicho kiinglish, mungu anakuonaExactly... single mother they deserved to loved