Faida 10 za kuoa mwanamke mwenye mtoto (single mother)

Faida 10 za kuoa mwanamke mwenye mtoto (single mother)

Tatzo Wabongo tunapenda kinafikiwa na kupewa maneno ya kupetiwa petiwa lakini Ila I can tell kuwa na singo hasara n nyingi mno

madmax kamaliza uzi mbona mjadala ufungwe
Hasara ni chache . Na ndozile zinatikana na nature ya mwanamke
 
Mwanaume ni mjenzi, chukua wako mbichi, mjenge kwa kadiri utakavyo.
Kusubiri REJECT ni kuikana asili ya kiume.

Unasifia makombo yaliyoachwa na wanaume wenzako?

Hebu fikiri kwa mapana, hapo kwenu, kuanzia mzee wako hadi babu zao, nao walioa masingo maza?
Kama sivyo, jiulize kwa nini ilhali hao masingo maza walikuwepo?
 
Back
Top Bottom